Mfanyakazi anahitajika kwa kazi ya games ps4, ps3, na pc

BRUNOPACINO

New Member
May 30, 2023
3
1
KAZI YA KUWEKA GAMES KWENYE PC, PS3 NA PS4 🚨
MFANYAKAZI MWANAUME (MALE ONLY) ANAHITAJIKA

AWE NAVIGEZO VIFUATAVYO:

1. Awe Anaishi maeneo ya riverside, mawasiliano, sinza, mwenge au ubungo ,
2. Awe na ufahamu wa kuweka game na kutengeneza mashine za ps4, ps3, na PC
3. CV yenye wadhamini halali
4. Miaka 19 mpaka 25

NITEXT WHATSAPP NA CV ,DETAILS ZAKO NUMBER 0787304632y
 
Ila hiii Shana ya kuweka Aina ya mtu anayetakiwa kwenye kazi Ila salary eti Ni Siri inabidi hii dhana iondoke miongoni mwa jamii zetu za kiafrika sijui Ni kurogana watu wanaogopa.
Sio Siri nadhani.samahani sijalenga wewe mleta tangazo Ila Niko general,majuzi hapa tumeona mpishi anahitajika uk embassy in Tanzania salary 1M Ni ishu ya kawaida
 
Biashara za bongo hazielewek mkuu so kupanga malipo ni ngumu......nilichoki-notice vijana wengi wa kibongo tukipewa ofice au mradi hatuuchukulii serious kama vile ni wako wa kuhusika 100% bali tunafnya bora liende at the end biashara haikui hafu unalalamika malipo madogo....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom