mfanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ELI COHEN

    Mfanyakazi wako unapokuwa hauko nyumbani 🤣🤣

  2. Kumi4

    Natafuta msimamizi wa shughuli zote za shamba

    Habari zenu wana Jukwaa, kijana wenu nina uhitaji wa msimamizi wa shughuli zote za shamba, kuanzia kilimo mpaka usalama wa shamba. Shamba liko Mkuranga, Kimanzichana eneo lina Ekari 6, kilimo kikuu kitakuwa ni mboga mboga (Bustani). Bajeti yangu ni 120,000 kwa mwezi pamoja na Unga kiroba kimoja...
  3. pelius laurent

    Data nafuu kwa mfanyabiashara (airtel sme menu)

    OFFLINE ❌ ❌ 🥶
  4. Miss Natafuta

    Mfanyakazi wa ndani mtu mzima anahitaji kazi kwa Tsh. 150,000

    Mi mamaa mtu mzima anahitaji kazi Kulea wazee. Kuangalia mzazi aliejifungua n.k Yupo Dar. Kazi kazi za nyumbani. Mshahara uanzie 150,000 Ni mchapakazi. Hana mume wala watoto, sio msumbufu.
  5. T

    Nilikuwa na mahusiano na mfanyakazi mwenzake, kajua naona kabadilika

    Nilikua Na Mahusiano Na Mfanyakazi Mwenzake, Kajua Naona Kama Kabadilika! Mwezi wa 3 mwaka jana nilianzisha mahusiano ambayo hadi sasa ninajutia kwanini niliyaanzisha. Ni mahusiano ambayo hayakudumu, tuliachana mwezi 8 mwishoni. Mwezi wa tatu mwaka huu nikakutana na mtu mwingine. Mimi ni...
  6. Roving Journalist

    Yapi Merkezi: Hakuna Mfanyakazi wa SGR atakayefutwa kazi bila kulipwa stahiki zake ikiwemo NSSF

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mfanyakazi wa Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR kulalamikia kuhusu Mkandarasi Mkuu wa Mradi, Yapi Merkezi, kuwa anawaondoa watu kazini kwa lazima kwa njia ya likizo na kuwa haingizi malipo ya NSSF, ufafanuzi umetolewa na Mkandarasi...
  7. W

    Mabosi punguzeni unoko duka linavyostawi mauzo, Binafsi ninajua kijana ananiibia kiasi kidogo lakini nimepiga kimya, nikimtoa ni ngumu kupata mbadala

    Kuna vijana unawaweka dukani unaona kabisa uwepo wao ndio unachangamsha biashara kuanzia kutafuta wateja, ku negotiate, kutangaza biashara, kazoeleka na wateja, n.k. yaani wewe kila ukienda kufunga hesabu unakuta daftari la mauzo linameremeta. Sasa kijana kaiba lets say elf 5 au 10 kwenye kila...
  8. The bump

    Mfanyakazi wa Usiku anahitajika

    Muda wa kazi Saa 4 Usiku - Saa 4 Asubuhi Majukumu: Wakala Mitandao ya Simu Mshahara 200,000 Mawasiliano: PM Eneo la kazi: Mbezi Mwisho VIGEZO NI VILE VILE KAMA 👇 https://www.jamiiforums.com/threads/anahitajika-binti-mwenye-uzoefu-na-kazi-ya-uwakala-wa-pesa-mitandao-yasimu-na-benki.2212350/
  9. BLACK MOVEMENT

    Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

    Gazeti la Raia mwema leo, Julai 10, 2024, linaeelezea utajiri wa kutisha wa mabosi wa TRA, hawa ndio wale hutuma vijana wao waje kiusumbua mtaani na kodi za Tsh. 100,000 wakati kuna watu wanakwepa kodi za trilion za pesa kwa makubaliano. Hawa ndio wale tunaambiwa tutunze amani ili waibe na kula...
  10. D

    Nafasi ya kazi kwa mfanyakazi wa Bar (Mhudumu wa bar)

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoelezea hapo kama unahitaji, una ndugu, jamaa au rafiki anayehitaji kaz ya Kuuza Bar anicheki. Majukumu yake ni Kuuza na kuhudumia wateja. Umri 20"s Uzuri ni sifa ya ziada. HAIZINGATIWI. ENEO LA KAZI NI MBEZI KWA Msuguri Mhudumu atakuwa analala kwenye eno...
  11. Meneja CoLtd

    Unamjua Mfanyakazi wa ndani (Jane 36) huko Marekani aliyeiba manii ya boss wake kwenye pipa la taka na kujipandikizia mimba na kudai huduma za mtoto?

