INNOVEX is a Pan-African advisory and assurance services firm providing professional services in Sub-Saharan Africa with a focus in Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda, Southern Sudan and South Africa. We are very pleased to invite job applications from self-motivated and performance driven...
Hawa jamaa hawana affiliation na FIFA ni watu wa takwimu za michezo SINCE 1984 jana wametoa takwimu zao za teams 400 bora duniani simba ikiwa nafasi ya 361 na ligi ya Tanzania ikiwa ya 8 barani afrika bila shaka kutokana na libeneke la simba sc kwa melezo zaidi ngia kwenye website yao.
Na...
Watangazaji wa clouds Media kwa niaba ya media imependekeza siku ya kuzaliwa ya mhe Raisi Mama Samia Suluhu ingizwe kwenye calendar ya kusherekea siku ya kuzaliwa kama ilivyo Nyerere day n.k iwe sehemu ya siku ya kitaifa
I am a student from Germany writing my master thesis about freedom of press in Tanzania with a focus on the media policy during the time of president Magufuli. My aim is to grasp the opinions and the discourse about that topic in the JamiiForums.
How does the digital public think about this...
Wadau salama? Naomba kwa mtu anayejua hizi Paid Social Media ajaribu kutoa ufafanuzi hapa maana nimefuatwa na raia ananihamasisha kwamba kuna hizo jobs ambazo unazifanya remotely! Na wewe unaendelea na mambo yako mengine huku unapiga mpunga! Lakini kuna kiingilio kwanza cha kama U$ 30 hivi...
Kama ni Rais huyu huyu Samia Suluhu Hassan alishasema katika moja ya Hotuba yake Kubwa kuwa Watanzania tusiache na wala tusiogope Kumkosoa leo hii Spika Ndugai nae katoa Maoni yake kwanini aandamwe na aonekane Mkosaji Mkuu?
Moja ya Kazi Kuu ya Media inayojitambua ( Siti hii yetu ya Waswahili )...
Ngoja niwasaidie kuelewa MUZIKI na Aina yake naongea Kama mwandishi wa MUZIKI .. changamoto ata sisi waandishi tunapitia mtu anakupa beat ya amapiano au ya bolingo af anakwambia niandikie isound Kama ya mtu fulani. Kwa vile analipia mwandishi atajitaidi kuweka signal flan za asili za Aina iyo ya...
Wakuu Igweeeeee.
Naomba radhi sana kwa wale ambao hawatapendezwa na huu Ukweli. Azam Media kwa kushirikiana na Bodi ya Ligi na TFF mmeamua kwa sababu zenu kuhujumu Soka letu katika kipengele cha Kuhakikisha Azam Media anauza zaidi haki za Matangazo na kuzuia timu kupata viingilio vya Milangoni...
DVI: KAMPUNI HEWA INAYOJIPATIA MABILIONI AZAM MEDIA, IMETUMIA JINA LA AZAM MEDIA NA KUCHOTA MABILIONI ZBC KINYUME CHA SHERIA
Ni kampuni ya mfukoni iliyosajiri jina DUBAI, UAE. Inamilikiwa na Mfaransa Gael Lancrenon.
Hana Nyaraka halali wala ofisi Dubai, anatumia anuani ya Kampuni ya Ushauri wa...
Kampuni ya mtandao wa kijamii ya Trump yapata dola bilioni 1 kutoka kwa wawekezaji
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Mradi mpya wa Donald Trump wa mtandao wa kijamii umechangisha $1bn (£755m) kutoka kwa wawekezaji kabla ya kuorodheshwa katika soko la hisa.
Taasisi ya habari na teknolojia ya...
Salaam,
Naomba nianze kwa kuipongeza kampuni ya Azam kwa kuliheshimisha soka la bongo kwa kurusha LIVE matangazo ya mechi za ligi kuu ya NBC. Ombi langu kwenu AZAM MEDIA ni kuwa mtume timu ya wataalamu wenu waende uingereza,spain au ujerumani wakajifunze namna ya kurekodi na kurusha matangazo...
Habari wa ndugu?
Binafsi nmekua nikifatilia na kushangaa baadhi ya media kuruhusu na kuajiri aina ya watangazaji wa kiume ambao kimwonekano katika jamii hauendani na real African man.
Jambo lenyewe ni jinsi baadhi ya wanaume kujihusisha katika vipindi vya umbea na kuchambana, hii inanipa shida...
Huyu Admin amekuwa anapost kwenye ile page ya Simba SC kama vile ni page ya familia yake. Anaweza kupost kwa siku zaidi ya mara tano na mara nyigi anapost mipasho na kejeli zisizo na maana ikizingatia ile page ya Simba na timu kubwa nchini. Ukienda timu za wenzetu huwezi kuona huu upuuzi.
Juzi...
Leo nimepata wasaa wa kuangalia local channel clouds tv kwakuwa mimi si mshabiki wa local channel ni nadra kwangu kuangalia hizi channel.
Wakati naangalia porojo za kipindi cha 360 ndipo nikagunduwa hawa clouds kupitia kipindi hiki cha 360 nimebaini kuna utapeli unaendeshwa wameupa jina la pata...
Beware of mainstream newspapers, TV stations, and websites which censor the truth while spreading dangerous misinformation, lies, and propaganda about the pandemic and the harmful, often fatal genetic COVID-19 “vaccines” which are directly killing and maiming millions of people.
The “Dirty...
Ukiteka vyombo vya habari umeteka dunia.
TB Joshua (hayati) alikuwa amkaribii kwa chochote Mzee Oyadepo.
Oyadepo ndio mchungaji Tajiri kuliko wote ulimwengini.
Amehamasisha watu wengi kuwa matajiri duniani. Ukisoma kitabu cha Oyadepo ukaja ukisoma cha TB ni sawa na kula Mua na kisha...
Kumbe huu Upole wa hizi Wiki Mbili ni za Kuwaza jinsi ulivyooa kwa Mikogo ( japo waliofanikisha Ndoa yako ndiyo hao hao tena Wanakusaidia Kazi ) na sasa Mke Kakukimbia na unahaha Kumrudisha ila mpaka Mightier naandika Uzi huu hujafanikiwa bado.
Na ili uone kuwa Watu tunajua Kufukunyua Taarifa...
Nimesikitika sana kuona @dr_chriscyrilo yupo ndani siku 3 lakini hakuna main stream media iliyojishughulisha kuripoti zaidi ya @bbcswahili. Yani media za Ulaya zinaumizwa na matukio ya uonevu na zinaonesha kujali zaidi utu wetu kuliko media zetu? Seriously? Mnataka nani "akamatwe" ndio mripoti...
Mitandao ya kijamii inashiriki sana kuelimisha umma wa Watanzania kwa namna mbalimbali kuanzi hapa Jamiiforums, Twitter n.k
Nashauri serikali ianze mpango wakutoa Motisha kwa baadhi ya wanaoendesha hii mitandao wakiwemo kina Mexence Melo na wengine ili kuwatia moyo kwa kazi kubwa wanayofanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.