mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Wabunge/ Mbunge akijirekodi faragha anaweza kupoteza Ubunge wake?

    Hivi karibuni kumekuwepo na tabia ya Mambo ya chumbani kurekodiwa na kutupwa mitandaoni. Vitendo hivi kwa kiasi kikubwa vinapofanywa na watu wenye nyadhifa za kidini na kisiasa hakuna hatua huchukuliwa ila anapofanya mtumishi mwajiriwa wa Umma au hata sekta binafsi polisi hupeleleza mara moja...
  2. Mbunge wa Singida Kaskazini, Ramadhani Ighondu aendeleza mkakati wa kunusuru Elimu jimboni

    Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini Mhe Ramadhan Ighondo aendeleza mkakati wa kuinua elimu jimboni mwake. Amewaasa vijana kusoma kwa bidii ili kua chachu ya mabadiliko kwenye jamii. Kwa habari video picha ungana nami Mahanju.........
  3. W

    Maagizo kwa Mbunge wangu wa Jimbo la Lulindi

    Kwanza kabisa nataka kukupongeza kwa ushindi wa kishindo ambao umeupata,wewe pamoja na raisi wako wa JMT Raisi JPM kwa ushindi wenu na chama kwa ujumla. Najua unakazi ngumu sana ya kulijenga na kulitetea jimbo lako kwa miaka mingine tena 2025-2030 kama mwenyezi mungu atakujalia. Japo najua...
  4. J

    Je, Mbunge mstaafu Upendo Peneza wa CHADEMA alibariki manunuzi ya gari ya DED kwa TZS 460 milioni?

    Kwa kawaida tumezoea kuwaona Wabunge na madiwani wa CHADEMA wakitoka mbele haraka haraka kutoa taarifa pindi wanapohisi kuna ufisadi kwenye maeneo yao. Kwa mfano Devotha Minja wa Morogoro aliweka wazi ufisadi uliokuwa unafanywa kwenye ujenzi wa stendi ya msamvu wakati Rais Magufuli...
  5. Mbunge wa Geita Mjini anatia mashaka. Anataka kusema Musukuma ni muongo?

    Nimemsikiliza mbunge wa Geita mjini ndugu Costantine Kanyasu kwa kweli anashangaza sana. Nini kimemfanya akurupuke kuanza kutoa maoni kama haya kabla ya uchunguzi? Nilimsikiliza waziri Jaffo alipopewa kazi yake ya kwanza kuunda tume kuchunguza ubadhilifu halimashauri ya Geita,alisema pesa mil...
  6. K

    Mbunge wako ana sifa ya Uwaziri?

    Mijadala ya JF inasaidia kuibua majina mapya yaliyojificha ila watendaji makini natumaini Mawaziri walioteuliwa watatumbuliwa sana kama kipindi kilichopita, lakini pia yawezekana ukiweka taarifa za unavyomfahamu Mbunge wako labda jalada lake litasogea karibu na mfalme kwa maandilizi ya vetting...
  7. Prof. Shukrani Manya aapa kuwa Mbunge. Spika Ndugai awataka wabunge wa ACT-Wazalendo nao wakaape

    Mbunge alieteuliwa na Rais Magufuli mapema leo tayari amekula kiapo mbele ya Spika Ndugai kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Prof. Manya anatarajia kuapa tena baadae leo kuwa naibu waziri wa Nishati na madini. Baada ya kuapa kama Mbunge, Prof. Manya alitoa neno la shukraan...
  8. J

    Rais Magufuli: Kuna Mbunge ana vyeti vya "Ujanja ujanja" lakini kwa kuwa sifa ya Mbunge ni kujua KK basi watamalizana wenyewe!

    Rais Magufuli amesema kuna Mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja. Rais Magufuli amesema huyo Mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa Bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya Mbunge ni kujua kusoma na kuandika. Bado najiuliza ni nani huyo? Au...
  9. Ombi Maalum kwa Rais Magufuli: Mteue Zitto Kabwe kuwa Mbunge wa Bunge la JMT, ndiye mpinzani pekee mzalendo, Capable kuongoza PAC!

    Wanabodi Anza na kumsikiliza Kufuatia kilichotokea tokea leo Zanzibar kwa Maalim Seif kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar, nimefarijika sana, na kurudisha matumaini kuwa angalau Tanzania japo hatuna any serious and credible opposition, lakini angalau tunao responsible opposition...
  10. J

    Je, iwapo Spika ni Mbunge ni wakati gani anakula kiapo cha Ubunge mbele ya Bunge?