    Mungu amewaumba wanawake kutokana na sisi na inapaswa kuishi nao kwa makini sana kwani wao ni wepesi kushawishika ingawaje wanaakili nyingi Huko marekani katika viunga vya Los angels mwanadada Jane 36 aliyejipatia utajiri kwa kuiba manii ya boss kutoka kwenye pipa la taka na kujipandikizia...
  12. kavulata

    Mei Mosi: Upo uhusiano kati ya maslahi Bora na mfanyakazi kuwa na kitambi?

    Niliowaona kwenye maandano siku ya mei Mosi, 85% ya wafanyakazi walioandamana mbele ya mgeni rasmi, Makamu wa Rais walikuwa na vitambi, viribatumbo. Yaani body mass index (BMI) zao ziko juu, kwa maana nyingine walikuwa na uzito mkubwa kuliko matarajio. Maswali ni, je, wafanyakazi walioandamana...
  13. Kaka yake shetani

    Millard Ayo amejifunza nini kwa kilichotokea kwa mfanyakazi wake mpiga picha kufariki

    Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo. Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza kurekebisha yale ambayo wale bodaboda wana lalamika kwenye tukio kuhusu msaada. Pia soma Zuchi Zuchero...
  14. W

    Rapa Kanye West Kushitakiwa kwa Unyanyasaji na Mfanyakazi wake wa zamani

    'Rapa' kutoka nchini Marekani KanyeWest amefunguliwa mashitaka na aliyekuwa mfanyakazi wake wa zamani katika shule yake ya 'Donda Academy' iliyopo Los Angeles, kwa ubaguzi na unyanyasaji. Mfanyakazi huyo aliyetambulika kwa jina la Trevor Philips amedai kuwa Kanye alikuwa akiwabagua wafanyakazi...
  15. K

    Anahitajika Mfanyakazi wa Stationery

    TANGAZO Anahitajika Mfanyakazi wa kike mchapakazi kwa ajili ya kazi za Stationery. Awe Mwaminifu na mdhamini mwenye makazi ya kudumu. Awe anajua Microsoft office(Ms Office , Ms Excel, PowerPoint, Ms Publisher) vizuri na Software angalau Moja ya Adobe. Awe anajua kupiga passport na kuprint...
  16. Informer

    TBC: Mfanyakazi aliyesoma habari kuhusu Meli ya MV Mwanza amechukuliwa hatua

    Vongozi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) unapenda kutoa fafanuzi kuhusu sehemu ya maudhui ya matangazo mbashara ya hafla ya ushushaji wa Meli ya MV Mwanza, Ziwa Victoria iliyofanyika tarehe 12 Februari, 2023 kwamba mtangazaji alichokusudia kukisema ni kuwa MV Mwanza itasafirisha mizigo...
  17. JanguKamaJangu

    LHRC yatoa angalizo juu ya Usalama wa Mfanyakazi wao, Wakili Joseph Oleshangay, yadai anatishiwa

    Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dkt. Anna Henga Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), leo tarehe 28 Machi 2024 kimezungumza na waandishi wa Habari juu hali ya Usalama wa Mfanyakazi wake Wakili Joseph Moses Oleshangay. Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dkt. Anna Henga akizungumza na Waandishi wa...
  18. Kusini pride

    Nimempiga mfanyakazi mwenzangu baada ya kula mbele yangu na akijua mie nimefunga

    Ujinga mie sitaki hata kidogo yaani mie nimefunga swaumu kwenye mwezi huu mtukufu wa ramadhani halafu kuna lijinga limoja likakaa mbele yangu na kuanza kula bytes zake na sharubati lakini nikamdhalisha oyaa mie nimefunga sihitaji kero hata kidogo lakini nafikiri kwa ujeuri wake akaanza...
  19. Suley2019

    Mfanyakazi wa zamani wa Boeing aliyekuwa akikosoa ubora wa ndege hizo akutwa amefariki nchini Marekani

    Bwana Barnett alifanya kazi kwa kampuni kubwa ya ndege ya Marekani kwa miaka 32, hadi alipojiuzulu mwaka wa 2017 kwa sababu za afya. Tangu mwaka wa 2010, alifanya kazi kama meneja wa ubora katika kiwanda cha North Charleston kinachotengeneza Dreamliner ya 787, ndege ya kisasa sana inayotumiwa...
  20. Kaka yake shetani

    Jamani nilichokikuta kwa mfanyakazi wangu kupika chipsi zege na samaki

Back
Top Bottom