Yule mama aliyekuwa diwani jijini Arusha amelalamika walikuwa wanatishwa na kutukanwa matusi ya nguoni. Je, Mbowe dikteta?

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,395
3,901
Udikteta wa Mbowe unaendelea kuthibitishwa na yafuatayo kung'ng'ania Madaraka, kuua kufokea na kutisha wapinzani wake kulazimisha kanuni zilizo nje ya utaratibu wa Chama kuteua watu wa kabila lake kwa kuwapa nafasi za upendeleo kwa mfano Katibu mkuu Kuwa mkwilima wake Msemaji wa Chama kuwa mchaga mwenyekiti wa Chama kuwa mchaga mtunza hazina wa chama kuwa mke wake Naibu katibu mkuu bara kuwa mchaga mwenyekiti Bawacha kuwa Mchaga mwenyekiti Bavicha mkaskazini
 
Udikteta wa Mbowe unaendelea kuthibitishwa na yafuatayo kung'ng'ania Madaraka, kuua kufokea na kutisha wapinzani wake kulazimisha kanuni zilizo nje ya utaratibu wa Chama kuteua watu wa kabila lake kwa kuwapa nafasi za upendeleo
Unaweza kuthibitisha hapo kwenye bold?. Kama huwezi kuthibitisha, ondoa hilo neno kuua, au
Mode, please do the needful.
P.
 
Udikteta wa Mbowe unaendelea kuthibitishwa na yafuatayo kung'ng'ania Madaraka, kuua kufokea na kutisha wapinzani wake kulazimisha kanuni zilizo nje ya utaratibu wa Chama kuteua watu wa kabila lake kwa kuwapa nafasi za upendeleo kwa mfano Katibu mkuu Kuwa mkwilima wake Msemaji wa Chama kuwa mchaga mwenyekiti wa Chama kuwa mchaga mtunza hazina wa. chama kuwa mke wake Naibu katibu mkuu bara kuwa mchaga mwenyekiti Bawacha kuwa Mchaga mwenyekiti Bavicha mkaskazini
Mambo ya jirani yanakuhusu nini?
 
Kama huna jambo la maana la kuandika ukikaa kimya utakuwa umemkosea nani? Umeandika mambo ambayo huwezi kuthibitisha.
 
Udikteta wa Mbowe unaendelea kuthibitishwa na yafuatayo kung'ng'ania Madaraka, kuua kufokea na kutisha wapinzani wake kulazimisha kanuni zilizo nje ya utaratibu wa Chama kuteua watu wa kabila lake kwa kuwapa nafasi za upendeleo kwa mfano Katibu mkuu Kuwa mkwilima wake Msemaji wa Chama kuwa mchaga mwenyekiti wa Chama kuwa mchaga mtunza hazina wa. chama kuwa mke wake Naibu katibu mkuu bara kuwa mchaga mwenyekiti Bawacha kuwa Mchaga mwenyekiti Bavicha mkaskazini

Kila mtu anahaki ya kutoa mawazo yake, na kulalamika pale anapoona haki haiutendeka.
Je kwako wewe mleta uzi, je unaweza weka hapa hayo malalamiko aliyotoa huyo diwani na ukathibitisha pasipo shaka kuwa haya uliyopost si ya kwako bali ni ya huyo diwani?

Habari za ukabila zina ukakasi kidogo, je unasemaje kwa upande wa pili nao unaupendeleo wa kikabila/kikanda?
 
Mheshiwa Paschal Mayala sote tunajua kuwa yeyote aliyeutaka umwenyekiti wa Mbowe alikutana na changamoto kwa mfano Chacha Wangwe walimuua kwa kumtegeshea na dereva wake akatoka hana hata kovu
Mkuu, Nigrastratatract these are very serious allegations, jee unaweza kuthibitisha?.
Mtoa mada ama aondoe neno kuua au mode do the needful.
P
 
Mheshiwa Paschal Mayala sote tunajua kuwa yeyote aliyeutaka umwenyekiti wa Mbowe alikutana na changamoto kwa mfano Chacha Wangwe walimuua kwa kumtegeshea na dereva wake akatoka hana hata kovu, Zito kabwe et al anajua masaibubaiyokutana nayo, Tundu Lisu alitaka kuhatarisha nafasi yake anajua alichokutana nacho, Sumayi Waziri mkuu mstaaafu ameongea maneno mazito "SUMU HAIONJWI KWA MDOMO"
Jeshi LA polisi wakikuomba uthibitisho unauhakika una ushahidi Kwa sababu kwenye tuhuma zote hakuna hata moja mbowe amestakiwa nayo
 
Mheshiwa Paschal Mayala sote tunajua kuwa yeyote aliyeutaka umwenyekiti wa Mbowe alikutana na changamoto kwa mfano Chacha Wangwe walimuua kwa kumtegeshea na dereva wake akatoka hana hata kovu, Zito kabwe et al anajua masaibubaiyokutana nayo, Tundu Lisu alitaka kuhatarisha nafasi yake anajua alichokutana nacho, Sumayi Waziri mkuu mstaaafu ameongea maneno mazito "SUMU HAIONJWI KWA MDOMO"
We kajama ni kajinga tu,Mbowe anawezaje kumtishia maisha waziri mkuu mstaafu mwenye full ulinzi wa serikali?

Muwe mnakumbuka kuchamba vzr mkitoka chooni basi.
 
