membe

Bernard Kamillius Membe (born 9 November 1953) is a Tanzanian ACT-Wazalendo politician who was Minister of Foreign Affairs of Tanzania from 2007 to 2015. He served as a Member of Parliament for Mtama constituency from 2000 to 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    Bernard Membe usibishane na Maaskofu, samehe tu. Yule ni kichaa anastahili msamaha, hakujua atendalo

    Wanabodi, Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipokuwa akiyatenda hayo na kufanya makosa yale, hakuwa yeye, he was insane and possessed by demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa...
  2. D

    Tetesi: Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba

    Wakati dalali wa Mahakama kampuni ya Yono (vijana wa kazi) ikihesabu siku zilizobaki katika 14 (siku za kazi) alizolewa mtukanaji Cyprian Majura Musiba kumlipa fidia Kachero Bernard Membe jumla ya shilingi 9.2 Bilioni, Bwana Musiba amewaangukia viongozi wa dini Askofu Alex Malasusa (KKKT...
  3. Poppy Hatonn

    Musiba alikuwa anapata habari za kikachero na Membe ni kachero, sasa wanagombana nini?

    Ni vizuri kama hao watu wangepatana, kwa sababu they are on the same side. Inaoŋyesha kwamba makachero wanagombana wenyewe kwa wenyewe. Mimi napinga hili ambalo naliona kama jaribio la kuwatisha whistleblowers. It is an attempt to frighten the public. Halafu it is not clear who exactly it is...
  4. Yericko Nyerere

    Kwa hili la Balozi Mulamula, Taifa limekwepa aibu ya kumkosa Membe. Hongera Rais Samia

    Katika hili niseme Asante Rais, umeonyesha unavyozimudu siasa za nera na mdundiko wa vita vya medani. Nakumbuka nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madola iligombewa na Bernard Membe enzi za Magufuli, Lakini Rais Magufuli akagoma kumuidhinisha Membe akagombee, Diplomatic kadhaa walijaribu...
  5. Yericko Nyerere

    Kwa hili la balozi Mulamula, Taifa limekwepa aibu ya kumkosa Membe. Hongera Rais Samia

    Katika hili niseme Asante Rais, umeonyesha unavyozimudu siasa za nera na mdundiko wa vita vya medani. Nakumbuka nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madola iligombewa na Bernard Membe enzi za Magufuli, lakini Rais Magufuli akagoma kumuidhinisha Membe akagombee. Diplomatic kadhaa walijaribu...
  6. saidoo25

    Mzee Kikwete: Sina undugu na Membe

    Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amefafanua ukaribu wake na Mwanasiasa Benard Membe akieleza kuwa hana undugu naye kama ambavyo wengi wanazungumza CHANZO: Mwanachi Instagram -- Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amefafanua ukaribu wake na mwanasiasa Benard Membe akieleza kuwa hana undugu naye kama...
  7. Boss la DP World

    Nimeamini 100% Mwaka 2025 Rais ni Membe

    Siku moja nilikuwa Dodoma, jioni nikafika kwenye hotel moja inaitwa Morena kwaajili ya chakula cha jioni. Huwa napenda kwenda maeneo ya vile hususani nyakati za jioni maana kuna mengi waweza kujifunza japo vyakula vyao ni bei ghali. Katika meza nyingine walikuwepo wabunge wawili wa chama tawala...
  8. Analogia Malenga

    Membe: Tuwashirikishe UNESCO katika kukuza Kiswahili

    Mwanadiplomasia Bernard Membe ameshauri serikali kukuza kiswahili ili kiweze kuwa lugha inayotumika Afrika, kwa kuwa ushahidi upo kuwa lugha ya kiswahili inaweza kutumika bara zima. Amesema UNESCO wanahela wanaweza kusaidia kukuza lugha hiyo kwa kuanzisha chuo kikuu cha kiswahili ili watu...
  9. GENTAMYCINE

    Bernard Membe ungerejea CCM na kunyamaza tu ungeheshimika kuliko unavyobwabwaja sasa na kudharauliwa

    Tokea utangaze kurejea rasmi CCM ni kama vile umerukwa ghafla na Akili kwani 'unabwabwaja' mno mpaka 'Unaboa' na wengine tunajiuliza hivi huyu huyu ni Membe yule yule aliyekuwa Waziri wa 'Foreign Docket' au? Na nyie Watoto wa Mzee Membe hebu mshaurini basi Mshua wenu atulie tu ale Pensheni zake...
  10. Nyankurungu2020

    "Mungu ameumaliza ugomvi" Je, hii ni kauli ya Nape kufurahia kifo cha hayati Magufuli? Ndio kusema Mungu alifurahi Membe kurudi CCM?

