membe

Bernard Kamillius Membe (born 9 November 1953) is a Tanzanian ACT-Wazalendo politician who was Minister of Foreign Affairs of Tanzania from 2007 to 2015. He served as a Member of Parliament for Mtama constituency from 2000 to 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. tang'ana

    Membe uliponzwa na utovu wa nidhamu

    Nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kwa Mheshimiwa Bernard Membe kwa kuelezea namna alivyofitiniwa na Rais Dk. John Magufuli na kupoteza nafasi ya kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola. Pongezi hizi ni za dhati kwa sababu kwa maelezo ya Membe, Watanzania wanapata nafasi kuelewa...
  2. tang'ana

    Bernard Membe: Kuna umuhimu wa kufanya vetting kwa viongozi wetu kuhusu uraia na afya zao

    Mwanasiasa Bernard Membe anasema kuna umuhimu kwa viongozi wote kufanyiwa uchunguzi wa kina ili kujua historia na taarifa zao kwa kuwa baadhi yao si Watanzania. Huu ni mfululizo wa habari zinazotokana na mahojiano maalumu ya Membe na Gazeti la JAMHURI yaliyofanyika nyumbani kwake Mikocheni...
  3. SANCTUS ANACLETUS

    Swali chokonozi: Membe ni Jasusi Mbobezi au Doezi?

    Nimesoma mahojiano ya Mheshimiwa Membe na Gazeti la Jamhuri akilalama kwamba Marehemu Magufuli alimuwekea roho ya Korosho ili asiwe Katibu Mkuu wa Jumuia ya Madola.Kasema mengi ikiwemo jinsi hiyo “Roho ya Korosho” ilivyopelekea Membe kukosa donge la pesa zinazofikia paundi Bilioni Saba za Common...
  4. BAK

    Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

    Membe amwaga siri Magufuli alivyomfitini Atoboa mengine ya Bashiru, Polepole na wengine Aeleza namna Magufuli alivyomkwamisha Kenyatta DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (68), hatimaye amefichua mambo yaliyomfanya...
  5. Replica

    Benard Membe: Musiba hasimami tena na kujifanya yeye ni Mungu Mtu. Huko uliko naomba hela zangu

    “Niwaambie Watanzania wenzangu hakuna Mtanzania awe Ndovu au sisimizi mwenye kusimama juu ya sheria hakuna aliye juu ya sheria, ukimdhalilisha mwenzako ukadhani kwamba utaendelea kupiga miluzi na kufurahia kana kwamba wewe umefika Duniani kama Kiongozi au ndio mkubwa au Mungu Mtu, Mahakama Kuu...
  6. K

    Bernard Membe ni kachero asiye na maarifa, mwingi wa tamaa na majivuno

    Kuna wqtu utumika kumsifia Membe kama kachero Mbobezi bila kueleza amebobea kwenye lipi? Je, nchi yetu inaweza kujivunia Membe Kama kachero au ni mtumishi wa Umma aliyeajiriwa ofisi nyeti kwa kipindi flani? Kwa namna alivyojitanabaisha wakati akiwa Mbunge, akawa Waziri na baada ya kupokonywa...
  7. figganigga

    Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee

    Salaam Wakuu, Mwanadiplomasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020. Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema...
  8. K

    Kachero Mbobezi Bernard Membe kurudi CCM leo?

    Niko hapa Kijiji cha Mnala, Chiponda mkoani Lindi. Kuna ziara ya PM Majaliwa. Miongoni mwa wageni maarufu waliofika kumpokea mbali na Nape Nnauye ni pamoja na Membe aliyepokewa kwa heshima kubwa na wana CCM. Najiuliza je, leo anarejea chama chake cha zamani? Tusubiri dakika chache zijazo. Ova!
  9. F

    Bernard Membe mbona yupo kimya sana?

    Jasusi wa zamani wa TISS, Mwanadiplomasia na waziri mstaafu Benard Membe yupo kimya Sana awamu hii. Membe ni jasiri aliyemtikisa Magufuli na kukosoa utendaji wake tangu mwaka 2016 mwanzoni. Namnukuu"Rais Magufuli asitudanganye eti kapunguza matumizi ya serikali kwa kuunganisha wizara...
  10. Idugunde

    Yu wapi kachero mbobezi Bernad Membe?

    Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania. Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa. Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa kimya bila kutoa tamko la aina yoyote.
  11. J

    Laana ya mzee Membe itaendelea kumtafuna Zitto Kabwe hadi ACT wazalendo itakapokufa

    Kitendo cha KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe kumtelekeza mgombea wa chama chake mzee Membe na kumuunga mkono Tundu Lisu wa Chadema wakati wa uchaguzi mkuu hakikuwa cha kiungwana kabisa. Kwa sasa Zitto Kabwe anafanana na Augustino Lyatonga Mrema kwa kila kitu katika medani za siasa. Laana ya...
  12. J

    Je, Bernard Membe atarejea CCM tarehe 30/04/2021?

    Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba aliyekuwa mgombea urais wa ACT Wazalendo mh Bernard Membe atarejea CCM wakati wa mkutano mkuu maalum wa chama hicho mwishoni mwa mwezi huu. Ngoja tuone.
  13. mngony

    Yuko wapi aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe?

    Wakuu kama ilivyokuwa kwa Kinana, Balozi Membe hajaonekana kwenye matukio makubwa ya kitaifa kuanzia msiba wa Hayati mpaka shughuli za kitaifa zilizofuatia Yuko wapi? Kama sikosei muda mchache kabla ya uchaguzi alienda zake Dubai na sina kumbukumbu kama alirudi tena nchini. Nadhani hisia zake...
  14. jitombashisho

    Ukimya wa Bernard Membe

    Kimya mzee wa watu! Ukweli ni kwamba huwezi kushindana na JPM ukabaki salama kwa sababu JPM ni chaguo la Mungu. Mbwembwe, majigambo na hata kumtisha JPM eti akiguswa atanuka leo; yote hayo ni maneno ya mkosaji na hayana tija tena. Mitandao ilimdanganya anapendwa naye bila kufanya utafiti...
  15. Replica

    Yaliyojiri msiba wa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif

    Leo ni mazishi ya makamu wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad na mwili umeshawasili msikiti wa Maamur kutoka Lugalo. Watu kadhaa wamefika ikiwemo kiongozi wa ACT, Zitto Kabwe, mufti wa Tanzania na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete. ======== Zitto Kabwe: Assalam...
  16. K

    Kitu ambacho Membe hatokaa amsamehe Rais Magufuli maishani!

    Nawasalimu wanabodi. Mwaka 2015 Mwanadiplomasia mahiri na kachero mbobezi Bernard Membe alijaribu kuusaka Urais kupitia CCM lakini akakatwa jina lake hatua za mwisho. Macho na masikio ya wengi yalikuwa ni kwa Edward Lowassa na Membe lakini ngekewa ikamdondokea John Magufuli ambaye sasa ni...
  17. M

    Hivi mzee Membe alisharudi CCM?

    Ni muda sasa sijamsikia mzee wetu kachero mbobezi Bernard Membe hivi alisharudi CCM?
  18. J

    Membe: Sijaumbwa kuwa Rais wala sina tamaa ya Urais, mimi sitaki nionekane kibwengo

    Aliyekuwa Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amejaribu kwa wakati kugombea Urais na sasa wakati hauko upande wake tena hivyo anawatia moyo vijana kugombea. Membe amesema yeye hana tamaa na wala hajazaliwa ili awe Rais ndio maana anabakia kuwa mshauri. Ni fisi tu ndiye mwenye...
  19. Kinoamiguu

    Ujumbe kwa Membe: Kuwa mpinzani Tanzania ni jambo gumu na la wito kweli kweli

    Wandugu habari kwenu. Huyu mwamba alituaminisha kwamba anaweza kupambana. Akaenda kwa Zitto, Zitto akampa nafasi kubwa tu. Mshauri wa chama. Membe akateuliwa kuwa mgombea wa urais. Akaishia kujikunyata na kujiita mzee wa dk 89. Wewe Membe leo kaikana ACT hadharani. Ujumbe kwa Membe, kuwa...
  20. K

    Bernard Kamillius Membe ajiuzulu nyazifa zote ndani ya ACT Wazalendo. Kuwa mshauri wa kisiasa wa Tanzania

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa mstaafu, kachero mbobezi na Mwanadiplomasia mahiri Bernard Kamillius Membe tarehe Mosi January, 2021 ataongea na dunia kijijini kwake Rondo Lindi. Duru za kisiasa kutoka kwa watu waliokaribu na kada huyo wa zamani wa CCM zinaeleza kwamba pamoja...
Back
Top Bottom