Kama unachukia watumishi kuongezewa MISHAHARA basi jua tu kuwa wewe ni mchawi

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,701
36,119
Habari!
Kichwa hapo juu kinajieleza
Kuna watu kila mwaka Magufuli alipotangaza kugoma kuongeza MISHAHARA kwa watumishi wa umma wao walufurahia huku wakitoa sababu eti Magufuli analeta maendeleo, mara Magufuli anapambana na kupunguza ongezeko la bei ya vitu .
Lakini cha ajabu kila mwaka vitu vilipanda bei mpaka anakufa na mshahara uleule.
Samia soon akatupandisha madaraja angalau tukaenda benki kukopa kwa ajili ya maendeleo yetu maana watumishi wengi hatukai kota wala hatulipwi housing allowance lakini kuna watu walichukia akiwemo jamaa yangu mmoja hivi ambaye Mimi ndiye nilimuunganishia nafasi aliyonayo kazini kwetu. Eti kisa yeye wa mkataba hajapandishwa daraja.
Leo kapandisha mshahara bado kuna watu kama wamechukia mpaka kudiriki kuleta Uzi hapa bila aibu.
Huo ni ushirikina
Usijifanye una akili kuliko Rais SAMIA, kuliko Mtaalamu wa fedha Philip Mpango na wataalamu wengine.
Narudia tena, huo ni uchawi.
Mnaona raha watumishi tukining'inia kwenye daladala?
Mnaona raha watumishi tukija kukopa unga kwenye maduka yenu?
Mnaona raha watumishi tukisomesha watoto shule za serikali?
Mnaona raha watumishi tukizeeka kwa shida?
Haya niambie wewe mtumishi mwenye mshahara wa laki tatu yaani take home ya 270000 kabla ya kukopa hiyo pesa ataitumiaje kwa mwezi mmoja?
Mtumishi mwenye mshahara wa 400000 mwenye take home ya 360000 kwa mwezi mmoja ataitumiaje?
Mnaona wivu watumishi wakifungua miradi yao ya kujikwamua?
Huo ni uchawi.
Mtakufa haraka kwa kinyongo
Samia aishi miaka mingi
July tukutane benki tukazichote, safari hii sitaki mbwembwe, nanunua ng'ombe 2 wa maziwa inatosha kunipa pesa ya ku survive nyumbani.
 
Kiuungwana tu ungewauliza hao wanaochukia ongezeko hilo la mishahara kwamba wana sababu zipi za msingi za chuki hio?
 
[/QUOTE😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom