mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania MAKONDA MSHTAKIWA RASMI SASA BAADA YA KUTOKA KWENYE MFUMO

    Makonda ulinusurika kufanywa kama Sabaya, wazee wa korido au viambaza walikulinda kwa maelekezo ya Hangaya. Wajuzi wa mambo wakaenda mbali zaidi wakasema Hangaya alikupenda japo ulitoka familia ya jiwe,wengine wakasema Makonda hujawahi mchafua Hangaya akiwa makamu wa ofisi za Magigoni...
  2. MAGARI GAS NIT

    JamiiForums Tanzania Tunaweka mfumo wa gas kwenye magari

    Karibu!! karibu!! NIT TUNAFUNGA GAS KWENYE MAGARI ya petroli kwa mkoa wa dar es Salaam TU kwa utaalamu wa hali ya juu unaofanywa na wahandisi wa magari na kuifanya gari yako kutembea bila gharama kubwa za mafuta na utaokoa asilimia 75% za gharama ya mafuta Gharama za ufungaji mfumo ni kulingana...
  3. Kushdon

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko katika mfumo wa maombi ya Ajira ni kero na uonevu kwa waomba Ajira

    Kero kubwa iliyopo kwa saa ni kwamba serikali imeamua kuanzisha sera ya kutumia mfumo wa maombi ya ajira kuhusika katika maombi ya kazi za serikali kwa ngazi zote ikiwemo kazi za maafisa watendaji wa vijiji na kata zinazotangazwa na halmashauri. Kero iliyopo katika mfumo wa maombi ya ajira wa...
  4. Kushdon

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko katika mfumo wa maombi ya ajira ni kero na uonevu kwa waomba ajira

    kero kubwa iliyopo kwa saa ni kwamba serikali imeamua kuanzisha sera ya kutumia mfumo wa maombi ya ajira kuhusika katika maombi ya kazi za serikali kwa ngazi zote ikiwemo kazi za maafisa watendaji wa vijiji na kata zinazotangazwa na halmashauri. Kero iliyopo katika mfumo wa maombi ya ajira wa...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kinana , Nchimbi na Makonda Tayari wameingia kwenye mfumo wa CHADEMA , sasa anayesubiriwa ni Samia tu mchezo uishe

    Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA . Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita ...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Wakuu wa Mikoa Wabunge na mfumo rasmi wa serikali umeshindwa kabisa kutatua matatizo ya wananchi mpaka aje Makonda mwenezi. Kuna kasoro

    Mimi nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kinachoendelea kuhusu ziara za Makonda mikoani, na zoezi la kusikiliza kero mbalimbali za wananchi. Kimsingi hali inafikirisha sana, na hapa Mwanasheria Mkuu wa serikali ameliona hili. Tuna wakuu wa Wilaya,wakuu wa mikoa , wabunge Takukuru nk wote kweli...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Roman Catholic, KKKT na makanisa mengine makubwa, Vijana wanaosali kanisani kwenu ni ngumu sana kupata Wachumba kanisani, igeni mfumo wa Wasabato SDA

    Binafsi ni msharika wa KKKT. nimebahatika kusali madhehebu mengi sana yakiwemo Roman Catholic, TAG,Anglican, SDA, KKKT na mengineyo. nimeenda kwa kualikwa na ndugu , jamaa na marafiki kusikiliza neno la Mungu . ukweli siku niliyosali kwa wasabato nimeona kitu tofauti sana katika ibada zao...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Bashe anatafutwa ajae kwenye mfumo, sijui kama atafika Pasaka

    Nakupa dokezo. Yote yaliyotokea wiki jana na yanayoendelea huku mkuu akiwa kimya, ni kwamba anayetafutwa ni Bashe. Makonda hatoi matamko dhidi ya Bashe kwa bahati mbaya. Kuna ligi ya siasa na magomvi yanayoendelea kule kwao. January walijaribu kumtafuta kwenye vikao vya kamati, ikashindikana...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tukiri kwamba katika mfumo wa muungano uliopo, inawezekana raisi kutoka Zanzibar akafanya kazi kwa maslahi ya Zanzibar zaidi ya bara au ya muungano

    Hili ni jambo ambalo wenye hekima wanalielewa siku nyingi, na labda wengine wengi sasa wameanza kulielewa, kwamba kutokuwepo kwa usimamizi wa kiserikali wa upande wa bara kunatokeza nafasi kwa raisi akitoka Zanzibar kuwa na uwezekano wa kufanya mambo kwa namna ambayo inatoa maslahi makubwa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Anayejua nafasi special zinazotolewa na jeshi je, Ni kwel zipo na kama zipo zinatolewa kwa mfumo gani?

