mchanganyiko

  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko wa nyanya, parachichi na vitunguu maji ni sahihi kiafya?

    Nimepanga niwe ninaula huo mchanganyiko mara tatu kwa wiki. Ni kachumbari ya nyanya, parachichi na vitunguu maji. Japo naweza kuitumia bila ya kuiwekea chumvi, ikiwekwa alau kidogo ladha yake inakuwa nzuri sana. Hata hivyo, kwa kuwa lengo langu kuu si shibe wala ladha bali afya, nimekuwa...
  2. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Lugha mchanganyiko

    Ukifika mitaa ya Mbezi mwisho ukiulizia mkalimani Clark huwezi nikosa kabiiiiiisa Ni Mimi mtaalamu wa lugha ninayeweza kuongea Hadi lugha tano 😌 Leo tunaanza na salamu za asubuhi English--Goodmorning Spanish--buen día Chinese--早上好(zaoshang hao) Italiano--Buongiorno Japanese--おはよう(ohayo)...
  3. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi ni Mchanganyiko wa Mdude + Lissu. Je Alikuwa Wapi Wakati wa Hayati Magufuli?

    Ni wazi hakuna ubishi Man of The Moment (MOTM) kwa sasa ni Wakili Boniface Mwabukusi kutokana na namna alivyolibeba suala la Bandari/DP WORLD kwa mabega mawili. Wanasiasa na Wanaharakati wengi wameongea kama kina Lissu, Mbowe, Slaa, Tibaijuka, Shivji, Binti Sarungi, Madeleka na Nshala. Lakini...
  4. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko katika maisha haya ya ndoa

    Katika maisha hasa ya ndoa mambo Mengi hutokea...Kama kupishana maneno , kutofautiana kifamilia Kwa mke na mume ila yote ni maisha Mtu anayapitia . Ili mtu Aishi Kwa Raha lazima aweje?? Kwa maana mtu ambaye amezoea kudekezwa kweli hajazoea visa vya mama mkwe . Na mengineyo kama ndugu wa bwana...
  5. Gaddaf i06

    JamiiForums Tanzania Wana JF, uandishi wa lugha mchanganyiko ni uchafu! Ni sawa na kuhifadhi sufuria kitandani (kero)

    Kwanza kabisa, nakutakia afya njema kama ya kwangu.. Bila kinyongo kabisa naomba niweke hapa kero yangu juu ya waandishi baadhi wa hoja hapa jf Kama utaguswa tafadhali usikasirike wala kutukana, ni kitu ambacho kinafanywa na watu wengi, hata hvyo si kero kwa wengi/wote. Ruksa kutoa kero yako...
  6. JITU LA MIRABA MINNE

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko uliosagwa wa Tangawizi, Kitunguu Saumu, Mdalasini, Limao na Asali vinaweza kutumika kwa muda gani bila kuharibika?

    Wazee ujumbe unajitosheleza nisiwakamue ubongo wenu. Nimetengeneza huo mchanganyiko nataka nikate mafuta tumboni huku nafanya mazoezi ya viungo kwani uzito wangu ni kg 100, hadi visigino vinauma Nimechanganya huo mchanyanyiko lita 1 na nusu natakiwa uji huo kijiko kimoja asubuhi, mchana na...
  7. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina maeneo 50 yanayoweza kuzalisha 5000MW za umeme wa joto ardhi (geothermal)

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imedhamira kwa dhati kuzalisha umeme Megawati 6000 hadi ifikapo mwaka 2025. Nishati hiyo itakuwa mchanganyiko endapo itazishwa na rasilimali tofati kama vile maji, upepo, jua na hojo ardhi. Katika kufanikisha hili kufikia azma hiyo, kupita...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko wa Pepsi na karanga

    Eti wadau nimeikuta mahali ivi ni kweli ukichanganya pepsi na karanga zilizokaangwa inaongeza nguvu za kiume?
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kama Waingereza na Wajerumani walitutawala inakuwaje hatuna mchanganyiko wa rangi na hao wazungu kama Wazanzibar

    Kama waingereza na wajerumani walitutawala inakuwaje hatuna mchanganyiko wa rangi na hao wazungu kama wazanzibar.
  10. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata ufafanuzi kuhusu ufundishaji wa wanafunzi wenye mahitaji maalumu (VI, HI, II) pamoja na wale wa kawaida katika darasa moja

    Kumekuwepo na sera ya ufundishaji wa wanafunzi kwa kujuimuisha wenye mahitaji maalum na wale wa kawaida katika shule/ darasa moja. Wanafunzi hawa katika baadhi ya shule wanafundishwa na walimu waliosomea ualimu wa kawaida. Tatizo linakuwa ni namna ya kuwasiliana na wanafunzi hao hasa wenye...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Miaka milioni ijayo kutakuwa na kabila na tutakuwa na mchanganyiko nchi zote

