Bernard Kamillius Membe (born 9 November 1953) is a Tanzanian ACT-Wazalendo politician who was Minister of Foreign Affairs of Tanzania from 2007 to 2015. He served as a Member of Parliament for Mtama constituency from 2000 to 2015.
Kuna hili jambo limenifikirisha sana hadi hatimaye nimepata jibu.
Ukiacha kuwa Bernard Membe alikuwa ni kama backup iwapo Tundu Lissu angeenguliwa, lakini naona kubaki kwa Membe kwenye karatasi ya kura kunaweza kuwa na faida kubwa kwa CHADEMA na Lissu siku ya upigaji kura.
Wote tunajua vita...
MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA.
Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa:
1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT...
Wakuu Salaam:
Bernard Membe kama kabwaga manyanga basi tutangaziwe rasmi maaana haonekani kokote.
Kama amerudi tena India tujue mgombea wetu saivi hayuko nchini!
JPM ratiba zake ziko wazi na kama hafanyi kampeni basi ratiba inaonyesha kua ana likizo, kulikoni Membe?
It is gratifying to see my Leader and Brother Hon. Zitto Kabwe recovering well at Aghakan Hospital. I wish him a very safe and a successful surgery that will be performed tomorrow. He has my prayers!
Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania
Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
Hawa wagombea wachanga kama huyu wa Kigamboni waliingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge huku wakiamini fika kuwa ujio wa Membe ndani ya ACT Wazalendo ungekuwa mkombozi kwao na walitarajia angewainua vilivyo.
Membe hata alipokuwa Pemba na Unguja pamoja na Maalim alishindwa kabisa kutumia jukwaa...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Wakati jitihada za kuzuia mafuriko zinaonekana tokea kwa wateuliwa tusiache kutoa pongezi panapostahili.
Bwana Membe hongera:
Mabwana Sirro, mahera na msajili salamu kwenu.
Huyu mnayemchukia ni kipenzi cha wengi. Acheni kila mtu ashinde mechi zake mwenyewe...
Hivi karibuni tuliambiwa kuwa kutakuwa na Kimbunga cha Bernard Membe. Kiko wapi? Je aliwalaghai wananchi mbona hata hajatoa taarifa za Kukacha Kampeni?
Je, ulaghai kama huu wananchi watauvumilia kweli na Kumpa kura tarehe 28?
Nini maana halisi ya Barua hii ya Chama cha ACT Wazalendo waliyomuandikia msajili wa Vyama vya Siasa kujibu Tuhuma dhidi yao.
Ni dhahiri kuwa ACT imekosa imani na mtu waliomsimamisha kuwania Kiti cha Rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu nchini Tanzania. Na hili linaweza kuwa funzo kwa baadhi...
Siasa ni mchezo mmoja wa ajabu. Siasa haitaki hasira wala kuilazimisha. Taabu anayopata Mh Magufuli kujinadi sasa hivi haikutegemewa, pamoja na mazuri mengi aliyofanya.
Ndugu yetu Membe kaingia siasa kwa mdundiko wa wengi.
Wapiga mdundiko walipotuliza ngoma sasa ndo tunaona mambo dhahiri...
Maneno yanayoendelea mtandaoni ni mengi ila inaonyesha Membe kakaza hawezi kuruhusu kuacha kujaribu kutetea ndoto yake ya kuwa rais.
Awali Membe alijiamini kuwa na watu wengi nyuma yake ambao angehama nao, lakini akajikuta ameondoka mwenyewe, wale wachache kutoka CUF na CCM waliojiunga na ACT...
RASMI: ACT-WAZALENDO YAMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CHADEMA
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza chama chao kumuidhinisha Mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Maalim Seif ameyasema hayo saa chache...
Vipi mgombea huyu hasikiki kwa muda sasa toka amerejea kwenye "matibabu" Dubai?
Kama mitikasi imevurugika ACT Wazalendo, kwanini isiungane na Lissu kuongeza nguvu kama CHADEMA walivyoamua kumuunga Maalim Seif Zanzibar?
Mzee wangu Membe ulisafiri kwenda Dubai falme za Kiarabu kwenye vikao vyako vya kila mwaka,jamii ya kitanzania ilikusubiri kwa hamu ili kuanza kampeini katika maeneo mbalimbali nchini.Umerudi salama mungu ni mwema hujaonekana kabisa kwenye kampeini zako.
Kibaya zaidi katibu wako alikamatwa pale...
Kampeni zinaendelea na leo Chama cha ACT-Wazalendo wanazindua kampeni zao Lindi, wagombea wote kwa upande wa Jamhuri na Zanzibar wameshawasili uwanjani na kwa sasa kikundi cha burudani kutoka Lindi kinatoa burudani ya utangulizi. Tuwe pamoja kujuzana yatakayojiri.
=====
Maalim Seif: Nasema...
Ndugu zangu najua mtakuwa mnanishanga . kila kukicha ukweli ni kwamba bado ACTwazalendo wanaongea na CHADEMA tuweze kuwa kitu kimoja, lakini hadi sasa mambo ni mazuri na kama mnavyo ona hi graph ndivyo mdogo wangu @TunduALissu atakavyo shinda kama wa Tanzania, tukiamua. - Bernard Membe
Nimekuwa nikifuatilia kauli za Bernard Membe kuanzia alipoteuliwe kuwa mgombea wa ACT Wazalendo.
The man is very soft. So naive. Bora hata Lowassa wa 2015. Yaani anaongea kama ananong'oneza fulani hivi hataki asikike. Anaibua mashaka mengi sana!
Nashauri watu wake wa karibu wamjulishe kuwa ni...
BREAKING NEWS : Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa, amesema msaidizi wa @BenMembe Jerome Luanda yuko mikononi mwa polisi na ni mzima wa afya hivyo wanaodai ametekwa ni waongo.
====
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.