membe

Bernard Kamillius Membe (born 9 November 1953) is a Tanzanian ACT-Wazalendo politician who was Minister of Foreign Affairs of Tanzania from 2007 to 2015. He served as a Member of Parliament for Mtama constituency from 2000 to 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. YEHODAYA

    Maalim Seif akana kuitwa msaliti kwa kukubali SUK asema sio kila jambo unasusia!

    Msikilize mwenyewe === Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema uamuzi wa ACT-Wazalendo na yeye kuridhia kujiunga na Serikali ya Umoja wa Kitafa Zanzibar (SUK) usitafsiriwe kuwa ni usaliti kwa wananchi. Unguja. Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif...
  2. MsemajiUkweli

    Baada ya Tundu Lissu, mwingine ambaye hatawasahau Watanzania ni Bernard Membe

    Hawa wanasiasa wawili hawatawasahau Watanzania katika maisha yao yote! Tundu Lissu alikuja nchini na ''mkwara mzito'' aliouanzia akiwa nje ya nchi alipokuwa anatoa hotuba mara kwa mara kwa Watanzania kama vile ameshakuwa Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu! Wakati wa kampeni...
  3. Influenza

    Bernard Membe, aliyekuwa mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo kwenye Uchaguzi 2020, ajiondoa kwenye chama hicho

    Bernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiko ambapo alifanya kampeni mikoa michache Aidha, Membe, mwanachama mwenye...
  4. Waminepo

    Bernard Membe yu wapi jamani?

    Ndugu wana jukwaa salam, Uchaguzi umepita na sasa ni wakati wa kuchapa kazi kujiletea maendeleo. Lakini si vibaya tukajuzana juu ya washindani katika nafasi mbalimbali, kwa mfano mzee wa niguse ninuke ama mzee wa bao la dakika ya 89 katika kinyang'anyiro cha ofisi namba 1 jamani yu wapi? Au ni...
  5. J

    GE2020 Membe hajafanya kampeni lakini kawa namba 3, CHADEMA nendeni na Benard Kamilus Membe mwaka 2025!

    Kama Membe ambaye hakufanya kampeni na mwishoe alijitoa kwenye uchaguzi ameshika nafasi ya 3 ina maana angefanya kampeni angekuwa namba 2 akimzidi Tundu Lissu wa CHADEMA. Napendekeza uchaguzi wa 2025 CHADEMA waende na Membe wanaweza kuambulia hata wabunge kadhaa wa kuchaguliwa. Membe ni wa...
  6. S

    GE2020 Bernard Membe: Uchaguzi huu ulikuwa wa madudu

    Watanzania wenzangu kuna barua inasaambaa kwenye mitandao ya jamii inayodai kwamba mimi nimempongeza Rais kwa ushindi wa Urais.Barua hiyo ni fake na ipuuzeni. Kamwe siwezi kumpongeza kwa uchaguzi wa madudu kama huu. Sana sana nitamwandikia kumwomba ajiuzuru ili uchaguzi urudiwe-Bernard Membe...
  7. ChangeTZ

    Benard Membe, hii ni zaidi ya ukachero

    LAZIMA tujue kuwa anguko la CHADEMA mwaka huu ni la kihistoria. Haijawahi kutokea tangu kuanza kwa Mfumo wa Vyama vingi mwaka 1992. Labda kwa wasiofahamu dhambi ya kumkataa Jasusi au Kachero (Membe) kwenye Chama hicho ndio mwanzo wa kujiangusha wenyewe. Membe hakuridhika kukataliwa na CHADEMA...
  8. Bernard Membe

    GE2020 Twende na Bernard Membe, tuunde Serikali ya kazi na bata! Naomba kura zenu

    Watanzania na wapiga kura wenzangu salaam, Mimi Bernard Kamillius Membe ni mgombea wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo. Tarehe 28/10/2020 ni siku ya kupiga kura ya kurejesha Uhuru uliopotea tangu awamu ya tano iingie madarakani miaka mitano...
  9. S

    GE2020 Bernard Membe akiri barua inayosambaa mitandaoni ni yake

    Kaandiki hivi kupitia mtandao wa twitter: Barua inayosambaa ya tarehe 24/9 ya kujiondoa kwenye mbio za Urais ni ya kweli. Niliandika baada ya kutofautiana na msimamo wa Viongozi wangu wa kutaka nimuunge mkono Tundu Lissu. Hata hivyo barua hiyo ilikataliwa kwa sababu maneno " msimamo wa viongozi...
  10. Lord Denning

    Waogope sana Makachero wenye haiba ya kucheka; Emerson Mnagangwa, Jakaya Kikwete na Bernard Camilius Membe

    Amani iwe nanyi wadau. Heri ya siku ya jumapili!! Leo napenda kuelezea kwa kifupi kuhusu makachero wenye haiba ya kutabasamu kucheka kuwa ni watu wa kuogopwa kupindukia 1. Emerson Mnagangwa Huyu sasa ndo Raisi wa Zimbabwe, kabla ya kuwa Raisi aliwai kuwa Makamu wa Raisi na kabla ya hapo...
  11. Roving Journalist

