Akizungumza kutoka katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi), #RaisSamia amesema ongezeko la 23% la Mshahara lililofanyika mwaka 2022 halikuwagusa Wafanyakazi wote akiwemo yeye.
Amesema lengo la nyongeza hiyo ilikuwa kuwainua Wafanyakazi wa Kima cha Chini huku ikiongeza Posho kwa...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime Rorya, Geofrey Sarakikya, amesema mfanyakazi wa mgodi wa Barrick North Mara Emmanuel Chacha, aliyefariki dunia Machi 11, mwaka huu hakupigwa risasi.
Aliyasema hayomkoani Mara, wakati akitoa ufafanuzi kuhusu kifo cha Chacha, ambapo alisema alifariki...
Habari wanajukwaa.
👤 Waajiriwa ndo maana wanabaki kuwa watumwa wa siku zote maana hata mungu anaona kinachoendelea.
Unakuta mfanyakazi anavimba kama yeye ndo boss.
👤 Jeuri, kiburi majivuno daah balaa tupu,uchawa mwingi sema yote ni njaa na kuwa na akili finyu. Any way point ni kwamba...
Kama ipo sheria inayomnyima haki mtumishi wa umma kumiliki kampuni na biashara inayofanana na ile anayoitumikia umma ifutwe mara moja. Katika ulimwengu wa sasa huwezi kumnyima binadamu kujiendeleza kiuchumi kwasababu tu ya mgongano wa kimaslahi.
Sheria zinazotakiwa kuwepo ni za kulinda mgongano...
POVU: KUNA KIMTU KIMENIKERA ASUBUHI ASUBUHI
Kuna kamtu kananiletea hoja za haki sawa. Yaani katoto ka 2003, ana miaka 20 kasoro miezi kadhaa kananihangaisha mzee mkubwa na ndevu zangu.
Yani nikaajiri, kasifanye kazi nnayotaka, kajipangie siku za kuingia kazini na muda wa kutoka halafu...
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Mwanza, Hamida Mussa maarufu 'Mama Mwakitosi' (64) anadaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mtandio shingoni na mfanyakazi wa ndani ambaye alitokomea kusikojulikana baada ya tukio hilo.
Mwili wa Hamida ulikutwa jana Jumanne Novemba 29, 2022 nyumbani...
MFANYAKAZI ili Afukuzwe Kazi Kwa Sababu ya UTORO/KUTOKWEPO KAZINI, Inatakiwa Asiwepo Kazini Kwa Zaidi ya Siku Tano (5) za Kazi Bila Ruhusu au Sababu ya Msingi.
Inaletwa kwako na Nyagawa, J (Mwanasheria)
Wazee wa Mahakama ya Rufani Wamekubali Kupitia (Review) Upya Maamuzi Yao, Watoto wa Mjini...
Miriam Lukindo Mauki anaandika;
Ukiona mume wako kachepuka na mfanyakazi wa kazi za ndani (na mara nyingine huwaoa kabisa), kuna mambo mawili;
1. Ni mwanamke mwenye lawama nyingi, yaani malalamiko.
Mwanamke asiye na kushukuru au asiyeona kitu anachokifanya mpenzi wake. Ni mwanamke mwenye...
Ugonjwa wa Virusi vya Ebola (EVD) umekatisha maisha ya mhudumu mwingine wa afya wakati nchi ikipambana kudhibiti kuenea kwa virusi hivyo, Wizara ya Afya imeripoti.
Dkt Jane Ruth Aceng, Waziri wa Afya alitangaza kifo cha Bi Margaret Nabisubi, Afisa wa Ganzi, leo Jumatano asubuhi.
"Muuguzi huyo...
NATAFUTA MFANYAKAZI WA STATIONARY
Awe msichana mwenye umri wa miaka 22 - 30.
Awe na ujuzi wa lugha ya Kiingereza na Kiswahili (Kuandika na kuongea)
Awe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea
Awe na ujuzi wa kutumia Komputer katika shughuli mbali mbali kama vile Typing, Printing n.k
Awe na...
Natamani kumfungukia huyu binti lakini nakwama. Nimechanganyikiwa sana nifanye nini?! Je, nifuate moyo wangu na kudate na mfanyakazi mwenzangu au nimpoteze na kubaki bila furaha hapa kazini?
Wanasheria mbalimbali wametoa maoni tofauti kuhusu kufukuzwa kazi kwa Meneja wa Shirika la Reli nchini (TRC) Kanda ya Dar es Salaam, Jonas Afumwisye huku baadhi yao wakionyesha nia ya kumpatia msaada wa kisheria.
Juzi, Afumwisye alipokea barua iliyosainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja...
Nilikuwa wa kwanza kushtuka kusikia fedha walizolipwa wafanyakazi wa MSD, lakini Baada ya kufanya utafiti nimebaini Kila mfanyakazi wa Serikali akisafiri nje ulipwa zaidi ya dola 350. Kabla ya kulalamikia MSD ni vyema tukafahamu sheria inayotumika kufanya malipo.
Kwa viongozi wakuu wa Nchi...
Mahakama Nchini humo imemhukumu Mfanyabiashara ambaye ni Raia wa China kifungo cha miaka 20 gerezani baada ya kurekodiwa akimpiga Mwananchi mwaka 2021
Sun Shujun alikuwa anakabiliwa ya Mashtaka ya kupiga Wafanyakazi wake waliokuwa wanatuhimiwa kwa wizi, ambapo katika video iliyorekodiwa...
Nchini Afghanistan, viongozi wa Taliban wamepiga marufuku wafanyakazi wa serikali ambao hawana ndevu kufika ofisini.
Taliban wanasema mfanyakazi yoyote wa serikali lazima awe na ndevu za kueleweka, hakuna kunyoa ndevu na wafanyakazi wote ambao hawana ndevu wamepewa muda kabla hawajafukuzwa kazi...
Anahitajika msichana wa kazi kutoka sehemu yoyote ndani ya Tanzania.
SIFA: umri kati ya miaka 18- 25
Mshahara: 70,000 (elimu ya darasa la saba kushuka chini) au 100,000 (elimu ya o'level)
Eneo la kazi: Tanga mjini
Awe tayari kuhama mkoa ikiwa muajiri atahamia mkoa mwengine.
Malazi na...
Wana JF,
Nijambo la kusikitisha sana kuona kiwanda cha mzalendo kilichojizolea sifa kemikemi kufanya hujuma na kufanya unyanyasaji wa wafanyakazi kwa kiwango chajuu.
Mpaka sasa hakuna mfanyakazi anaijua kesho yake maana mwenye kiwanda anakuwa kana ana kichaa. Hadi kuna wakati anamfukuza hadi...
Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga limeazimia kumfukuza kazi mfanyakazi mmoja wa halmashauri hiyo kwa kosa la utoro kazini huku likiwapeleka kwenye kamati ya maadili wafanyakazi watatu wa halmashauri hiyo wakiwa na makosa hayohayo.
Akisoma maamuzi ya baraza hilo Desdeurius...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.