Mnaohojiwa na Media kuhusu hii Bukoba Plane Crush ni kwanini mnaanza Kumpa Pole Rais Samia? Kwani Yeye ndiyo Kafiwa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,674
109,076
Na cha Kushangaza zaidi huyo huyo ambaye Mnajipendekeza Kwake na Yeye pia kawapa ( katoa ) Pole kwa Wafiwa na Familia zao sasa nyie hizi Pole zenu Kwake zinatokana na nini?

Yaani kila Kiongozi ( Boss fulani ) akipelekewa tu Microphone na Camera Kuzungumzia Ajali ya Jana Mkoani Kagera badala ya Kuanza kutoa Pole kwa Wafiwa na Familia zao Wote wanaanza kumpa Pole Rais Samia.

GENTAMYCINE nikiletewa Microphone na Camera Kuzungumzia hii Ajali nitasema yafuatayo.....

"Natoa Pole zangu nyingi kwa Marehemu na Wafiwa wote huku nikimuomba Mwenyezi Mungu aziweke Roho zao mahala pema Peponi na nawaombea Nafuu Majeruhi wote. Hata hivyo lawama zangu nyingi na Tukuka nazipeleka kwa Rais wa Tanzania kwa Serikali yake Kushindwa kuwa na Vikosi imara vya Uokozi hasa katika Ajali na Majanga makubwa kama haya"

Nimemaliza.

Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie.
 
Watu wa Chama chakavu hao.
JamiiForums997452841.jpg
 
Na cha Kushangaza zaidi huyo huyo ambaye Mnajipendekeza Kwake na Yeye pia kawapa ( katoa ) Pole kwa Wafiwa na Familia zao sasa nyie hizi Pole zenu Kwake zinatokana na nini?

Yaani kila Kiongozi ( Boss fulani ) akipelekewa tu Microphone na Camera Kuzungumzia Ajali ya Jana Mkoani Kagera badala ya Kuanza kutoa Pole kwa Wafiwa na Familia zao Wote wanaanza kumpa Pole Rais Samia.

GENTAMYCINE nikiletewa Microphone na Camera Kuzungumzia hii Ajali nitasema yafuatayo.....

"Natoa Pole zangu nyingi kwa Marehemu na Wafiwa wote huku nikimuomba Mwenyezi Mungu aziweke Roho zao mahala pema Peponi na nawaombea Nafuu Majeruhi wote. Hata hivyo lawama zangu nyingi na Tukuka nazipeleka kwa Rais wa Tanzania kwa Serikali yake Kushindwa kuwa na Vikosi imara vya Uokozi hasa katika Ajali na Majanga makubwa kama haya"

Nimemaliza.

Wapuuzi na Wanafiki wakubwa!!
Kwenye ndoa tunaambiwa tuwasifie wanawake sasa sijui wamehamishia huku pia

Always wanawake wanapenda kusifiwa
 
Genta,huo ndio ukweli wenyewe.Pesa za kurusha kipeperushi Cha idadi ya watu, kwa helicopter zipo .Pesa za kuweka vifaa na kikosi imara cha uokoaji kwenye majanga hakuna.

Pesa za kununua mashangingi kwa ajili ya makada wa CCM wanaoitumikia serikali zipo,lakini za kujenga uwezo wa kuitikia dharula hakuna.

Halafu mkuu wa mkoa kwenye speech yake anasema watanzania wamuombe Mungu majanga kama haya yasitokee.

Huu ni ujinga wa hali ya juu na maneno yatokayo kwenye kinywa Cha asiyejali.

It is a simple fact kwamba as long as Kuna vyombo vya moto vinavyoendeshwa na wanadamu,ajali lazima zitokee.

Hivyo ni wajibu wa Serikali kuhakikisha rapid response team zipo kila mkoa ili kufanya uokoaji na sio kumuomba Mungu pekee .
 
Na cha Kushangaza zaidi huyo huyo ambaye Mnajipendekeza Kwake na Yeye pia kawapa ( katoa ) Pole kwa Wafiwa na Familia zao sasa nyie hizi Pole zenu Kwake zinatokana na nini?

Yaani kila Kiongozi ( Boss fulani ) akipelekewa tu Microphone na Camera Kuzungumzia Ajali ya Jana Mkoani Kagera badala ya Kuanza kutoa Pole kwa Wafiwa na Familia zao Wote wanaanza kumpa Pole Rais Samia.

GENTAMYCINE nikiletewa Microphone na Camera Kuzungumzia hii Ajali nitasema yafuatayo.....

"Natoa Pole zangu nyingi kwa Marehemu na Wafiwa wote huku nikimuomba Mwenyezi Mungu aziweke Roho zao mahala pema Peponi na nawaombea Nafuu Majeruhi wote. Hata hivyo lawama zangu nyingi na Tukuka nazipeleka kwa Rais wa Tanzania kwa Serikali yake Kushindwa kuwa na Vikosi imara vya Uokozi hasa katika Ajali na Majanga makubwa kama haya"

Nimemaliza.

Wapuuzi na Wanafiki wakubwa!!
Jamuhuri ya kujipendekeza, hii nchi watu wana jipendekeza acha kabisa
 
ugali mkuu, tatizo ugali
 
Dah! Hilo povu mzee limejaa beseni
 
Wanajipendekeza kuanza kutoa pole kwake,iliparwa waanze na pole kwa ndg,jamaa na marafiki ndiyo wamaliziye na mkuu wa nchi.
 
Back
Top Bottom