mbowe

  1. S

    JamiiForums Tanzania CCM,wakati mkimshambulia Mbowe,tupeni mrejesho wa hatua zilizochukuliwa kwa waliobainika kupora mali za chama kama ile tume mliounda ilivyobainisha

    Nakumbuka mliunda tume/kamati kuchunguza mali za chama chenu na kamati ile ilikuja na tuhuma kadha juu namna mali za chama zilivyofisadiwa na baadhi ya viongozi wa chama chenu. Sasa wakati mkitumia nguvu nyingi kumshambulia Mbowe,tupeni mrejesho wa hatua mlizochukuwa kwa watuhumiwa. Polepole...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Polepole: Mbowe ni kiongozi wa kiimla asiye na dhamira njema kwa Tanzania

    Katibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa CHADEMA apendavyo. Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka. Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga Juzikati amewataka waende karantini...
  3. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

    Nauliza hili swali sababu kama wananchi tunataka kufahamu ukweli juu ya hili janga. Tunataka waziri wa afya, au msemaji mkuu wa serikali kila siku awe anatoa taarifa zilizo rasmi. Mbona nchi za wenzetu ambazo zimekumbwa na hili janga kila siku lazima watoe taarifa rasmi kuhusu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Commentary: Majibu ya Ester Bulaya kwa Lijuakali

    Ndugu watanzania wenzangu, Natumaini mko salama jioni hii. Nimejaribu kwa sehemu kufanya analysis zangu kwa ufupi majibu ambayo jana Ester Bulaya alimjibu Lijuakali. Nitajikita zaidi na hizo kauli zake (What do these quotes reflect in reality? ). “Mbowe ndiyo accounting officer? Ester...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai unakosea, Mbowe ana haki ya kuelezea mawazo yake na chama chake, anaowakilisha ni watanzania

    Sijui kama Ndugai anaelewa maana ya kuwa Spika? Anachofanya ni mahaba ya waziwazi kwa kwa Serikali ambayo anashindwa kuyaficha. Kila mwananchi anafahamu function ya Bunge na Mahakama kama taasisi huru (hata wale wanaolipwa pesa na polepole lakini watajitoa akili) Ni jambo la kushangaza kuona...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai na wabunge Wanawake (Viti Maalum)

    Leo nimemsikia Spika akiongea kuwa humo mjengoni hakuna siyejua shida wanazopitia wabunge wa viti maalum wa Chadema. Imekuwa siri ya wazi na iliyokubalika kwa jamii kuwa ukitaka viti maalum Chadema, lazima Mwenyekiti na kambi yake waridhishwe na wewe. Ila leo ndo mara ya kwanza kumsikia mkuu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nashauri: Viongozi msishindane na Mbowe kwenye kuongea

    Mimi naona hawa viongozi wanajaribu kushindana na Mbowe kwenye kuongea hawawezi kushinda na sio mbinu nzuri sana. Kila binadamu ana kipaji chake na Mbowe bahati yake Mungu kampa kipaji cha sauti nzuri, kujua kuongea na kusikilizika. Wengine wamepewa vipaji vya akili, wengine vipaji vya...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa CHADEMA dhidi Freeman Mbowe

    Ni kweli hata katika Biblia wameandika upendo uvumila yote, upendo haukosi kuwa na adabu, upendo uamini yote, upendo hauhesabu mabaya. Hii ndiyo hali ambayo wabunge watiifu Kwa Freeman Mboe wanapitia na kusikiliza amri ya kamanda mkuu, mfalme wa anga akitoa amri katika hili gwaride. Hebu...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai amtaka Mbowe aache tabia ya kujipima ubavu na Mkuu wa nchi Rais Magufuli, aache kabisa!

    Up dates; Spika Ndugai amesema Mbowe kama KUB ni mtu muhimu sana pale bungeni na ni mjumbe wa kamati zote muhimu ikiwemo ya Uongozi, kamati ya haki, kamati ya kanuni na kamati ya bajeti. Pia kama KUB Mbowe anaruhusiwa kusimama bungeni wakati wowote na kuuliza au kushauri chochote tofauti na...
  10. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli Vs Freeman A. Mbowe

    Nimezitazama na kusikiliza hotuba zote za viongozi hawa wawili kupitia YouTube. Ya Mbowe nimeisikiliza na kuitazama kupitia MwanaHalisi Youtube Channel na takwimu zinaonesha kuwa imesikilizwa na kutazamwa na watu 1,300,000+ hadi kufikia leo tarehe 17/5/2020 saa 5:50 usiku. Ya Rais Magufuli...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Walisoma pamoja: Mbowe na Ndugai pale Kibaha, Lowassa na Dkt. Mwakyembe kule Milambo na Dkt. Slaa na Membe Itaga seminary