    Msaada tafadhali kwa anayejua zaidi kuhusu nafasi special zinazotolewa na jeshi je? Ni kweli zipo na kama zipo zinatolewa kwa mfumo gani?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mfumo ni nini? Mazingira ni nini?

    Nyuzi zangu zote huwa zinapotezwa, ukibaki huu, nauliza Mfumo ni nini? Ni Mazingira ya kuwasaidia walalahoi wainuke au ni mazingira ya kuchukua kila cha walalahoi?
  12. Determinantor

    JamiiForums Tanzania KERO Huu mfumo wa Employee Self Service wa Utumishi haufanyi kazi

    Sioni sababu na nashangaa kwanini UTUMISHI wamekimbilia kutumia ESS na huku ukweli haufanyi kazi, unaingia Online wanakwambia wanashidnwa ku-retrieve taarifa zako, unaomba uhamisho, unajaza kila taarifa then unakuta hakuna kiytu chochote na hakuna mtu wa kukusadiai. Naupenda sana Mfumo wa NEST...
  13. Ntemii

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya fanyeni ku-update mfumo wa ufadhili E-Sponsorship

    Habari ya J3 wadau wa JF. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, mfumo w E-sponsorship wa Wizara ya Afya ambao hutumika kujisaijri na kutuma mombi ya ufadhili, upo chini haufanyi kazi na unasumbua katika process za kujisajiri, hivyo kuwia ugumu kufanya usajiri katika mfumo huo. Ombi maIT wa...
  14. Cheology

    JamiiForums Tanzania Interfaces ya mfumo wa TSCMIS sioni pa kujiunga, yaani "Register icon"

    Jamani msaada wenu mliojiunga Naomba kujua wapi najiunga? Kwa kawaida kuna eneo limeandikwa register here Lkn hapo siooni
  15. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa online wa loss report kunani?

    Habari wadau. Mfumo wa loss report wa online ulibuniwa ili kuweza kusaidia wananchi kupata huduma kwa haraka. Mfumo huu kwa sasa umeingiliwa sijui na mdudu gani, unaweza pata control number ukalipia lakini ukitumia same control number kutafuta loss report yako inskuambuia hakuna record. Sasa hii...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mabasi ya Wanafunzi yabainika kufungwa mipira kwenye mfumo wa breki

    Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani Mkoa wa Katavi kimebaini dosari katika mabasi yanayotumiwa kusafirisha Wanafunzi katika Shule za watu binafsi ikiwemo baadhi ya mabasi kukutwa yamefungwa mipira kwenye mfumo wa breki ambayo ni hatari kwa usalama. Dosari hizo zimebainika wakati...
  17. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Wahandisi nauliza: Kwanini Tanzania hatutengenezi mfumo maji na taka mapema tunapojenga msingi?

    Nimezoea kuona bongo watu wakibomoa bomoa msingi au kuta walizojenga ili wapitishe mabomba ya maji na choo. Hivi haiwezekani kutengeneza plan ya maji safi na taka na kujenga mfumo maji na taka mapema kabisa katika hatua ya kujenga msingi ili kila kitu kiwe sawa?
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Boeing yaagiza Mashirika yaliyonunua Ndege za toleo la "MAX" kufanya ukaguzi wa Mfumo wa Rudder

    Kampuni ya kuunda Ndege za Boeing imehimiza mashirika ya ndege duniani kufanya ukaguzi wa ndege za 737 Max kutafuta "Bolt inayowezekana kuwa imelegea" katika mfumo wa udhibiti wa rudda, tatizo jipya la ubora linaloathiri ndege inayouza zaidi ya mtengenezaji huyo. Kampuni hiyo iliagiza ukaguzi...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Jijengee mfumo wa kutompa mtu ahadi yoyote kuhusu jambo au kitu chochote

    Katika maisha tunaishi ila usikubali kumpa MTU ahadi yoyote , ishi maisha yako tu. Kuwa na ule mfumo wa MTU akikuomba kitu mwambie ebu tuone hali itakuaje. Wafanyie WATU surprise ila usiwape ahadi. Avoid entitlement trap -this life is yours hakuna MTU aliapa kuwa atakupa chochote unachokitaka...
  20. The Boss

    JamiiForums Tanzania Dokta Janabi aweke mfumo nzuri wa taarifa za tahadhari za afya..

    Niseme kuwa hizi taarifa anazozitoa mara Kwa mara kuhusu tahadhari mbalimbali za afya ...ni nzuri Sana lakini pia zinaibua maswali mbalimbali.. Ni vizuri Dkt Janabi au Muhimbili kama Taasisi waweke mfumo nzuri wa taarifa......ili mtu akihitaji source iwepo...na asitokee mtu akapotosha ..hizo...
Back
Top Bottom