Mkuu, Nigrastratatract these are very serious allegations, jee unaweza kuthibitisha?.
Mtoa mada ama aondoe neno kuua au mode do the needful.
P
Kwenye maisha lazima tuwe smart huwezi mtuhumu MTU anaua watu bila uthibitisho Kwa sababu hizo sio tuhuma ndogo hata kidogo, kama MTU huna cha kuandika bora ubakie msomaji post za watu wengine
 
Mheshiwa Paschal Mayala sote tunajua kuwa yeyote aliyeutaka umwenyekiti wa Mbowe alikutana na changamoto kwa mfano Chacha Wangwe walimuua kwa kumtegeshea na dereva wake akatoka hana hata kovu, Zito kabwe et al anajua masaibubaiyokutana nayo, Tundu Lisu alitaka kuhatarisha nafasi yake anajua alichokutana nacho, Sumayi Waziri mkuu mstaaafu ameongea maneno mazito "SUMU HAIONJWI KWA MDOMO"
Usiseme wote tunajua vinginevyo huo uhalifu ulioutaja polisi wangekwisha mkamata, hats hivyo ni vizuri wakutumie wewe mwenye ushahidi ili sheria ifuate mkondo wake.
Weka waziri ID yako ili polisi waweze kukupata kwa mahojiano zaidi, asante raia mwema hapo haukujitokeza ushahidi ulipohitajika has a kilichompata Lissu.
 
Udikteta wa Mbowe unaendelea kuthibitishwa na yafuatayo kung'ng'ania Madaraka, kuua kufokea na kutisha wapinzani wake kulazimisha kanuni zilizo nje ya utaratibu wa Chama kuteua watu wa kabila lake kwa kuwapa nafasi za upendeleo kwa mfano Katibu mkuu Kuwa mkwilima wake Msemaji wa Chama kuwa mchaga mwenyekiti wa Chama kuwa mchaga mtunza hazina wa. chama kuwa mke wake Naibu katibu mkuu bara kuwa mchaga mwenyekiti Bawacha kuwa Mchaga mwenyekiti Bavicha mkaskazini
Yaani ninyi ndo mnafanya siasa za nchi zinazoendelea kuonekana maji taka
Sasa hata Kama ulimaanisha Kum attack Mhe.Mbowe kisiasa...kweli unaweza simama na hoja hizi?
 
Mheshiwa Paschal Mayala sote tunajua kuwa yeyote aliyeutaka umwenyekiti wa Mbowe alikutana na changamoto kwa mfano Chacha Wangwe walimuua kwa kumtegeshea na dereva wake akatoka hana hata kovu, Zito kabwe et al anajua masaibubaiyokutana nayo, Tundu Lisu alitaka kuhatarisha nafasi yake anajua alichokutana nacho, Sumayi Waziri mkuu mstaaafu ameongea maneno mazito "SUMU HAIONJWI KWA MDOMO"
Mkuu mi si mkereketwa wa CHADEMA au CCM,ila ni mtu nafurahia uhalisia wa democrasia ya vyama vingi,kwa mfano,yanayo endelea Sasa hayanifurahishi

Jifunze kujenga hoja zako vizuri,vinginevyo inaweza kukugharimu

...hapo umeandika...'sisi sote tunakua..'(wewe na Nani?).....('Yeyote alietaka kugombea uenyekiti')...mkuu na hizo tuhuma ukiitwa kisheria kuthibitisha utathibitisha?
 
Mheshiwa Paschal Mayala sote tunajua kuwa yeyote aliyeutaka umwenyekiti wa Mbowe alikutana na changamoto kwa mfano Chacha Wangwe walimuua kwa kumtegeshea na dereva wake akatoka hana hata kovu, Zito kabwe et al anajua masaibubaiyokutana nayo, Tundu Lisu alitaka kuhatarisha nafasi yake anajua alichokutana nacho, Sumayi Waziri mkuu mstaaafu ameongea maneno mazito "SUMU HAIONJWI KWA MDOMO"
Pepo la uongo likishampagaa mtu kutoka shida sana
 
Mheshiwa Paschal Mayala sote tunajua kuwa yeyote aliyeutaka umwenyekiti wa Mbowe alikutana na changamoto kwa mfano Chacha Wangwe walimuua kwa kumtegeshea na dereva wake akatoka hana hata kovu, Zito kabwe et al anajua masaibubaiyokutana nayo, Tundu Lisu alitaka kuhatarisha nafasi yake anajua alichokutana nacho, Sumayi Waziri mkuu mstaaafu ameongea maneno mazito "SUMU HAIONJWI KWA MDOMO"
Kama hata darasa la saba ulimaliza basi hongera kwa walimu
 
Mkuu, Nigrastratatract these are very serious allegations, jee unaweza kuthibitisha?.
Mtoa mada ama aondoe neno kuua au mode do the needful.
P
GT hum wamebaki wachache, msamehe bure mkuu, huyu itakuwa kula kulala na hajui lolote, i guess atakuwa mwanafuzi kijana Mdogo Mwenye upeo Mdogo pia!!!
 
Wewe ni bogus kweli, Huyo Mbowe ni nani hata asikamatwe kwa kesi ya mauaji??
Leta aliyempiga risasi Lissu tujuwe kweli wewe ni muelewa.
Nenda upewe book7 Lumumba
upumzike!!
 
Back
Top Bottom