    Tuchukulie tu mfano wa Spika wa sasa Mhe. Ndugai, yeye ni mbunge na aliomba nafasi ya Spika kabla ya kiapo. Je, ni wakati gani huapishwa kama Mbunge? Mzee Mgaya alizoea enzi za chifu Adam Sapi. Maendeleo hayana vyama!
  11. Mbunge wa Jimbo la Igunga, tunashukuru kwa msaada wa Uniform lakini hapana

    Mheshimiwa Mbunge kulikuwa na haja gani ya kuweka muhuri mkubwa hivyo? Nadhani hata usingeandika chochote wananchi wangekumbuka mchango wako Kuweka hilo bango kwa sisi wengine ni fedheha, sawa tu na wale wanaotujengea matundu mawili ya choo na wanaandika kibao 'Donated by.....' Gharama za...
  12. J

    Spika Ndugai: Uingereza kuna Mbunge aliapishiwa hospitali akiwa amelazwa na "bahati" mbaya alifariki bila kwenda Bungeni

    Mfano huu wa Spika Ndugai wa Mbunge wa Uingereza kuapishwa akiwa "mahututi" hospitalini na kwamba alikufa hapo hospitalini bila kukanyaga Bungeni unafikirisha. Mstaafu Msekwa alisema Spika ni kama daktari anayepokea wagonjwa wengine wanapona na kuondoka na wengine wanakufa na kuondoka. Kumbe...
  13. DPP Biswalo Mganga unalazimika kuwajibika kujiuzulu baada ya kumtoa "mahabusu" Nusrat Hanje gerezani akawe ghafla Mbunge

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Ndivyo ninavyolazimika kuianza "thread" yangu kutokana na sakata hili la kumwachia mahabusu Nusrat Hanje kinyume cha sheria na taratibu za nchi hii. Kama kweli nchi yetu inaendeshwa kwa utawala bora, DPP Biswalo Mganga analazimika kujiuzulu kutokana na...
  14. J

    Je, kuna haja ya Spika Ndugai kumjibu Mbowe juu ya tafsiri halisi ya Katiba na Kanuni kuhusu kiapo cha mbunge?

    Spika Ndugai alisema kanuni za bunge zinaruhusu mbunge kuapishwa nje ya ukumbi wa bunge jambo muhimu ni lazima mbunge aape mbele ya Spika wa bunge. Mwenyekiti wa Chadema ambaye ni mbunge mstaafu na pia alikuwa mjumbe kwenye kamati ya kanuni amesema kanuni ile inakwenda kinyume cha katiba...
  15. Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

    Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi. Taarifa...
  16. Riziki Said Lulinda aliyeteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mbunge ni nani hasa?

    Wengi tunajadili sana uteuzi wa Polepole kuwa mbunge, ambaye anafahamika zaidi kutokana na nafasi yake ndani ya CCM, lakini kuna mwingine aliyeteuliwa kuwa mbunge sambamba na Polepole anaitwa Riziki Lulinda . Taarifa zinaonesha kwamba Mama huyu aliwahi kuwa Mbunge wa CUF kabla ya kuhamia CCM...
  17. J

    Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM vs Mbunge/ Waziri kipi ni cheo kikubwa?

    Naomba tu kuelimishwa uhusiano wa ukuu kati ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM na mbunge/waziri kupitia CCM. Naingia ibadani Mungu awabariki sana. Maendeleo hayana vyama!
  18. Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Novemba, 2020 amefanya uteuzi wa Wabunge 2 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Bw...
  19. J

    Hoja ya Mbowe: Je, mbunge anaapa mbele ya Spika au anaapishwa na Spika mbele ya Bunge?

    Kwangu mimi katika yote yaliyozungumzwa kiapo cha mbunge ndio kimenipa tafakuri. Spika Ndugai baada ya kuwaapisha wabunge 19 wa Chadema kwenye viwanja vya bunge alisema kanuni zinamruhusu kumuapisha mbunge mahali popote palipoandaliwa. Cha muhimu ni mbunge kuapa mbele ya Spika. Mbowe ambaye ni...
  20. GE2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

    Wabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma. Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA ORODHA YA WABUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA 2020: 1. Halima Mdee 2. Grace Tendega 3. Ester Matiko 4. Cecilia Pareso 5. Ester...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…