mfanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ukipata mfanyakazi anayeenda sawa na maono ya biashara yako usimvuruge

    Watu wanaoomba kazi kwa sasa ni wengi mno ila bado waajiri wana changamoto ya kupata wafanyakazi watakaoenda sawa na maono ya kampuni zao. Ni ngumu kupata kijana mchapakazi, mwaminifu na makini kuendana na biashara. Unaweza pata mchapakazi na smart ila akawa na hitilafu kwenye uaminifu. Au...
  2. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa Tsh milioni 8 kwenye biashara ya uwakala kupitia mfanyakazi mzembe

    Aisee siku ya Jana imekuwa mbaya sana kwangu mfanyakazi wangu amenitia hasara ni hivi Kwa mujibu wake huyu binti walikuja jamaa wiki Moja kabla wakamuambia awape simu waweke laini akawapa wakati nilishamkataza asimpe mteja simu kilichotokea kumbe walisave jina langu namba yao kwenye simu yake...
  3. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi ana hela kuliko mfanyabiashara, but mfanyabiashara ana maendeleo kuliko mfanyakazi tujadili hili

    Mfanyakazi ana uhakika kesho nitapata anatumia yote, mfanyabiashara kisa senti kwake inatoka kwa hesabu ili asiue mtaji. Mfanyabiashara huwaza zaidi kuzidi kuwekeza mfanyakazi huwa zaidi kutumia.
  4. W

    JamiiForums Tanzania hakuna bosi mbongo mwenye biashara au kampuni anayependa maendeleo ya mfanyakazi wake

    Wengi wanakupenda ukiwa “useful but controllable”. Ukiwa na mawazo mapya, wanakuona mjanja sana umewazidi akili, unakuwa threat kwao. Ukiwa na ndoto kubwa, wanahofia utawazidi Ukijenga jina lako, wanahisi unataka kuondoka pamoja na wateja wao Hata ujidundulize ununue kagari, ujenge, n.k...
  5. The introvert

    JamiiForums Tanzania Kwako mfanyakazi ambaye bado unajitafuta kimaisha

    Hii ni kwako wewe mfanyakazi unaejitafuta kimaisha na kwa wote wanaofanya au kutarajia kufanya kazi ya kupokea mishahara Kama mshahara wako ni shilingi laki moja, waambie nduguzo unalipwa elfu 60 na watu baki waambie unalipwa elfu 40. Namba hazitakiwi kuwa halisi, ukitaja kiwango halisi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mi ni mfanyakazi katika wilaya ya Nyanghwale - Geita. Nilipata kibali cha uhamisho, mwaka sasa nazungushwa

    Kwanini uhamisho unakuwa kitendawili hivi?. Kama mtu ushatimiwa barua ya kibali cha kuhama toka TAMISEMI baada yakuona unastahili kwanini halmashauri iwe changamoto? Hata barua yenyewe kujua kama ilishatumwa ni baada ya kufuatlia TAMISEMI ndo unaambiwa kibali chako tayari kishatumwa kwa...
  7. haszu

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi mwenzangu amenitamani kisirisiri, ananionesha ishara ila hafunguki

    Leo alikuja ofisini kwangu, akaongea ongea ila nilihisi tu hayuko sawa, ghafla akanirukia akanikumbatia kwa sekunde kadhaa huku ameficha uso wake, baada ya muda aliniachia akaondoka kwenda ofisini kwake bila ya kuniambia chochote. Kabla ya tukio hili Kuna siku tulikua tunaongea, kumbe alikua...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Je Unafahamu mfanyakazi wako anakucost Sh ngapi? Fahamu hapa

    Hii ni kwenu waajiri, yalinikuta ndo maana nimefanya hivi. Makampuni mengi binafsi na wafanyakazi hawajui haswa gharama za jumla mfanyakazi anazochukua kila mwezi, siku akifanyiwa audit na TRA au NSSF wakitia timu machozi yanaanza. Wanafanyakazi wengi kwenye negotiation za mshahara anataja tu...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini uwe mfanyakazi wa serikali?

