mchawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Magori utulize wenge lako, kama mnamtafuta mchawi anza na bosi wako kisha wewe mwenyewe maana ndiyo mshauri wake

    Nimeona bwana Crescentius Magori ametweet kwamba wamesalitiwa kwenye mechi ya leo na inaonekana kuna baadhi ya wachezaji wataangushiwa jumba bovu muda si mrefu kuwa wameisaliti timu. Kitu ambacho bwana Magori na viongozi wenzake awataki kukubali ukweli kwamba timu waliyonayo kwa sasa ni tofauti...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kama CCM siyo adui, mchawi wetu ni nani?

    Tufike mahali tuwe tayari hata kumfunga paka kengele. Tanzania ni nchi nzuri sana yenye kila kitu watu, madini, ardhi, mafuta, gesi, mito, maziwa hadi bahari. Mvua za uhakika na urithi mkubwa wote bure toka kwa Mola. Iweje tufikie kufarakana kwa sababu za kisiasa? Kwamba ni CCM, Chadema...
  3. babyfancy

    JamiiForums Tanzania Naota mdogo wangu ananikaba usiku. Je, anaweza kuwa mchawi?

    Msaada jamanI Nina mdogo wangu wa kike ana miaka 18 mwanzo nilikua naota wachawi wanakuja kumuiba nyumban nikawa nikawa namuokoa na kuna siku nilikua nimeenda nyumbani na tulilala wote usiku nikaota ananikaba tulipambana kweli na asubuhi yake nikamwambia kuna mtu kanikaba usiku akaniuliza...
  4. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Je, huyu mwanamke alikuwa mchawi?

    Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu wa mbinguni hakuna laana. Niliwahi kuishi na mdada mmoja wa kiha. Kuna matukio mawili niliwahi kutana nayo wakati naishi naye. SIku moja usiku nzito Sana nikiwa nimelala na Yule Dada nikiona ndoto naona mle chumbani Kuna watu wanaingia huku mmoja akiwa amepanda...
  5. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Kikulacho ki nguoni mwako na mchawi hatoki mbali

    Mara nyingi unaweza kudhani kwamba upo salama na umezungukwa na watu wanaokutakia mafanikio na kumbe ni kinyume chake. Kuna mtu pale Halmashauri nilimuomba nimuweke kwenye CV yangu kama referee akakubali. Nikampa rafiki yangu namba yake ampigie ajitambulishe kama HR officer wa shirika fulani...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe, tuache kulaumu wanaume

    Mwanamke anataka jamii imtambue kama mtu dhaifu anaehitaji kulishwa, kutunzwa na kutunduliwa na mwanaume, anaona ni sawa lazima atolewe mahari na kuhurumiwa sana na kupewa upendeleo na wanaume. Mwenyezimungu amewaumba viumbe wake wote sawa bila upendeleo wowote ila tofauti unazoziona baina ya...
Back
Top Bottom