Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,985
- 144,312
Leo Machi 14,2020 Jeshi la Polisi Wilaya ya Sengerema, limezuia tena kikao cha ndani kilichoandaliwa na Baraza la Vijana Chadema (Bavicha) Mkoa wa Mwanza, kwa kile walichodai maagizo kutoka juu. Kikao hicho mgemi rasmi alitarajiwa kuwa mwenyekiti wa Bavicha Taifa.
Chanzo:Official Bavicha tweet.
.
Chanzo:Official Bavicha tweet.
.