mchawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    John Bocco kwanini anaanza dhidi ya Phiri?

    Jamani me naanza kuamini msemo wa Ajibu kuwa Bocco mchawi. Why Bocco anapewa nafasi na Phiri anakaa nje? Hivi kweli Phiri wa kukaa benchi na Bocco kuanza? Pili, kwanini mpaka leo Simba inasajili wachezaj ambao wakija hawachezi badala yake tunaona watu waliochoka wanapewa nafasi akina Mkude na...
  2. G

    Waarabu na wahindi tangu utotoni wanafundishwa biashara, mbongo anasubiriwa hadi afike 25. Kuna haja ya kuendelea kumtafuta mchawi ?

    Na ndio chanzo kikubwa cha biashara nyingi zilizofanikiwa kuanza kuyumba pale baba akifariki kila kitu kinaparanganyika. Unakuta familia tayari inajiweza kiuchumi inaingiza makumi ama mamia ya mamilioni kila mwezi lakini wazazi wanawakomalia watoto kusoma tu na matuisheni utadhani sio familia...
  3. Mamujay

    Ukioa/kuolewa na mchawi Kuna siku utaliwa nyama

    Habari ndio hiyo, Kama anakula tu za wenzake ipo siku watamwambia alete ya ampendaye ambaye ndio wewe mme/make. Ukiona mshirikina jibu ni moja dini kama hatak mwache usije ukawa msosi.
  4. R

    Kwanini waumini wengi wa Dini ya Kikristo wanaamini mkristo aliyefanikiwa ni mchawi au anatumia nguvu za Giza?

    Wakristo wengi wanamwomba Mungu awape maarifa ya kutafuta Mali.Wengi wanafanikiwa; wakifanikiwa Tu wenzao uacha kumtukuza Mungu Kwa kumpa utajiri mwenzao badala yake umwita freemason. Wachungaji wote waliofanikiwa nchini wanaitwa freemason. Wafanyabiashara nao freemason. Je, Mungu wa wakristo...
  5. M

    Wanaume tuongee na Madaktari

    Wanabodi hali ni mbaya sana huku majumbani. Madaktari Madakatari Madaktari.... Sijui mmevurugwa na nini? Sijui ni kwa maksudi au kwa sababu ya Utaalamu kiduchu au Mshahara hautoshi? Au mmeamua kutukomesha? Usiombe Mchumba /Mkeo wako ajifungue kwa njia ya kawaida kupitia kwenye Uzazi wake...
  6. and 998 others

    Maendeleo Zanzibar mchawi Tanganyika

    Tukisherehekea Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar niwakumbushe tu 1. Namna ambavyo Zanzibar ni Maarufu Kwa utalii wa fukwe. Ila kikwazo Ni Tanganyika, Mfano, Mtalii Lazima apate viza ya Muungano ili kuingia Zanzibar (ambao mgao wake haueleweki).
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Tofauti kati Mchawi na Mkristo

    Mkristo anataka apendeze ndipo aende kanisani, mchawi anaenda kuwanga akiwa uchi. Mkristo anahangaika sana kuuremba mwili wake kwa mavazi mazuri, lakini roho yake imejaa uwongo, chuki, masimango, uchoyo, na vitu vingi vibaya. Mchawi hana muda na mwili wake, ameikabidhi roho yake yote kwa...
  8. love life live life

    CHADEMA wasitafute mchawi 2025 watakapopata kura moja

    Leo naona wanashangilia kama mazuzu, hawana tofauti na mtoto aliyechapwa akaanza kulia akapewa pipi akanyamaza akiulizwa nani amekuchapa anamnyooshea kidole mtu aliyekuwa anambembeleza kipindi analia kabla ya kupewa pipi na mtu aliyemchapa. DJ hana chakupoteza keshalamba asali toka siku ya...
  9. February Makamba

    Naomba mtu anifanye kuwa mchawi

    Cambodia! Nahitaji mtu anifundishe (anitrain) uchawi Kama ni hela nitamlipa baada ya zoezi. Bajeti yangu ni laki5. Ninataka mtu anitrain kuamka usiku na kuacha mwili kitandani na kuanza kutembea katika ulimwengu wa roho, kuingia ndani ya nyumba watu wamelala na wasikuone, Kuwapa usingizi wa...
  10. Msanii

    Bunge la CCM ndiyo mchawi wetu

    Bunge hili lililotokana na Uchafuzi Mkuu ndilo limetultea Tozo lukuki Mfumuko wa bei Mkwamo miradi ya kimkakati Mgao wa umeme Wastaafu kutolipwa mafao Wizi wa bando Ongezeko la uhalifu Utendaji holela serikalini Uchawa Ni bora Bunge hili likastaafishwa kwa lazima 2025. Kila hoja hapo juu...
  11. Unique Flower