    Kumekuwa na nadharia tangu enzi za Nyerere mpaka sasa kwamba ajira ni utumishi wa umma tu, kisa kikubwa eti kuna security. Lakini ukiangalia wengi wa hao watumishi, ni watu wanaostruggle sana, angalia walimu, madaktari,wauguzi, nk. Asilimia 95 yao ni watu wanaoteseka na maisha. Mshahara wa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi mlinzi anahitajika wa kike au kiume

    Anahitajika mfanyakazi kazi ya ulinzi awe wa kike au wa kiume. Eneo la kazi ni Iringa mjini , mshahara 150.000. Shift ni usiku. Mawasiliano 0699626644
  11. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi kila mwaka Kanisa linaadhimisha Sherehe ya Mtakatifu Yosefu mfanyakazi, baba mlishi (Mlezi) wa Yesu Kristo

    Katika tafakari ya maisha ya kila siku, kazi ni kama jua linaloangaza jasho letu kuwa baraka, na juhudi zetu kuwa ibada takatifu. Tarehe 1 Mei, Kanisa Katoliki la Roma,linatufundisha kuyatazama maisha kwa macho ya Mtakatifu Yosefu Mfanyakazi , fundi wa mbao (seremala),baba mlishi wa Yesu Kristo...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Mfanyakazi wa Tanzania anatakiwa kabisa kufurahia kwa Mshahara wake kupandishwa kutoka Shilingi 370,000 hadi Shilingi 500,000?

    Kwa Ukokotoaji wangu wa huo Mshahara mpya wa Shilingi 500,000 na kwa hali ya sasa ya Kimaisha nimejikuta nikiutumia Kikamilifu kama ambavyo Roho Mtakatifu anataka, Katiba ya Tanzania inavyotaka, Mke na Mahawara wanavyotaka wote utaisha ndani ya Siku Saba tu za mwanzo na kwa Siku zote ama 21 au...
  13. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi ni nani?

    Mfanya kazi ni nani ? Au ni mtu yoyote mwenye cheque number ?
  14. IsaacMG

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa kuuza Duka la electronics anahitajika Kahama mjini

    Habari wadau. Nahitaji binti mwenye uzoefu na KAZI ya kuuza VIFAA VYA ELECTRONICS. ENEO LA kazi ni Kahama. Sifa Umri kuanzia 18 _ 30 Ajue kusoma na kuandika Awe na mdhamini mwenye Mali isiyohamishika. Awe mwaminifu. Awe mchangamfu na mwenye kauli nzuri Kwa wateja. Mshahara maelewano Mwenye...
  15. nipo online

    JamiiForums Tanzania Biashara yangu inachanganya mfanyakazi (fundi) anaenda kusoma Nimebaki njia panda

    Dogo amefaulu form 4 miez ijayo anatarajia kuondoka, na lazima aondoke, Mwaka jana mwezi wa 12 nilifanikiwa kufungua salon, ndipo nikamwita dogo aje apige kazi. Kabla hajaanza kazi nilimpeleka kwa fundi apate kozi fupi bada ya siku 12 nikamwachilia aje aanze kazi, Mwanzoni alipata changamoto...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Private mshahara milioni 12 anaenda kugombania kazi serikalini mshahara milioni 2, hiki ni nini kama sio ujinga ?

    Hata kama ni uoga huku kumepitiliza, sio uoga tena ni kukosa akili ya maisha. Mtu analipwa salary kwa dola, zikibadilishwa kuwa madafu zinakaribia milioni 12 per month kabla ya makato lakini hata kama anabakiwa na milioni 10 (milioni 120 kwa mwaka ) bado ni pesa ndefu, mambo yake safi kabisa...
  17. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyakazi wa Azam Tv, Rahabu Fungo amefariki Dunia

    TANZIA: Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio. Rahab amefariki dunia Aprili 5, 2025 jijini Dar es Salaam wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya...
  18. godiusngunda

    JamiiForums Tanzania Anaitajika mfanyakazi wa kuuza duka la nguo:

    Naitaji mfanyakazi wa kuuza duka la nguo za kike kariakoo. Vigezo:
  19. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfanyakazi wa saloon ya kike

    Wanajamvi natumai mko salama.kama nilivyodokeza hapo juu. Nahitaji mtu wa saloon ya kike, awe wa kike au wa kiume, kikubwa awe anajua kazi zote za saloon kama Kuosha wateja Kuweka Dawa Kusuka Misuko Tofauti Make Up kwa wateja Kubana styles tofauti. Awe anaishi Dar Nipigie kwa simu 0674626208...
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Husda: Dada( Graduate) huko Nigeria, alishwa sumu na rafikiye ( mfanyakazi mwenzake) Kwa sababu kapandishwa CHEO kazini.

    Huyu Dada( Marehemu) alikuwa na Masters. Na rafikiye ana Masters pia. Walikuwa wanafanya Kazi idara moja. Huyu Dada Marehemu akapandishwa cheo. Rafiliye Kwa sababu ya wivu akamuweka sumu kwenye chakula ili afe. Na huyu alie fanya hivyo ni msomi mwenye Masters.. This means what? Elimu ya...
Back
Top Bottom