mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mbunge Halima Mdee amevaa barakoa akiwa bungeni, ni jambo jema!

    Kiukweli sina mengi isipokuwa kumpongeza mbunge wa viti maalumu jimbo la Kawe kupitia Chadema mh Halima James Mdee kwa kutinga ndani ya ukumbi wa bunge akiwa amevalia barakoa usoni kama tahadhari ya Covid 19. Ni jambo jema. Maendeleo hayana vyama!
  2. Mbunge wa Rorya abadili rangi ya gari la kubebea wagonjwa kwa kile alichoita maslahi mapana ya wananchi wake

    "Nimewasikia wananchi wangu na tumefanya mabadiliko ya rangi ya gari hili (Ambulance) kwa maslahi mapana ya Wana Rorya wote bila ya kujali vyama vyao. Poleni sana kwa wale waliovurugwa na rangi ya awali, nia yetu ni njema kwa watu wote wa Rorya" Mhe. Jafari Chege Mbunge, Rorya.
  3. D

    Spika, jinsi wabunge wanavyoiba/kufisadi pesa za walipa kodi wanazopewa kama mishahara ya makatibu, wahudumu na dereva wa mbunge

    Mh. Spika simamia ajira za wasaidizi wa Mbunge kuondoa ubinafsi, uchoyo na ufisadi. Wabunge wengi hawalipi mishahara kamili kama inavyotoka bungeni. Watumishi hao ambao ni watatu, Katibu, Dereva na Mhudumu wa ofisi hawapewi mikataba ya kazi na wabunge kinyume na agizo la Bunge. Wasaidizi hao...
  4. N

    TANZIA Gregory Teu aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha, Viwanda, Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Mbunge wa Mpwapwa, afariki dunia

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mpwapwa 2010- 2015 , Naibu waziri wa fedha, Naibu waziri wa viwanda, Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali katika serikali ya awamu ya nne na mwenyekiti wa bodi ya KADCO Mh. Gregory Teu afariki Dunia leo hii. Taarifa zaidi: Mpwapwa. Mbunge wa zamani wa Mpwapwa...
  5. F

    Hizi ni miongoni mwa sababu zinazofanya kila mtu hapa sasa anatamani kuwa Mwanasiasa na hasa Mbunge!

    Sitaki kuongea mengi kuhusu suala la watu wengi hapa Tanzania sasa kutamani kufanya kazi ya siasa na hasa kuwa Mbunge. Na ukitazama vizuri utagundua kuwa hii ndo siri kubwa ya kujitokeza kwa WATIA NIA ( Wagombea Ubunge wengi katika kura za maoni za CCM mwaka jana kuvunja rekodi). Watu wengi...
  6. Q

    TANZIA Tanzia: Mbunge wa Viti Maalumu, Martha Umbulla(CCM) afariki dunia

    Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) afariki dunia Thursday January 21 2021 Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Manyara, Martha Umbulla amefariki dunia Januari 21, 2021 katika Hospitali ya HCG Mumbai, India alikokuwa akipatiwa matibabu. Martha Jachi Umbulla (amezaliwa 10 Novemba 1955) ni mwanasiasa...
  7. E

    Mbunge wa Mpwapwa angalia wenzio wanachanja mbuga wewe unasali tu

    Mbunge wa Jimbo wa Jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi amemaliza changamoto ya Umeme, Maji na Choo katika Soko la Chita jimboni humo baada ya kutoa Sh Milioni 1.5. Mbunge wetu wa Mpwapwa unaona wabunge wenzako wanavyosonga mbele serikali itawafuata nyuma wewe umebaki kuitisha misa tu badala ya...
  8. Mbunge wa Ukonga hatukuoni jimboni, wanaukonga tuna changamoto kubwa ya miundombinu

    Kwanza hongera kwa ushindi na heri ya mwaka mpya, hongera sababu ulifanikiwa kupita katika kura za maoni na pia kupata ridhaa yetu sisi wananchi, hongera tena sababu ni jimbo ambalo umelihangaikia kwa muda mrefu. Masikitiko yetu sisi wananchi ni kwamba tangu uapishwe hujawahi kupita mitaani ili...
  9. Kwenye historia ya nchi yetu kuna mbunge amewahi peleka muswada na ukawa Sheria? Mwananchi wa kawaida anaweza andaa muswada akapeleka Bungeni?

    Bunge ndiyo linatunga sheria lakini mimi nimeona sehemu kubwa miswada huwa inatoka wizarani au kwenye taasisi za serikali. Sijawahi sikia mbunge ametoa mswada na baadaye umekuwa sheria. Imewahi tokea kwenye historia yetu mbunge katoa mswada na umekuwa sheria? Wenzetu unakuta hata hiyo sheria...
  10. J

    Kwa jinsi mbunge Tabasamu alivyomchongea DED Magesa kwa waziri Jafo ni wazi kuwa Wakurugenzi hawakupendelea CCM!