    Suala la leo na tafakari baada kusoma maswala ya viumbe vilivyo potea miaka milioni na bilioni iliyopita kama wataalamu kutuambia. Sisi wanadamu umri wa kuishi muda mrefu ni ngumu na dunia ya sasa ya miaka 2021 kama magonjwa yenye nguvu, ajali, teknolojia, mabadiliko ya hewa na n.k Katika vitu...
  12. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ukitumia hii dawa yenye mchanganyiko wa mizizi sita, utavuta wateja kwenye biashara yako mpaka watu washangae (Tazama na sikiliza hii video)

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Kifungua kinywa cha asubuhi ni chai lakini kifungua kinywa cha waungwana ni salamu. Salamu kwenu wanafamilia wa JamiiForums, ni imani yangu kuwa mu wazima wa afya na poleni sana mashabiki wa Simba damudamu, kwa shambulizi la risasi moja ya kichwa, mliyofyatuliwa...
  13. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Namna bora ya kupika pilau lenye mchanganyiko wa viazi mviringo ndani na njegere

    Nahitaji kuaandaa huo msosi, maelekezo tafadhali, na kipi niongeze humo ndani kunogesha pilau langu. Asanteni
  14. Premise

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ninatoa shahawa zenye mchanganyiko wa damu

    Habari za muda huu wana familia wa jamii forum... Naomba kufahamu tatizo hili kama linatibika maana nimeona hizi habari hapa Nadhani mimi si wa kwanza kupatwa na tatizo hili. Naomba kufahamu kutoa shahawa zenye damu inasababishwa na nini? Wale mliopitia hali hii mlitumia dawa gani au...
  15. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Mawazo mchanganyiko juu ya kuongeza ajira kwa vijana

    Nchi nyingi duniani zinakabiliwa na janga la ukosefu wa ajira kwa vijana,mfano nchi ya Nigeria ambayo nusu ya watu wake ni vijana wenye umri kati ya miaka 15-35 inakabiliwa na ukosefu wa ajira ya zaidi ya vijana 11.1 milioni. Halikadhalika nchi za Afrika ya Kusini, Kenya, Uganda na zingine...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Matofali ya mchanganyiko wa udongo na mchanga yakiokwa huwa ni imara sana kuna ukweli?

    Mchanganyiko wa udongo na mchanga hutoa matofali bora sana. Matofali haya huboreshwa kwa kukiwa. Ili kupata matokeo bora matofali haya huwa ni madogo ili kurahisisha uokaji. Abstract Soil-cement bricks were produced using local clay brick waste (CBW) and soft sludge (SS) from fiber-cement...
  17. 2019

    JamiiForums Tanzania Huu mchanganyiko wa kuboost kinga dhidi ya UVIKO-19 kuna una kazi nyingine kwa wenye ndoa

    Juzi koo lilikereketa sana, kama kawaida kuchukua tahadhari nikasema wacha nikachanganye mavitu nijidunge pema. Nikaoda kwa mke gengeni alete 1. Malimao 2. Tangawizi 3. Kitunguu saumu 4. Pilipili mbuzi Nikaviandaa nikablend vyote, nikachukua maji ya moto nikatia chumvi kidogo nikazimua ule...
  18. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Mawazo mchanganyiko juu ya namna ya kukabili changamoto ya ajira kwa vijana

    Nchi nyingi duniani zinakabiliwa na janga la ukosefu wa ajira kwa vijana, mfano nchi ya Nigeria ambayo nusu ya watu wake ni vijana wenye umri kati ya miaka 15-35 inakabiliwa na ukosefu wa ajira ya zaidi ya vijana 11.1 milioni. Halikadhalika nchi za Afrika ya Kusini, Kenya, Uganda na zingine...
  19. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Kufikia mwaka 2400, kutakuwa hakuna wazungu na waafrika, bali rangi zingine mchanganyiko

    Kufuatia Waafrika na Wazungu Kuzaliana na kupata watoto mchanganyiko basi upo uwezekano kufikia mwaka 2400 wasiwepo Waafrika na wazungu Bali kizazi mchanganyiko kufuatia baba kuwa mzungu na mama mwafrika au kinyume chake. Sasa hivi ukienda Marekani si ajabu kukuta watoto mixer na imekuwa ndoto...
  20. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Kujifukiza kiholela kutaleta athari kubwa baada ya Covid 19: Wizara ya Afya itupe mwongozo wa mchanganyiko sahihi haraka

    Kwenye kipindi hiki cha covid 19 kumekuweko na shuhuda na maelezo mbalimbali kuhusu aina za michanganyiko ya viungo, majani au mitishamba ya kutumia kwa kunywa au kujifukiza na wakati mwingine maelezo yamekuwa yakipishana. Michanganyiko ambayo imekuwa ikitajwa sana na wengi inajumuisha vitu kama...
Back
Top Bottom