Amani iwe nanyi:
Natoa pole kwa vilabu vya Tanzania vilivyoumaliza mwendo katika mechi za awali za Mashindano ya Afrika ,nazungumzia Yanga,Azam na Kipanga.
Mara baada ya mechi za jana nilitulia kidogo kufanya tathmini kujua mapungufu ya vilabu vya Tanzania katika soka la Kimataifa, nikagundua...
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane.
Miaka ya fulani baada ya kumaliza shule ya sekondari,niliamua kwenda kumsalimia Ba'mdogo aliyekuwa mkuu wa shule fulani ya sekondari hapo kwenye hicho kijijini.
Wana kijiji walikuwa wakimpa heshima kubwa Ba'mdogo kwasababu wanafunzi wote waliosoma...
MCHAWI WA VIPAJI VYA MTU MWEUSI
Kipaji, ni uwezo wa asili wa kutenda mambo makubwa na yenye matokeo bora, kwa kutumia nguvu na rasilimali ndogo ukilinganisha na watu wengine. (tafsiri kwa mujibu wa kitabu cha KIPAJI na Emilian busara na mrembo Grace, 2015 ). Kwa ujumla kipaji huambatanisha...
Story: MCHUNGAJI MCHAWI.
Mtunzi: Nellove😎
Episode: 01
WhatsApp: 0759941164
"Naitwa Juliana. Napenda kumshukuru sana Mungu mwenyezi kwa kunitendea muujiza mkubwa maishani mwangu. Sikuwahi kutegemea kama Mama yangu ataweza kutembea tena lakini kwa uwezo wa Mungu anatembea sasa" ilikuwa sauti ya...
Nahitaji mawasiliano ya mchawi au mganga yoyote ambae ni proffesional, nina ndoto ya kuanzisha college ya kufundisha teknolojia ya uchawi ivyo basi nahitaji kuonana na proffesional wa hii taaluma ya uchawi ili anithibitishie juu ya uwepo wa hii teknolojia na anipe mwongozo mzuri wa kutimiza...
Habari!
Kichwa hapo juu kinajieleza
Kuna watu kila mwaka Magufuli alipotangaza kugoma kuongeza MISHAHARA kwa watumishi wa umma wao walufurahia huku wakitoa sababu eti Magufuli analeta maendeleo, mara Magufuli anapambana na kupunguza ongezeko la bei ya vitu .
Lakini cha ajabu kila mwaka vitu...
Jana jioni kupitia Radio one nimemsikia Muwakilishi au Kiongozi wa Wamiliki wa Usafirishaji Dar akiongea kwa jazba sana kulalamikia nauli kutokupanda kwa namna ambavyo wangetamani.
Bwana huyu alienda mbali zaidi na kuwalaumu sana LATRA kuwa ndio wanaowaangamiza wao Wamiliki wa Vyombo vya...
Tofauti ya mkristo na mwanasayansi. Mwanasayansi anapoishia mkristo ndipo anaishia.
Kuwa mkristo ni kuamini unauwezo wa kuongea na kuvielekeza hata vitu visibyoongea na vikatii. Katika sayansi hiki kitu hakipo. Ikiwa unaamini Biblia na huamini haya, imani yako iko chini kuliko imani ya wachawi...
JE MWISHO UTAKAPOFIKA NITAKUWA NA CHAKUONYESHA? NISIJEGEUKA MCHAWI!
Anaandika Robert Heriel.
Hapo nilipomtembelea Babu yangu, Yule aliyenifundisha mambo mengi ya zamani na ya milele, ya Raha naya taabu! Ya gizani naya Nuruni, yote aliyojaliwa na Mungu kunifunza. Nikamtembelea siku zile...
Polisi mkoani Njombe imeonya wananchi kujihusisha na vitendo vya ushirikina na kubainisha kuwa yeyote atakayemuita jirani yake mchawi na kukamatwa kwa tuhuma hizo itapelekea kuhukumiwa kwenda jela miaka saba bila ya kuwa na dhamana.
Hayo yamebainishwa na Sajenti Thobias Nyagawa wakati Polisi na...
Habarini wana JamiiForums,
Nimejaribu kujiuliza maswali, Kuhusu Uchawi na Uganga, sasa nikaja kugundua kwamba Hakuna Mganga asiye Mchawi na ingawa siyo wachawi wote ni waganga.
Sasa kinacho nifanya nije kwenu nikujua wataalaamu wa haya maswala kama wanaweza nipa Jibu ya swali langu, Kwamba...
Ninakumbuka Waziri Angela Kairuki alivyopewa tu Wizara hii basi huyo akachikichia shimoni kutoka siasani. Wizara hii wakati huo ikiwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Mara baada ya Kairuki kuchikichishwa shimoni ikaonakena kuboresha mambo ya uwekezaji Wiazara hiyo ikavutwa kwa Mh. Rais mwenyewe...
Habari wana JF
Mimi ndugu yenu nina makubwa ambayo yamenifika na sijui nitayatatua vipi?
Nina mke wangu nilimuoa mwaka 2015, baada ya kuishi nae miaka kama 7 sasa kuna siku juzi nipo kazini nikapokea simu kutoka kwa mdada wa kazi pale nyumbani akinitaka nirudi haraka nyumbani, bila kusita...
Sipo hapa kumshawishi mtu aingie kwenye ushirikina, sipo hapa kudharau Imani ya dini ya mtu yoyote. Ila Nipo hapa kusema ukweli.
Watu wanatupa moyo kuhusu mafanikio, wengi wao husema kufanya kazi kwa bidii ndio njia ya mafanikio! Wao huita hiyo ndio Siri!
Lakini Ndugu zangu nipo hapa kuwapa...
Leo wakati nadamka asubuhi, mishale ya saa 12 nikasikia kelele uko mtaa wa pili, sijui mchawi kanasa
Kijana nikajitusua kwenda kushuhudia maana sikuwahi kushuhudia mchawi kunasa naskia fununu tu mbalimbali
Wakati nikielekea nilikuwa na dada mmoja, ambaye tuko naye nyumba moja yule dada matusi...
Kisa hujuma: Yanga Kupumzisha nyota wake
.
🗣"Tutakuwa makini zaidi kwenye mechi yetu dhidi ya Mbeya Kwanza, tunajua mipango iliyopo, tutafanya hivi kujiweka katika nafasi salama kwa sababu tunahofia kupata kadi za njano na kupelekea baadhi ya nyota kuukosa mchezo dhidi ya Simba hapo Desemba 11...
Kwamba ukiwa Na hirizi ya Simba uta demonstrate sifa, nguvu Na uwezo kama WA mnyama Simba kama vile kuogopeka nakadhalika.
Muumini WA Dini ZA kiafrika ( ambae anaweza kuwa muislamu au mkristo) mchawi WA kiafrika, mganga wa kiafrika, mchawi WA kiarabu, mganga WA kiarabu akitaka hirizi ya Simba...
Nimeiona hii video ya tukio lililotplea tarehe 4 ikimuonesha mchawi akiwanga, pia anaonekana live anapotea
Teknolojia ya ku edit nayo imekuwa sana siwezi kuamini moja kwa moja
Najua uchawi upo maana nimewahi kukaa mitaa ambayo ikifika usiku kuna fujo zao zinafanya wengi walale kw wasiwasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.