Uchaguzi 2020 Umejifunza nini kwenye mkutano wa Membe na waandishi wa habari?

John Mloy

Member
Dec 21, 2012
37
154
Kama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais.

Ikumbukwe kwamba kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo mhe. Zitto Kabwe na mwenyekiti wake mhe. Maalim Seif S. Hamad wameshatangaza waziwazi kwamba wanamuunga mkono na watampigia kura mgombea wa CHADEMA mhe. Lissu kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na inavyoonekana mheshimwa Membe atakuwa keshafanya vikao na viongozi wake wakuu wa chama na kuwakatalia kwamba hatamuunga mkono mhe. Lissu

Ninachokiona ni kwamba mheshimiwa Membe ana uchu sana na madaraka au anataka kugawa kura za upinzani hata baada ya kukosa mvuto kwa wananchi lakini bado anang'ang'ania kwamba ataiangusha CCM katika uchaguzi huu kitu ambacho ni ndoto za mchana.

Sasa ni dhahiri kuwa ACT hawakupiga hesabu zao vizuri walipompokea mheshimiwa Membe, walidhani angekuwa Asset lakini sasa amekuwa Liability!
 
...
Ninachokiona ni kwamba mheshimiwa Membe ana uchu sana na madaraka au anataka kugawa kura za upinzani hata baada ya kukosa mvuto kwa wananchi lakini bado anang'ang'ania kwamba ataiangusha CCM ktk uchaguzi huu kitu ambacho ni ndoto za mchana.
...
... hilo pili ndio sahihi; yuko kwenye mission maalum! Baada ya uchaguzi atarudi zizini japo mkia ukiwa umekatika!
 
Kama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais.

Ikumbukwe kwamba kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo mhe. Zitto Kabwe na mwenyekiti wake mhe. Maalim Seif S. Hamad wameshatangaza waziwazi kwamba wanamuunga mkono na watampigia kura mgombea wa CHADEMA mhe. Lissu kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na inavyoonekana mheshimwa Membe atakuwa keshafanya vikao na viongozi wake wakuu wa chama na kuwakatalia kwamba hatamuunga mkono mhe. Lissu

Ninachokiona ni kwamba mheshimiwa Membe ana uchu sana na madaraka au anataka kugawa kura za upinzani hata baada ya kukosa mvuto kwa wananchi lakini bado anang'ang'ania kwamba ataiangusha CCM katika uchaguzi huu kitu ambacho ni ndoto za mchana.

Sasa ni dhahiri kuwa ACT hawakupiga hesabu zao vizuri walipompokea mheshimiwa Membe, walidhani angekuwa Asset lakini sasa amekuwa Liability!
Sijamwelewa anasema wametangaza kumuunga mkono Lisu kama individuals co chama?huyu hajatumwa kweli huyu
 
1. Nilichojifunza ni kuwa usione mtu anakunywa kahawa mchana ukadhani anaburudika, ni mlo huo kati ya milo mitatu.
2. Usione mtu asinzia mchana ukadhani anakesha night! Anakula mno mihogo mibichi na iliyoiva kama sehemu ya milo mitatu.
 
Kama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais.

Ikumbukwe kwamba kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo mhe. Zitto Kabwe na mwenyekiti wake mhe. Maalim Seif S. Hamad wameshatangaza waziwazi kwamba wanamuunga mkono na watampigia kura mgombea wa CHADEMA mhe. Lissu kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na inavyoonekana mheshimwa Membe atakuwa keshafanya vikao na viongozi wake wakuu wa chama na kuwakatalia kwamba hatamuunga mkono mhe. Lissu

Ninachokiona ni kwamba mheshimiwa Membe ana uchu sana na madaraka au anataka kugawa kura za upinzani hata baada ya kukosa mvuto kwa wananchi lakini bado anang'ang'ania kwamba ataiangusha CCM katika uchaguzi huu kitu ambacho ni ndoto za mchana.

Sasa ni dhahiri kuwa ACT hawakupiga hesabu zao vizuri walipompokea mheshimiwa Membe, walidhani angekuwa Asset lakini sasa amekuwa Liability!
Mimi nijuacho Membe yupo kwenye mission kubwa ambayo for 70% I think he did those mission for Lissu but most of audience doesn't know the sequence of mission because of low brain
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom