Uganda: Serikali yazindua Mfumo wa Kuwalinda Wawekezaji dhidi ya Vitendo vya Rushwa

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1702701493976.png

Rais Yoweri Museveni amezindua Mfumo wa Kielektroniki wa Kulinda Wawekezaji (EIPP) ambao unalenga kuwasaidia Wawekezaji wa Nje na Ndani kuripoti moja kwa moja katika Ofisi ya Rais malalamiko ya Rushwa, Ubadhirifu na Ucheleweshaji wa aina yoyote katika Miradi.

Taarifa ya Ikulu ya Uganda imesema Mfumo wa EIPP utamwezesha Rais mwenyewe kuona na kufuatilia namna Idara za Serikali zinavyoshughulikia Malalamiko na Michakato ya Uwekezaji pamoja na kuongeza Matumizi ya Teknolojia badala ya kutumia Watu katika kila hatua.

Hatua hiyo imefikiwa baada ya kuwepo kwa Malalamiko ya mara kwa mara kutoka kwa Wawekezaji kuhusu ucheleweshwaji wa Vibali au Kukosa Majibu ya Mamlaka za Serikali pamoja na kushindwa kuchukua hatua stahiki juu ya Malalamiko yaliyoibuliwa.

Kwa mujibu wa tafiti nyingi zilizofanywa katika eneo la Uwekezaji kwenye Nchi nyingi za Afrika, moja ya eneo linalolalamikiwa ni Idara zinazohusika na Utoaji Vibali, Uidhinishaji wa Bidhaa na Masuala ya Kikodi kwa Wawekezaji.

===========

President Museveni has launched the Electronic Investor Protection Portal (EIPP) that is aimed at helping investors, both foreign and local, to report complaints about corruption, bribes and delays directly to the Office of the President.

The State House Investors Protection Unit, headed by Col Edith Nakalema, worked with the National Information Technology Authority (Nita) to develop the portal.

The portal enables the President to directly monitor how government agencies respond to complaints raised by investors.

Col Nakalema said this initiative followed presidential guidance for government agencies to embrace digital transformation to limit human involvement in transactions and reduce or combat corruption.

She added that some of the complaints raised by investors include the delays to receive feedback from some of the authorities in government agencies and failure to deliver responses to the complaints raised. Col Nakalema further said some of these delays are motivated by corrupt tendencies.

However, the State minister for Privatisation, Ms Evelyn Anite, said she was concerned that whereas the President had established various agencies to fight corruption, the vice still persists.

“We have an electronic and physical systems but the investors are still complaining. I was challenging Col Nakalema and I asked her: ‘My sister, we have all these things in place, what is going to be new with this one?” Ms Anite said during the launch of the EIPP at State House Entebbe on Wednesday.

Col Nakalema responded that the unique feature about the EIPP is that it enables President Museveni to directly monitor how government agencies respond and address the complaints raised by investors.

The President said he was aware of complaints raised by some Ugandans over his decision to create multiple agencies to tackle corruption but the vice is still rampant.

“This one (EIPP) I wanted focus. I told [Col] Nakalema, ‘don’t become a judge. If investors are fighting in the courts over land, those are their issues but you (Nakalema) look at the government officials who are supposed to facilitate investment, how they are facilitating or not facilitating that investment effort’,” President Museveni said.
He was, however, hopeful that the portal could be effective if the developers ensure that nobody can manipulate and interfere with the system.

The executive director of Nita, Dr Hatwib Mugasa, said the portal has a provision for language translation so that investors who are not familiar with English language can launch complaints using their own languages, which the system will automatically translate into English.

It also has a whistleblower section that enables individuals who do not want to be identified to unanimously file complaints and provide evidence.

The Nita developed the portal within one month and it has been active since August. So far, 128 complaints have been registered.

MONITOR
 
Mithali 29:4
Mfalme huithibitisha nchi kwa hukumu; Bali yeye apokeaye rushwa huipindua.

UGANDA: Rais Yoweri Museveni amezindua Mfumo wa Kielektroniki wa Kulinda Wawekezaji (EIPP) ambao unalenga kuwasaidia Wawekezaji wa Nje na Ndani kuripoti moja kwa moja katika Ofisi ya Rais malalamiko ya Rushwa, Ubadhirifu na Ucheleweshaji wa aina yoyote katika Miradi.Pawerful sms...tuwe Ibada njema.
 
Bora wao wameliona hilo, kuliko wengine wakikumbatia rushwa kila sekta
Mfanyakazi ana nyumba 10 ni maajabu ya dunia
 
Back
Top Bottom