Kwa wale wanao ona dunia itakuja kuwa chini ya utawala wa kidemokrasia kama ilivyo vitabuni basi hawapo sahihi wanaishi katika njozi.
Ili demokrasia iweze kufanikiwa duniani basi panapaswa kutokuwepo unafiki baina ya watu.
Unafiki ni kikwazo mojawapo cha asili cha sisi watu kinacho weka uzio...
Mfumo mpya wa ulipaji mapato ya Serikali umekuwa ngumu sana kwa Wananchi wa kawaida.
Nitoe mfano, kama Mfanyabiashara anataka kulipia leseni yake kwa mfumo mpya lazima umtafute mtu akusaidie taratibu zote mpaka control number itoke. Mfanyabiashara kwa kazi hii anatozwa mpaka 20,000 kwa kazi...
Meneja wa mfuko wa bima ya afya ya NHIF Mkoani Tabora, Salum Adam amesema NHIF haina changamoto ya uchelewashaji wa vitambulisho isipokua kuna changamoto ya kimazingira na mfumo wa uwasilishaji wa kadi kwa watumishi kupitia halmashauri.
Akizungumza na waandishi wa habari meneja wa NHIF amesema...
Habari ya jioni wakuu.
Ninahitaji mtu/consultant mzoefu ama mtaalam wa kazi ya kuomba vibali vya mgani toka nje ya Tanzania kuishi nchini kwa njia ya mtandao.
Tayari maombi ya work permit yamefanyika na yamekubaliwa lakini tumekwama kwenye residential permit pekee.
Kama unaweza kutukwamua...
Ofisa Mawasiliano na Uhusiano wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), Willium Gatambi ameeleza sababu za msongamano vituo vya 'Mwendokasi' jijini Dar es Salaam Leo Oktoba 11, 2023.
Amesema tatizo hilo linasababishwa na watu wengi asubuhi kuelekea upande mmoja pia hakuna mfumo rasmi wa...
Hawa ndio watu serious kwenye masuala ya miundombinu na maendeleo ya matumizi ya gesi asilia hata kama hawazalishi gesi hiyo!
Tanzania pamoja na kuwa na gesi nyingi hatujaweza kuisambaza hata Dar ambapo tayari mabomba kutoka Songosongo yalishawekwa zamani.
Ni hawa akina Rostam tulioshindwa...
Katika mazungumzo yangu na watu nyeti nimedokezwa Jambo la kushangaza. Wanadai kuwa ishaamuliwa baada ya Mama yetu mpendwa, ajaye ni Makamu Rais Dr Philip Mpango.
Niliwaambia mbona Kuna vijana wawili na hata wanne machachari wanatajwa kuwinda nafasi hii? Wakadai kuwinda na kulenga shabaha ni...
Habari za wakati huu;
Wamiliki wengi na wasimamizi wa shule wanatumia mifumo mbalimbali ya usimamizi wa shule.Leo ninataka nitambulishe kwenu mfumo wa usimamizi wa shule ambao ni wa kipekee wenye sifa zifuatazo:
Mfumo huo ni open source kwa maana unaweza kufanyiwa maboresho na marekebisho...
Yaani jamaa wanaishi kiuwoga uwoga.....
Russian air defences have shot down one of the country’s most advanced fighter jets in a friendly fire incident, according to reports.
The Russian Su-35 was downed over Tokmak, Zaporizhzhia Oblast, on Thursday where Ukraine is mounting its...
Habari wadau
Nimependa mfumo wa waarabu na wahindi jinsi ndoa zao zinavyokuwa
Wazazi ndio wanawajibika kuwatafutia watoto wao Mke / Mume wanapofikia umri wa kuoa.
Mfano tazama tangazo la Dr Zakir Naik ambaye ni islamic scolar maarufu duniani.. la kumtafutia mwanae wa kiume mke wa kuoa...
Licha ya hamu kubwa ya kidemokrasia, vijana wa Kiafrika hawana nia ya kuiga demokrasia za Magharibi. Badala yake, wanafikiri kuwa miundo na mifumo ya kidemokrasia inapaswa kubadilishwa ili kuendana na mazingira ya ndani ili kufanikiwa.
Kwa mujibu wa utafiti wa African Youth Survey wa mwaka...
Mfumo wa kielektroniki unaowezesha kufanya usajili, kuchakata zabuni, kusimamia mikataba, malipo na kununua kupitia katalogi na minada kimtandao (NeST) uliotengenezwa na Watanzania unatarajiwa kudhibiti vitendo vya rushwa ambavyo vimekuwa vikilalamikiwa kughubika michakato wa ununuzi Serikalini...
Supapawa kadukuliwa kizembe sana, jamaa wameingia kwenye kanzidata na kufumua kila taarifa humo za safari zote...
Ukrainian hackers have hacked into the Russian database of the Sirena-Travel booking system, obtaining information on 664 million flights over the last 16 years. They also obtained...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko ameelekeza utaratibu wa kubadili mifumo ya magari kutumia gesi asilia uanze na magari ya serikali na kuwa vituo zaidi vijengwe ili kupunguza matumizi ya mafuta.
Napenda watanzania waelewe vizuri kuwa CCM ndio adui yetu mkubwa. CCM ipo madarakani kwa miaka 60 sasa na bado tunahangaika na maji vijijini, madawati, chakula na magonjwa yanayotibika bado yanaua watu nchi hii.
Blaa blaa za CCM zimeifikisha nchi hii katika umaskini mkubwa hata baada ya kuwa na...
Pita yote usiachie nusu tafadhali
100. Kutoa motisha kwa vijana kwa kila namna inayowezekana kupenda mambo ya msingi. Hii itawezesha kuwafanya wapende kujihusisha na ubunifu, uzalendo, kujitegemea, kutoa mchango mkubwa kwa taifa lao. Sio kama hali ilivyo sasa wengi wao wanatamani na kujitahidi...
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki katika Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika (AGRF) inayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) leo tarehe 07 Septemba, 2023.
https://www.youtube.com/live/xAtezYAOGFE?si=qxG0Me86MAnoOkRU...
Ujumbe kutoka kwa kati ya mwanafunzi aliyehitimu na kuomba kupaziwa sauti.
"Mimi ni muhitimu wa stashahada ya computer science chuo kikuu cha sayansi na teknolojia Mbeyaa
Kumekuwa na tatizo la mfumo yaani SIMS (student information management system) kwa muda wa takribani wiki 3 mpaka sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.