    Nilimpata mchumba mchawi

    Jamani mwezi wa pili nilitoa uzi kuhusu kutafuta babe, wakaja wengi wazuri. Loh, kumbe ni lichawi! Visa nilivyovipata mpaka niliamua kwenda kwenye maombi. Akikupigia mkapigana usiku, unamuota kashika fimbo meaning anakuuliza, utanisamehe au hii fimbo inakuishia yote? Nasema nimekusamehe...
  12. T

    Jinsi jinamizi la soka la kasi linavyotesa vilabu vya soka nchini Tanzania

    Amani iwe nanyi: Natoa pole kwa vilabu vya Tanzania vilivyoumaliza mwendo katika mechi za awali za Mashindano ya Afrika ,nazungumzia Yanga,Azam na Kipanga. Mara baada ya mechi za jana nilitulia kidogo kufanya tathmini kujua mapungufu ya vilabu vya Tanzania katika soka la Kimataifa, nikagundua...
  13. UMUGHAKA

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane. Miaka ya fulani baada ya kumaliza shule ya sekondari,niliamua kwenda kumsalimia Ba'mdogo aliyekuwa mkuu wa shule fulani ya sekondari hapo kwenye hicho kijijini. Wana kijiji walikuwa wakimpa heshima kubwa Ba'mdogo kwasababu wanafunzi wote waliosoma...
  14. Mr Kachila

    SoC02 Mchawi wa vipaji vya mtu mweusi

    MCHAWI WA VIPAJI VYA MTU MWEUSI Kipaji, ni uwezo wa asili wa kutenda mambo makubwa na yenye matokeo bora, kwa kutumia nguvu na rasilimali ndogo ukilinganisha na watu wengine. (tafsiri kwa mujibu wa kitabu cha KIPAJI na Emilian busara na mrembo Grace, 2015 ). Kwa ujumla kipaji huambatanisha...
  15. Nellove Da Presenter

    SIMULIZI: Mchungaji Mchawi (01)

    Story: MCHUNGAJI MCHAWI. Mtunzi: Nellove😎 Episode: 01 WhatsApp: 0759941164 "Naitwa Juliana. Napenda kumshukuru sana Mungu mwenyezi kwa kunitendea muujiza mkubwa maishani mwangu. Sikuwahi kutegemea kama Mama yangu ataweza kutembea tena lakini kwa uwezo wa Mungu anatembea sasa" ilikuwa sauti ya...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Suguye ni mchawi au ni Mtumishi wa Mungu?

  17. Natafuta Ajira

    Naomba msaada wa namna yoyote ya kukutana au kuwasiliana na mchawi au mganga proffesional

    Nahitaji mawasiliano ya mchawi au mganga yoyote ambae ni proffesional, nina ndoto ya kuanzisha college ya kufundisha teknolojia ya uchawi ivyo basi nahitaji kuonana na proffesional wa hii taaluma ya uchawi ili anithibitishie juu ya uwepo wa hii teknolojia na anipe mwongozo mzuri wa kutimiza...
  18. Samia atosha tukutane2030

    Kama unachukia watumishi kuongezewa MISHAHARA basi jua tu kuwa wewe ni mchawi

    Habari! Kichwa hapo juu kinajieleza Kuna watu kila mwaka Magufuli alipotangaza kugoma kuongeza MISHAHARA kwa watumishi wa umma wao walufurahia huku wakitoa sababu eti Magufuli analeta maendeleo, mara Magufuli anapambana na kupunguza ongezeko la bei ya vitu . Lakini cha ajabu kila mwaka vitu...
  19. May Day

    Wamiliki wa Mabasi na Daladala, kwani Mchawi wenu ni nani, mbona mnatutusi abiria?

    Jana jioni kupitia Radio one nimemsikia Muwakilishi au Kiongozi wa Wamiliki wa Usafirishaji Dar akiongea kwa jazba sana kulalamikia nauli kutokupanda kwa namna ambavyo wangetamani. Bwana huyu alienda mbali zaidi na kuwalaumu sana LATRA kuwa ndio wanaowaangamiza wao Wamiliki wa Vyombo vya...
  20. mitale na midimu

    Hiki ndicho Mchawi anamzidi Mkristo asiyeamini hivi

    Tofauti ya mkristo na mwanasayansi. Mwanasayansi anapoishia mkristo ndipo anaishia. Kuwa mkristo ni kuamini unauwezo wa kuongea na kuvielekeza hata vitu visibyoongea na vikatii. Katika sayansi hiki kitu hakipo. Ikiwa unaamini Biblia na huamini haya, imani yako iko chini kuliko imani ya wachawi...
Back
Top Bottom