Uchaguzi 2020 Kumbe Mheshimiwa Membe ni laghai wa kisiasa!

share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
6,062
10,461
Tumuweke kwenye kundi gani huyu anayejipambanua kama jasusi mbobezi? Tukimuita laghai wa kisiasa tutakosea?

Majuzi ameita press conference na kujinadi eti atafunga bao la dakika 89!!! Hivyo hilo bao ni watu kuiangalia sura yake!?! Mbona hatumsikii wala kumuona jukwaani?

Mgombea gani wa Urais asiyejinadi yeye mwenyewe, wabunge wake, madiwani wake wala kushirikiana na viongozi wa chama chake? Anatafuta Urais binafsi au unaodhaminiwa na chama? Mhe. Membe, mbona husomeki?
 
Samaki nje ya maji hana ujanja, chama chakavu kilimpa mbeleko
Tumuweke kwenye kundi gani huyu anayejipambanua kama jasusi mbobezi? Tukimuita laghai wa kisiasa tutakosea? Majuzi ameita press conference na kujinadi eti atafunga bao la dakika 89!!! Hivyo hilo bao ni watu kuiangalia sura yake!?! Mbona hatumsikii wala kumuona jukwaani? Mgombea gani wa Urais asiyejinadi yeye mwenyewe, wabunge wake, madiwani wake wala kushirikiana na viongozi wa chama chake? Anatafuta Urais binafsi au unaodhaminiwa na chama? Mhe. Membe, mbona husomeki?
 
Tumuweke kwenye kundi gani huyu anayejipambanua kama jasusi mbobezi? Tukimuita laghai wa kisiasa tutakosea?

Majuzi ameita press conference na kujinadi eti atafunga bao la dakika 89!!! Hivyo hilo bao ni watu kuiangalia sura yake!?! Mbona hatumsikii wala kumuona jukwaani?

Mgombea gani wa Urais asiyejinadi yeye mwenyewe, wabunge wake, madiwani wake wala kushirikiana na viongozi wa chama chake? Anatafuta Urais binafsi au unaodhaminiwa na chama? Mhe. Membe, mbona husomeki?
Nimegundua ccm ni chama hatari sana.
2013 nilisikiaga kuwa Lowasa atagombea chadema sikuamini lakini ilitukia.

Baada ya 2015 Membe alijifanya kutoridhika na uongozi wa JPM akatuaminisha kuwa ni mpinzani ndani ya ccm kumbe lilikuwa linaandaliea kuja kuvuruga uchaguzi...ashukuriwe Mungu amepigwa chini.

Ninaamini muda huu ccm wameanza kuandaa uchaguzi wa 2025.
Waponzani tujifunze kitu na tuwe wajanja

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Tumuweke kwenye kundi gani huyu anayejipambanua kama jasusi mbobezi? Tukimuita laghai wa kisiasa tutakosea?

Majuzi ameita press conference na kujinadi eti atafunga bao la dakika 89!!! Hivyo hilo bao ni watu kuiangalia sura yake!?! Mbona hatumsikii wala kumuona jukwaani?

Mgombea gani wa Urais asiyejinadi yeye mwenyewe, wabunge wake, madiwani wake wala kushirikiana na viongozi wa chama chake? Anatafuta Urais binafsi au unaodhaminiwa na chama? Mhe. Membe, mbona husomeki?
Dili la CCM kuwa na wagombea wawili mwaka huu limebuma .
 
Tumuweke kwenye kundi gani huyu anayejipambanua kama jasusi mbobezi? Tukimuita laghai wa kisiasa tutakosea?

Majuzi ameita press conference na kujinadi eti atafunga bao la dakika 89!!! Hivyo hilo bao ni watu kuiangalia sura yake!?! Mbona hatumsikii wala kumuona jukwaani?

