Mchanganyiko katika maisha haya ya ndoa

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,890
Katika maisha hasa ya ndoa mambo Mengi hutokea...Kama kupishana maneno , kutofautiana kifamilia Kwa mke na mume ila yote ni maisha Mtu anayapitia .

Ili mtu Aishi Kwa Raha lazima aweje?? Kwa maana mtu ambaye amezoea kudekezwa kweli hajazoea visa vya mama mkwe . Na mengineyo kama ndugu wa bwana hii mnamshaurije?? Maana unawapokea Kwa Raha Tena watakuja siku za ijumamosi na ijumapili.

Ambapo mnatulia mpate hata kanyama choma mnasikia hodi??
Kwa waliooa au walioana hii mnaichukuliaje humu wapo ndugu wa Mume nyie mnajisikiaje kuja Kwa mtu kila weekend hadi inaboa .

Sio hamtakiwi but punguzeni hodi . Wapenzi watu hata waweke watoto ndio maana watu wanaoana .
Hii ni keroo. Kuna hii jingine mwanadada kaolewa halafu Hana heshima na ndoa yake . Humjibu mume vibaya huona amefika na Hana usaidizi wowote mwanaume akipunguza attention ni maneno maneno.

Jingine mwanaume Hana shukurani anakuta wife amefanya usafi wote , kampikia chakula apendacho na nikitamu ila yeye Hana shukurani . Hana heshima anamwita mke wake maneno ya ajabu wewe Malaya , kwanz animekutoa bar, sijui unawanaume wangapi Leo nilipotoka umeliwa nawangapi hadi kero. Halafu anapiga kelele watu wote wanamsikia .

Watu wengi wamechoka na maisha ila wanaume wahawachoki kunawanaume hawana misimamo hawajijui wanapenda Nini??? Nawao hawaoni mbele Yao Kuna Nini hawajajenga na Wala hawana nyumba Wala hawajui kwanini wanafanya kazi kila kitu kwao ni miujiza .

Maisha ya ndoa ni magumu kama huna uzoefu nao unahitaji moyo nakumchagua wakufa naye nayo nikazi .

Mtu mnaanza fresh mbeleni ni mlevii . Kingine mtu alikuwa mnavumiliana mambo mengi na mkoo poa baada ya Muda anaanza vipigio ukiangalia hakuna ulilomkosea. Au kusema Mimi nimechoka na nindoa takatifu .

Maisha ya ndoa ni magumu. Kwa maana Mtu hajapikiwa tambi tu usiku anakunyima unyumba miezi mitatu .Mwingine na mmeoana eti tupumzike tu kama wiki tutaona .

Mtu kupewa unyumba ni haki yake ila hata kulala kitandani kwake nope . Au anaambiwa nimechoka . So hawezi kupewa akitoka nje anawekwa vikao nananyimwa haki yake kila siku kapewa tu siku ndoa ...

Kuna mengi kwenye hizi ndoa kabisa .Sijui nanyie mjazilishie?? Maana mtu kuishi na mtoto wa mtu kerooo
 
Ambapo mnatulia mpate hata kanyama choma mnasikia hodi??
Kwa waliooa au walioana hii mnaichukuliaje humu wapo ndugu wa Mume nyie mnajisikiaje kuja Kwa mtu kila weekend hadi inaboa .
Hapa ni Kwa penzi changa tu ila ndoa ikichangamaa vitu vya kawaida sana hivi
 
Mengine Nikiolewa nitajibu waje wazoefu

Ila suala la ndugu tujifunze kuheshimu familiaza watu na ukizoea Kuishi nawatu vitu km hivo havikupi shida kuonyesha upendo Kwa watu sio dhambi hujui ni nani na nani wanakuombea kunawengine wanahitaji msaada ukiweza na ukiwa nacho wasaidie

Kuna baadhi ya familia wanapenda sana ukiwakuta huwez watofautisha walivo na upendo why ukiolewa wew uonekero au uwe chanzo Cha migogoro

Kuna wenyeshari bas waepuke bila kuleta athari mbaya lkn pia yakikushida Rudi kwenu ndoa sio kifungo kaanze maisha mapya
 
Ila sio kila siku wajameni hawapi mnywe majihiyo bajeti iko wapi nA hali hii
 
Mengine Nikiolewa nitajibu waje wazoefu

Ila suala la ndugu tujifunze kuheshimu familiaza watu na ukizoea Kuishi nawatu vitu km hivo havikupi shida kuonyesha upendo Kwa watu sio dhambi hujui ni nani na nani wanakuombea kunawengine wanahitaji msaada ukiweza na ukiwa nacho wasaidie

Kuna baadhi ya familia wanapenda sana ukiwakuta huwez watofautisha walivo na upendo why ukiolewa wew uonekero au uwe chanzo Cha migogoro

Kuna wenyeshari bas waepuke bila kuleta athari mbaya lkn pia yakikushida Rudi kwenu ndoa sio kifungo kaanze maisha mapya
Kabisa
 
Hajakupondea kipenz lakini kunawatu si lolote bila mduguzao wamewashika mkono San Kuna familia za vivuruge pia zipo muhimu waepuke kwa wema tu bila kuonyesha dosari kwao kiasi uchukie au wao wakuchukie Sio kitu kizuri
Ndugu wa mume hawakwepeki...msipokutana msibani mwakutana shughulini
 
Back
Top Bottom