Kutembea na mfanyakazi wa ndani (house maid) hakuna tofauti na mwalimu kulala na mwanafunzi ni kujizalilisha kabla ya kuzalilika

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Ndugu zangu nawasihi simameni kama wazazi!
Unapopoewa dhamana ya kumlinda mtoto wa mtu hakikisha unatimiza majukumu hata kama kuna udhaifu wowote!

Mimi enzi nafundisha shule ya kujitolea enzi hizo nimemaliza chuo!
Kuna kabinti kalinitamkia waziwazi Ikanahitaji penzi langu! Lakini nilikumbuka maneno ya mzazi wangu kwamba unapopatiwa majukumu simama kama mzazi hata kama kuna udhaifu!

Yule binti nilimsihi atulie asome kwanza mambo hayo yapo tu, nikamsihi awe na aman na nilipongeza kwa ujasiri wa kueleza hisia zake! Nikamwambia sasa kasome kwa bidii ngono haiui na wala haishishi (haitoshekeki)

Binti alielewa kwa vile niliongea naye kwa hekima kama mzazi alinielewa vizuri!

Sasa kizazi cha Leo imekuwa kawaida!
1. Mwenye nyumba kutembea na mfanyakazi house boy/girl
2. Imekuwa kawaida mwalimu kugeuza vimada wanafunzi
3. Huko mtwara kuna DC anatuhuma za kutembea na mwanafunzi

Haya ni mambo ya ajabu sana kwasababu!
1. Ukisimama kama mzazi hata binti wa kazi akikaa uchi utamkumbusha kuvaa
2. Ukisimama kama mzazi hata ukitegwa kimalaya unaelekeza kama mzazi

Binti wa kazi hata akikufunika shuka chumbani mkeo akiwa hayupo ukisimama kama mzazi huwezi katu katu kumgeuza mkeo!

Hata kama mkeo hakutimizii mwanaume anaejielewa huenda kuchepuka huko na wanawake ...kuliko kutembea na binti wa kazi au mwalimu kulala na wanafunzi!

Simameni kama wazazi jamani
 
binti wa kazi na mwanafunzi wapi na wapi?!!
 
Nikazie sio busara hata kidogo na wajitahidi kuwa wazazi kama usemavyo.

Kwani nje ya hapo wanaishia kutengeneza single mothers wapya tu kila leo na wafanye wafanyavyo hawawezi kuacha wake zao wakaoa mdada wa kazi au mwanafunzi labda wamuweke kimada tu na ukimada huo ni wa muda mfupi.

Akisha mpotezea muelekeo kila kona anamwambia rudi kijijini nitakufuata ambapo ndo inakuwa imetoka hiyo.
 
Back
Top Bottom