Mgombea gani wa Urais asiyejinadi yeye mwenyewe, wabunge wake, madiwani wake wala kushirikiana na viongozi wa chama chake? Anatafuta Urais binafsi au unaodhaminiwa na chama? Mhe. Membe, mbona husomeki?
Tayari pemba wamemsomea Albadiri kubwa mda si mrefu ataokota makopo
 
Membe baada ya kuporwa pesa zake zote na wasaidizi wake kufungiwa A/c zao amepagawa ndipo polepole akaitumia fursa hiyo hiyo vizuri kupiga pesa ganji 10% kwa mgongo huo huo
Hiyo nayo ya kuporwa pesa zake ilkua drama tu mimi naona, Naamini pesa zake ziko salama! Membe sio wa kumwamini kabisa hata kidogo, Ndio maana TAL alistukia mchezo bado mapema!
 
Tumuweke kwenye kundi gani huyu anayejipambanua kama jasusi mbobezi? Tukimuita laghai wa kisiasa tutakosea?

Majuzi ameita press conference na kujinadi eti atafunga bao la dakika 89!!! Hivyo hilo bao ni watu kuiangalia sura yake!?! Mbona hatumsikii wala kumuona jukwaani?

Mgombea gani wa Urais asiyejinadi yeye mwenyewe, wabunge wake, madiwani wake wala kushirikiana na viongozi wa chama chake? Anatafuta Urais binafsi au unaodhaminiwa na chama? Mhe. Membe, mbona husomeki?
Mbona kisha funga

Dakika ya 89 aka membe ndoo hii

Maalimu Seif nje Zito nje hawana sifa tena membe ndo anachukua chama ...
 
Hakika sasa imebainika kuwa Bernard Membe, Mwesiga Zaid mgombea ubunge ACT Wazalendo jimbo la Kibamba jijini Dar es Salaam ni mpango mkakati wa mikono ya kujasusi kuhujumu demokrasia na chama cha ACT-Wazalendo
Image result for if you can't defeat your enemy join them quotes
The best way to control the opposition is to lead it ourselves. LENIN and now Bernard Carmillius Membe

23 October 2020
MPASUKO MKALI: ACT WAMVAA MAALIM SEIF, WAMKATAA TUNDU LISSU - "MGOMBEA WETU WA URAIS NI MEMBE"

MGOMBEA Ubunge (ACT WAZALENDO) katika jimbo la Kibamba, advocate Mwesigwa Zaidi, amesema wao kama chama cha ACT Wazalendo, wanamuunga mkono mgombea wao wa Urais, Benard Membe...wakili Mwesiga Zaidi naye alikuwa kada na mwanachama wa CCM kabla ya kuhamia ACT-Wazalendo baada ya juhudi zake za kuwania kuteuliwa kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM 'kugonga' mwamba Julai 2020.
 
22 Aug 2020

WAKILI ALIYEKWAMA UBUNGE CCM ATIMKIA ACT WAZALENDO, ACHUKUA FOMU YA UBUNGE KIBAMBA DAR-ES-SALAAM

Advocate Mwesiga Zaidi aliyekuwa kada na Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ubungo mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia aliwania nafasi ya kuteuliwa na chama hicho nafasi ya Ubunge wa jimbo la Kibamba, Mwesigwa Zaidi leo Agosti 22 amehamia chama cha ACT Wazalendo na kuchukua fomu ya kuwania ubunge.
 
Tumuweke kwenye kundi gani huyu anayejipambanua kama jasusi mbobezi? Tukimuita laghai wa kisiasa tutakosea?

Majuzi ameita press conference na kujinadi eti atafunga bao la dakika 89!!! Hivyo hilo bao ni watu kuiangalia sura yake!?! Mbona hatumsikii wala kumuona jukwaani?

Mgombea gani wa Urais asiyejinadi yeye mwenyewe, wabunge wake, madiwani wake wala kushirikiana na viongozi wa chama chake? Anatafuta Urais binafsi au unaodhaminiwa na chama? Mhe. Membe, mbona husomeki?
Membe ana hasira ya kuingizwa mjini na ZZK , wakati yeye ndio alitangulia mjini
 
Back
Top Bottom