    Hii kauli inachanganya sana. Maana ni wazi kuwa Nape na kundi lake walifurahi sana ? March 21 202. Hii kauli inachanganya sana👇
  11. Chagu wa Malunde

    Bernard Membe kumbuka wakati hizo maiti unazodai kuokotwa kwenye viroba Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais. Na hii bado ni Serikali ya awamu ya tano

    Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT. Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika? Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu. Vipi kuhusu ile...
  12. J

    Bernard Kamilius Membe apokelewa kwa heshima kubwa CCM

    KISHINDO CHA MEMBE KUREJEA CCM,SHAKA AONGOZA MAPOKEZI. ALIYEKUWA mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe ameeleza sababu zilizomfanya arejee CCM ikiwemo kuondoka kwa sababu ambayo ilimfanya atimkie...
  13. U

    Membe arejeshewa kadi yake ya CCM

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, leo amekabidhiwa kadi ya CCM na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho Shaka Hamdu Shaka, makabidhiano hayo yamefanyika Chiponda mkoani Lindi.. Awali Membe alifukuzwa uanachama na chama chake na kisha kujiunga na chama cha ACT Wazalendo...
  14. Q

    Halima usishupaze shingo omba radhi urudi kundini, jifunze kwa Sofia Simba na Membe

    Mifano iko mingi, najua Chadema unaipenda na Chadema inakupenda pia tatizo ni wewe kujiona unauwezo kukizidi chama, viongozi wako unawaita wahuni? Jishushe, bado naiona future yako ndani ya Chadema na si kwingineko. Membe, Lowassa, Kinana, Makamba sr, Nyalandu, Sumaye walijaribu kutofautiana na...
  15. L

    Ole Wao Waliohusika kuwakata Mikia Ndugu Bernard Kamilus Membe na Abdahaman Kinana

    Niwakumbushe wale wote waliohusika kukata mkia wa Bernad Membe na Abdalahmani Kinana.Inaoneka mikia imeshaanaza kuota upya.Itakumbukwa kwamba Ndugu Membe aliwahi kukili kuwa AMEKATWA MKIA Sasa wajiandae wao.labda zamu yao itakuwa kukatwa vichwa kabisa.Ila Mungu atwaepusha visasi. "BWANA...
  16. F

    Bernard Membe rasmi asamehewa na kurudi CCM

    Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemsamehe na kumrudishia uanachama wa CCM aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Camilius Membe aliyekuwa amefukuzwa ndani ya chama hicho. Pia soma Abdulrahman Kinana asamehewa, Bernard Membe afukuzwa rasmi CCM Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12...
  17. G

    Ndugu wanaCCM, Wembe alioutumia Polepole kumnyolea Membe kwanini usitumike sasa kumnyoa Polepole?

    Sote tunakumbuka ya kwamba Polepole akiwa katibu mwenezi wa CCM Taifa, alisimamia mchakato wa kumfukuza uanachama Membe kwa kosa la "kutamka" kwamba atachukuwa fomu ya kugombea Urais ili apambane na aliyekuwa Rais na mwenyekiti wa CCM Taifa ndugu Magufuli. Kwa kutumia "kanuni za chama" Polepole...
  18. DustBin

    UTABIRI: Bernard Membe kumrithi Rais Samia S. Hassan

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi. Pamoja na uzoefu wake ktk siasa, wenyeji ktk chama, na weledi wa mambo ya kimataifa BCM ana ziada ya mvuto wa nafasi ya urais. Ni wazi...
  19. jMali

    Mahojiano ya Membe: UWT mpo wapi?

    Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM. Hoja: Kwa nini UWT isilivalie njuga hizi...
  20. Suzy Elias

    Hayati Magufuli angejaliwa subira hakika angekuwa habari nyingine

    Pamoja na kupungukiwa subira hakika JPM alikuwa na tamaa ya dhati kabisa kuisaidia Nchi yetu iweze kufikia maendeleo ya kweli. JPM hakuwa na subira ya hata chembe kitu ambacho kiliwaumiza na wasio husika. Mfano mzuri ni suala la vyeti fake JPM alitakiwa angalau wale ambao walikuwa na uzoefu wa...
Back
Top Bottom