    Najikumbusha tu historia ya shuleni na namna watu mnavyoweza kufanana kitabia kutokana na mazingira mliyosomea. Mbowe na Ndugai ni zao la Kibaha secondary Lowassa na Dr Mwakyembe ni zao la Milambo secondary Dr Slaa na Membe wao ni Itaga seminary Polepole na Bashe zao la Benjamin Mkapa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Poleni Rais Magufuli na KUB Mbowe kwa vijana wenu kupata maambukizi ya Covid 19, Mungu ni mwema amewaponya

    Namshukuru Mungu kwa ushuhuda wa uponyaji kwa mtoto wa Rais Magufuli kadhalika mtoto wa Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe. Kwa mujibu wa Rais Magufuli mtoto wake alitibiwa nyumbani kwa tiba zetu za asili ikiwemo kula malimao, tangawizi na kujifukiza na Mungu wa mbinguni amemponya. Naye...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hizi speech za Mbowe "UTAIPENDA" kama hutazikubali kwa kinywa lazima utazikubali kimoyomoya.

    Kama angekuwa Rais wa nchi jirani lazima ungetamani angekuwa Rais wa nchi yako. Kama ni mwenyekiti wa chama kingine lazima ungetamani awe mwenyekiti wa chama chako. Kama angekuwa mme wa jirani au rafiki lazima ungetamani awe mme wako. Kama angekuwa kaka wa jirani au rafiki lazima ungetamani awe...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

    HOTUBA YA MBUNGE FREEMAN MBOWE KWA UFUPI Nimezungumza na Rais kwenye simu nimemuambia tafadhali shirikisha Jamii pana ya Watanzania ili jambo tulibebe wote, huu ni msiba na msiba haachiwi Mtu mmoja, kwa nia njema kabisa, tushirikiane kwa pamoja kwenye mapambano haya dhidi ya virusi vya corona...
  15. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbowe kuomba msamaha kwa Watanzania

    Great Thinkers, Nawaza waza, kwa jinsi vikundi vya wapinzani walivyoshindwa kuiyumbisha Tanzania chini ya Jemedari mahiri na makini, mcha Mungu Dkt Magufuli ninaona kabisa Mh. Mbowe akipiga goti kuomba msamaha kwa watanzania na kwa taasisi ya Rais. Je, akipiga goti na kutubu nyie mashabiki...
  16. JM3

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia mkutano wa Mbowe, atakiwa kuripoti Polisi Kinondoni

    Mkutano wa M/kiti wa Chadema, Freeman Mbowe uliokuwa ufanyike mubashara hii leo Mei 14, 2020 kwa lengo la kuzungumza na umma, hautafanyika kwa kuwa Mbowe ametakiwa kuripoti katika kituo cha Polisi cha Oyster Bay. Mkutano huu umehairishwa baada ya M/ kiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe wakati...
  17. Francis12

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe leo atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa

    Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe.Freeman Mbowe Alhamis, Mei 14, 2020, saa 5 asubuhi, atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Tutawataarifu zaidi. Asanteni. =============== Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe uliokuwa...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Habari Njema: Mtoto wa Mbowe apona Corona

    Hii ni baada ya vipimo kuthibitisha kwamba hana hata kidoa cha Corona . Nakala imfikie Shetani popote alipo .
  19. Patriot

    JamiiForums Tanzania Things Fall Apart - By Freeman Mbowe

    To those who had never checked with this book, Things Fall Apart is a Nigerian novel written in response to European novels that depicted Africans as savages who needed to be enlightened by the Europeans. I liken this with our local politics where Opposition parties particularly, Mbowe’s CHADEMA...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Yawezekana Mbowe anachanganya kwa pamoja madaraka ya KUB na Mwenyekiti wa Chadema na matokeo yake ni kutenda Uonezi!

    Kuna wakati Zitto akiwa Chadema aliwaeleza madhara ya kuweka kanuni inayomfanya mwenyekiti wa Chadema kuwa KUB iwapo ni mbunge na chama kimepata ridhaa ya kuunda kambi rasmi ya upinzani. Madhara yake ndio haya tunayoyashuhudia sasa. Binafsi sikumbuki kama kuna kikao halali iwe halmashauri kuu...
Back
Top Bottom