    Waziri wa Tamisemi mh Jaffo alikuwa ziarani wilayani Sengerema ndipo mbunge wa jimbo hilo mh Tabasamu akamchongea mkurugenzi Magesa kwa matumizi mabaya ya ardhi pamoja na fedha za wafadhili. Jafo amelikabidhi suala hilo Takukuru. chanzo: Clouds tv My take; Kama wabunge wa CCM walipendelewa na...
  11. M

    Mbunge mwenye Uzalendo ni yule nitakayemuona pamoja na mambo mengine, akipigania Fao la Kujitoa, kwa ukombozi wa waajiriwa wa sekta binafsi

    Hakuna mtu muelewa na mpenda haki asiyetambua kwamba Serikali imefanya ukatili wa Hali ya juu kwa kitendo cha kuondoa fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii. Ipo idadi kubwa sana ya Watanzania ambao wameajiriwa katika sekta binafsi, na kama tunavyofahamu, mara nyingi sekta binafsi...
  12. Mbowe: Mbunge na Madiwani walioapa hawakutenda jinai, ila ni wakaidi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema Madiwani na Mbunge mmoja wa CHADEMA, ambao wameapa baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020 hawajatenda jinai. Lakini amesema viongozi hao wamekaidi misimamo ya chama, hivyo chama kitatenda haki kwa kuwasikiliza kila mmoja wao kabla...
  13. Tatizo la maji Hai Mjini

    Aslalekum, Naleta mada hii ya shida ya maji hapa Bomang'ombe na viunga vyake. Anayesimamia huu mradi (Engineer Shoo) ndio tatizo sijui kwanini hajiongezi. Kwa mkoa wa Kilimanjaro kukosa maji miezi mitatu au miwili mfulilizo hii ni kudhibitisha kwamba huyu ndugu yetu Shoo huu mradi umemshinda...
  14. F

    Leo ndio najua David Mwakyusa bado yupo kwenye siasa

    Mkikumbuka jinsi alivyoimudu wizara ya afya enzi za mkwere. Licha ya elimu yake ya juu huyu mtu ni gentleman na smart. Hana maneno mengi ndio maana hasikiki. Nchi yetu ina hazina na wengi wako kimya tu. Wanyakyusa ni gentlemen angalia kama proffesor Mwandosya another gentleman akina Davis...
  15. Mbunge wa Arusha Mjini, kikao kijacho cha Bunge usisahau kufuatilia kiwanda cha General Tyre

    Kiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre kiliwahi kuwa na mchango mkubwa sana katika uchumi wa mkoa wa Arusha na Taifa kwa ujumla. Kili generate ajira nyingi za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja. Shughuli za kiuchumi zilichangamka kiasi chake. Baada ya kusimamishwa shughuli...
  16. Mbunge wa Misungwi acha kutumia mabavu

    Naandika uzi huu kwa masikitiko sana. Mheshimiwa kabla ya kuwa mbunge alikuwa mkuu wa mkoa Manyara. Wakati huo alifanya ujenzi na akampa kazi ya nondo kijana mmoja pale Misungwi. Yuke kijana alipata loss akashindwa kumaliza ile kazi. Cha kusikitisha ni kuwa Mkuu wa mkoa wa Manyara kwa wakati huo...
  17. B

    Kulipwa mshahara wa Ubunge huku ukiwa huna sifa kikatiba ya kuwa Mbunge siyo uhujumu uchumi?

    Endapo mtu atalipwa mshahara na posho Kama Mbunge huku kikatiba akiwa Hana sifa ya Ubunge awezi kushtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumu pale atakapoingia kiongozi mzalendo na anayesimamia katiba? Kama haiwezekani kushtakiwa kwanini watumishi wa Umma wanaokosa sifa zakuendelea kuwa watumishi kwa...
  18. K

    Siku 60 baada ya Uchaguzi: Ni wabunge wachache waliofanya cha maana jimboni, wengi wapo Dar

    Siku 60 baada ya uchaguzi mkuu hakuna Mbunge aliyeonekana kutambua kwamba uchaguzi ulishamalizika na Sasa ni muda wakutimiza ahadi walizoahidi. Wabunge wengi wamehamishia makazi yao Dar huku wakipanda mwewe kuelekea Dodoma pale inapolazimika kiratiba kufanya hivyo. Huku majimboni pia kwa kuwa...
  19. J

    Nawapongeza CHADEMA na Mbunge mstaafu Mh Selasini kwa kuipendezesha Rombo

    Miongoni mwa mabasi yaliyokuwa yanawika miaka ile ya 80 ni pamoja na Rombo Investments bus. Kiukweli nimeshuhudia mabadiliko makubwa hapa Rombo na huu ni uthibitisho kuwa maendeleo hayana vyama Hongereni mbunge mstaafu Mh Selasini, CHADEMA na CCM. Naendelea ku-enjoy sikukuu za mwisho wa mwaka...
  20. B

    Wabunge/ Mbunge akijirekodi faragha anaweza kupoteza Ubunge wake?

    Hivi karibuni kumekuwepo na tabia ya Mambo ya chumbani kurekodiwa na kutupwa mitandaoni. Vitendo hivi kwa kiasi kikubwa vinapofanywa na watu wenye nyadhifa za kidini na kisiasa hakuna hatua huchukuliwa ila anapofanya mtumishi mwajiriwa wa Umma au hata sekta binafsi polisi hupeleleza mara moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…