Kuna siku mbunge mmoja kati ya hao 19 wenye utata ataeleza ukweli wa kilichotokea, Wanawake hawana koromeo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,976
Tunakumbushana tu kama kuna kitu kinafanywa siri kati ya wabunge 19 wasiojulikana chama chao, basi siri hiyo iko karibu kutoka.

Ikumbukwe kati ya wabunge hao 19 siyo wote wamekata rufaa Baraza kuu la CHADEMA.
Unajua ni kwanini?

Viongozi wa CCM wengi siyo wajanja, siasa za CHADEMA ni za kimjini sana kuna mtu ataachiwa manyoya siku si nyingi.

Kazi Iendelee!

1620132663708.png

Tunakumbushana tu kama kuna kitu kinafanywa siri kati ya wabunge 19 wasiojulikana chama chao, basi siri hiyo iko karibu kutoka.

Ikumbukwe kati ya wabunge hao 19 siyo wote wamekata rufaa Baraza kuu la Chadema.
Unajua ni kwanini?

Viongozi wa CCM wengi siyo wajanja, siasa za Chadema ni za kimjini sana kuna mtu ataachiwa manyoya siku si nyingi.

Kazi Iendelee!
Kuna wale ambao waligoma kukata rufaa maana waliona hicho kiti hakikua halali, hao kuna siku watapasua jipu, soon or later ni swala la muda tu
 
Huo ndio ubaya wa kutegemea watu.

Hawa wanawake kama Magufuli angekuwepo wala wasingechezewa wala kusemwa hivi.

Sasa mshikaji hawana uhakika kama mwaka huu watamaliza wakiwa wabunge au lah.

Aisee.
 
Tunakumbushana tu kama kuna kitu kinafanywa siri kati ya wabunge 19 wasiojulikana chama chao, basi siri hiyo iko karibu kutoka.

Ikumbukwe kati ya wabunge hao 19 siyo wote wamekata rufaa Baraza kuu la Chadema.
Unajua ni kwanini?

Viongozi wa CCM wengi siyo wajanja, siasa za Chadema ni za kimjini sana kuna mtu ataachiwa manyoya siku si nyingi.

Kazi Iendelee!
Masikia jobu ana asilimia kadhaa kwenye posho zao (hii ni maelewano nao kuwa atawalinda)
Naomba niishie hapo
 
wanawake wanatetewa kinafki tu nafs zao zinawahukumu

Hao Covid 19 wala nafsi zao haziteseki chochote bali huyo anayewatetea keshaliona janga mbele ya safari na hivi sasa ukisikiliza vizuri hotuba zake utagundua kuwa keshaanza kutafuta kichaka cha kujibanza
 
Back
Top Bottom