    GE2020 Bernard Membe alijitoa kugombea Urais kupitia ACT-Wazalendo tangu Septemba 24. Barua yake ilikataliwa

    Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo aliandika barua kujiondoa rasmi kugombea nafasi hiyo. Hata hivyo, barua yake ilikataliwa. Barua ambayo imesambaa mtandaoni imeonyesha hivyo na Kiongozi wa chama, Zitto Kabwe ameithibitishia JamiiForums kuwa ni barua ya kweli na kuwa...
  12. J

    GE2020 Nape: Membe akimaliza kazi tuliyomtuma kuumaliza upinzani atarudi CCM

    Aliyekuwa Katibu wa uenezi wa CCM na baadae kuachiwa jimbo la Mtama na Membe ili awe mbunge na Membe awe Rais, ndugu Nape Nauye amesema upinzani umerudia kosa lile lile walilofanya mwaka 2015 kwa kuwakaribisha Lowassa na Sumaye. Nape amesema Membe akikamilisha jukumu lililompeleka upinzani...
  13. share

    GE2020 Kumbe Mheshimiwa Membe ni laghai wa kisiasa!

    Tumuweke kwenye kundi gani huyu anayejipambanua kama jasusi mbobezi? Tukimuita laghai wa kisiasa tutakosea? Majuzi ameita press conference na kujinadi eti atafunga bao la dakika 89!!! Hivyo hilo bao ni watu kuiangalia sura yake!?! Mbona hatumsikii wala kumuona jukwaani? Mgombea gani wa Urais...
  14. R

    Membe hakuja ACT (upinzani) kwa vile wamekerwa na dhuluma ndani ya CCM, bali kwa vile wamekosa matarajio yao, ndiyo maana wanakuwa kero walikohamia

    Membe ameleta sintofahamu ACT kwa kiasi fulani juzi. Sababu ni matamanio yake yalityomtoa CCM anaona kama vile yanapotea akiwa ACT. Alidhani, na ACT walidhani ni asset , angelileta ushawishi na kukijenga chama, kumbe ni matatizo! Upinzani ujifunze, Hawa watu wasipokelewe tena.
  15. M

    GE2020 Kwenye Issue ya Membe, Maalim Seif umeover react na hii siyo sawa

    Kwanza niseme waziwazi kuwa mimi namuunga mkono Tundu Antipas Lissu kuwa ndiye mgombea ninayeamini anaweza kumng'oa John Joseph Magufuli na ndiye nitakayempigia kura. Lakini pamoja na hayo lazima nikiri kuwa chama kinachonivutia nchini kwa sera, kuzungumza masuala ya wananchi kwa hoja...
  16. Roving Journalist

    GE2020 Maalim Seif: ACT Wazalendo hatuna mpasuko lakini Membe anataka kuwaaminisha Watanzania hivyo. Adai Mzee wa Ubwabwa ni bora kuliko Mgombea wao

    Habari wana jf, maalim seif ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la Membe huku akimtolea maneno makali sana. Nimeshindwa kushangaa, leo hii maalim seif unasema Membe katumwa? Mbona siku ya kumpitisha pale chamani kuwa mgombea uraisi ulimsifia sana? Membe unalo la kujifunza, pole...
  17. Lord Denning

    GE2020 Bernard Membe tulimjua tangu awali. Hatusumbui, Mabadiliko ni lazima mwaka huu!

    Amani iwe nanyi wadau! Kwa wapenda mabadiliko wenzangu napenda kuwasalimu kwa furaha sana. Furaha Hii ni kwa sababu Kuu kuwa ile siku yetu muhimu i karibu sana. Tumebakiza siku Saba watanzania tuandike historia kuu, itakayosomwa na kuheshimiwa na vizazi na vizazi. Naomba nirudi kwenye mada...
  18. J

    GE2020 Umejifunza nini kwenye mkutano wa Membe na waandishi wa habari?

    Kama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais. Ikumbukwe kwamba kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo mhe. Zitto Kabwe na mwenyekiti wake mhe. Maalim Seif S. Hamad wameshatangaza...
  19. Roving Journalist

    GE2020 Bernard Membe: Watanzania mkae macho na mkae chonjo. Nafunga bao la Ushindi dakika ya 89 kwenye Uchaguzi huu 2020

    Salaam Wakuu, Leo Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Bernard Membe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar. Nipo hapa City Lodge Mjini kati kusikiliza kile atakachoongea niwajuze. Taarifa zote zitapatikana kwenye hii thread. Stay tuned. =====...
  20. M

    Bernard Membe kuongea na Wahariri leo Oktoba 19, 2020

    Kuna taarifa za awali zinaonyesha kuwa ‘Kachero Mbobezi’ ndugu Bernard Membe ameamua kufanya ‘maamuzi magumu’ na hivyo asubuhi ya leo mida ya saa 4 anatarajiwa ‘kulipuka’ mbele ya Wahariri wa Vyombo vya Habari jijini Dar. Je, tutarajie yepi toka kwa hili ‘joka la mdimu’? A) Atafanya kama Dk...
Back
Top Bottom