Natafuta Mfanyakazi wa stationery

Quintellaakn

New Member
Sep 29, 2022
2
3
NATAFUTA MFANYAKAZI WA STATIONARY
  1. Awe msichana mwenye umri wa miaka 22 - 30.
  2. Awe na ujuzi wa lugha ya Kiingereza na Kiswahili (Kuandika na kuongea)
  3. Awe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea
  4. Awe na ujuzi wa kutumia Komputer katika shughuli mbali mbali kama vile Typing, Printing n.k
  5. Awe na ujuzi wa kutumia vifaa vingine vya stationery kama vile printer, laminator, binding machine n.k.
  6. Awe mkweli na mwaminifu (asiwe mtu mwenye tabia za kuficha ficha mambo).
  7. Awe na spidi nzuri ya kuandika (typing speed at least 40WPM)
  8. Awe mtu mwenye heshima kwa watu wote.
  9. Awe mwaminifu na mwenye bidii ya kufanya kazi.
  10. Awe na skills mbalimbali mfano uwezo wa kutengeneza kadi za harusi na mualiko mbalimbali.
  11. Awe mkaazi wa Dar es salaam sanasana karibu na Gongo la Mboto ofisi zilipo.
Mwenye sifa tajwa na ambaye anauhitaji awasiliane nami kupitia watsapp no. 0655280133.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom