Kama Makonda yuko sahihi, basi alichofanya Mbowe hakina tofauti na alichofanya Mandela mwaka 2005 alipomtangaza mwanae muathirika kuokoa wengine

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
Nimesema mara kwa mara humu kuwa baadhi ya viongozi tulionao wamenyimwa maarifa ili kwa kauli na matendo yao, wajiumbue na hatimae waanguke wao na chama chao.

Kutokana na wao kukosa maarifa,matokeo yake wanafanya mambo ambayo mwisho wa siku yanawagharimu wao kama wao na wakati huo huo yanawabeba kisiasa wapinzani wao.

Leo Makonda amethibitisha kukosa maarifa na kujimaliza mwenyewe pasipo kujua huku akimpaisha aliedhani anammaliza kisiasa.

Kwanini?

Below is a very simple exaplanation:

Mwaka 2005, aliewahi kuwa Raisi wa Afrika kusini,Nelson Mandela aliutangazia ulimwengu kuwa mwanae alifariki na ugonjwa wa UKIMWI na kuwataka watu kuchukua tahadhari.

kwahiyo (tukifanya assumption kuwa ni kweli Mbowe amesitisha maandamano baada ya mwanae kupimwa na kuonekana kaaugua korona) Mbowe kafanya alichofanya Mandela baada ya kuona mwanae kapata huo ugonjwa hivyo kasitisha ili kuokoa watanzania wengine kama alivyofanya Mandela kwa waafrika kusini tofauti ni kwamba Mbowe hakutangaza hadharani ugonjwa wa mwanae jambo linalohitaji ridhaa ya mwanae huyo.

Mandela: Mwanaharakati wa Ukimwi

Kwahiyo ndugu zangu,watakaomuamini Makonda na kisha wakatafakari, watagundua Mbowe alikuwa na nia njema na wakikumbuka alichofanya Mandela mwaka 2005, watamuona ana busara sawasawa na ya Mzee Mandela.

Nasisitiza,hawa watu wamenyimwa maarifa ili kwa kauli na matendo yao, wajimalize wao wenyewe huku wakidhani wanawamaliza wabaya wao kumbe ni kinyume chake.

Hata yule aliesema tunatumia dola kubaki madarakani na yule alietinga mageraza na msafara wa magari bila kujua ingemgarimu, wote hawa wamekosa/wamenyimwa maarifa ili wajiumbue kwa kauli na matendo yao mbele ya umma na hatimae wadharaulike kabla ya kuanguka.
 
Yaani kasitisha maandamano ya nchi nzima kwa sababu mwanaye kapima na kupatikana na CORONA......,,,tusiwe wanafiki kama kuna ukweli kwenye hili huuu utakuwa ni ukiukwaji mkubwa sana wa taratibu za chama na immediately mtuhumiwa anatakiwa kutolewa madarakan na kuwekwa pembeni, kama ni uongo basi huyo makonda anatakiwa kupondwa mawe adi afe,
yes!, action and reaction are equal and opposite!
 
Hawa watu ukweli wameishiwa maarifa. Pascal Mayalla alimchambua vizuri sana. Gwajima aliwahi kusema DAB ni zero brain. Hili halina ubishi.

Hebu fikiria Serikali inavyopambana ktk kutoa elimu juu ya mikusanyiko lkn yy kakatiza mitaa huku akiweka mikusanyiko eti anawapa elimu! Tunasubiri Waziri Mkuu alitolee ufafanuzi. Vinginevyo zoezi lake litakuwa halina maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesema mara kwa mara humu kuwa baadhi ya viongozi tulionao wamenyimwa maarifa ili kwa kauli na matendo yao, wajiumbue na hatimae waanguke wao na chama chao.

Kutokana na wao kukosa maarifa,matokeo yake wanafanya mambo ambayo mwisho wa siku yanawagharimu wao kama wao na wakati huo huo yanawabeba kisiasa wapinzania wao.

Leo Makonda amethibitisha kukosa maarifa na kujimaliza mwenyewe pasipo kujua huku akimpaisha aliedhani anammlaliza kisiasa.

Kwanini?

Below is a very simple exaplanation:

Mwaka 2005, aliewahi kuwa Raisi wa Afrika kusini,Nelson Mandela aliutangazia ulimwengukuwa mwanae alifariki na ugonjwa wa UKIMWI na kuwataka watu kuchukua tahadhari.

kwahiyo(tukifanya assumption kuwa ni kweli Mbowe amesitisha maandamano baada ya mwanae kupimwa na kuonekana kaaugua korona)Mbowe kafanya alichofanya Mandela baada ya kuona mwanae kapata huo ugonjwa hivyo kasitisha ili kuokoa watanzania wengine kama alivyofanya Mandela kwa waafrika kusini tofauti ni kwamba Mbowe hakutangaza hadharani ugonjwa wa mwanae jambo linalohitaji ridhaa ya mwanae huyo.

Mandela: Mwanaharakati wa Ukimwi

Kwahiyo ndugu zangu,watakaomuamini Makonda na kisha wakatafakari,nwatagundua Mbowe alikuwa na nia njema na wakikumbuka alichofanya Mandela mwaka 2005, watamuona ana busara sawaswa na ya Mzee Mandela.

Nasisitiza,hawa watu wamenyimwa maarifa ili kwa kauli na matendo yao, wajimalize wao wenyewe huku wakidhani wanawamaliza wabaya wao kumbe ni kinyume chake.

Hata yule aliesema tunatumia dola kubaki madarakani na yule alietinga mageraza na msafara wa magari bila kujua ingemgarimu, wote hawa wamekosa/wamenyimwa maarifa ili wajiumbue kwa kauli na matendo yao mbele ya umma na hatimae wadharaulike kabla ya kuanguka.
Wewe Mbowe wewe!! Unajisifia mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa nini ufipa boys hamnaga akili kabisa?

Maana yake asingeumwa mtoto wa mbowe mikutano ingekuwa pale pale?

Tumeshajua dawa yake siku nyingine akiitisha maandamano tunatanguliza watoto wake ,hasa wale wa Joyce Mkuya na bila shaka atayasitisha.

Ukweli kwamba Mbowe alijua mwanae ni mwathirika wa kirusi hatari cha korona, naye na familia nzima huenda wakawa pia wameambukizwa, bado alienda Dodoma akafanya mkutano na waandishi wa habari, na isitoshe asiwambie kuwa mwanae ni mgonjwa tayari, hadi pale Makonda aliposema hadharani. Wakulaumiwa ni Mbowe.

Isitoshe, Ni wangapi ambao Dudley, mwanae amekutana nao ikiwa ni pamoja na familia! Ni wangapi familia ya Mbowe imekutana na, ikiwa ni pamoja na Mbowe!

Tuombe tu Mola apishe mbali hiki kikombe maana Dar na Dom siyo salama tena ikizingitiwa vijana bado wanajirusha kwenye starehe
 
Ujinga mbona ni mzigo mzito sana. Mbona mnajaribu sana kwa nguvu kubwa kumfananisha Mbowe na Mandera? Mnamaanisha Mbowe yupo chini sana sasa mnajaribu kutafutatafuta vijisababu vya kitoto toto tu kujaribu kumlinganisha na Mandera…kwa maana nyingine Mbowe hajitoshelezi kwa sifa yeye kama yeye…kwa hiyo mnajaribu kujitafutiza vijambo visivyokuwa mbele wala nyuma ili mradi tu kujaribu kumpa sifa asizokuwa nazo! Mandera ni nini hata kwa watz mbona mnakosa hata ufahamu hivyo. Hebu jaribuni kusoma historia basi sio kukurupuka na kuleta upuuzi wa hivyi! Kama Mbowe hatoshei, hata mkijaribu kumfananisha na nani bado ataonekana makapi tu!

Mbowe alikurupuka kuwashawishi watz walete machafuko kwa faida yake binafsi wala sio watz, kuanzia April! Sababu za vurugu hizo alizokuwa akiwashawishi raia kufanya hazina mashiko kwa mtz wa kawaida anayetapambana na kuhakikisha anakula na kuvaa, na kumudu maisha yake na familia! Kwa bahati yake mbaya hata kabla watz hawajatafakari corona ikabisha hodi. Kwa vyovyote vile hata asingejitokeza kuwatangazia watz kutokuwepo kwa upuuzi huo tena bado watz wasingetokea hiyo April 4, 2020!

Jaribu kurejea maisha ya Mandera kabla na baada ya kutoka jela! Pia naomba ujue hao ni Mandera wawili tofauti kabisa kama mbingu na nchi! Sasa sijui ni Mandera gani hasa unayetumia nguvu kubwa kiasi hicho kumfananisha na Mbowe ktt kiwango kikubwa kiasi hicho cha ujuha!

Unapokuwa kiongozi ambaye unaona jambo furani ni muhimu kwa kuwa jamaa yako wa karibu limemuathili ndio ulitilie uzito basi hapo unajidhihirisha usivyofaa kuwa kiongozi! Maanake kama halijamgusa jamaa yako, hata kama linawaathili watu wengi kiasi gani unaweza kulipuuzia! Huyu ndie Mbowe unayemzungumzia kwa uzi wako!
Ndio maana nimesema huu ni ujuha!
 
Ukweli kwamba Mbowe alijua mwanae ni mwathirika wa kirusi hatari cha korona, naye na familia nzima huenda wakawa pia wameambukizwa, bado alienda Dodoma akafanya mkutano na waandishi wa habari, na isitoshe asiwambie kuwa mwanae ni mgonjwa tayari, hadi pale Makonda aliposema hadharani. Wakulaumiwa ni Mbowe.

Isitoshe, Ni wangapi ambao Dudley, mwanae amekutana nao ikiwa ni pamoja na familia! Ni wangapi familia ya Mbowe imekutana na, ikiwa ni pamoja na Mbowe!

Tuombe tu Mola apishe mbali hiki kikombe maana Dar na Dom siyo salama tena ikizingitiwa vijana bado wanajirusha kwenye starehe
Kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa nini ufipa boys hamnaga akili kabisa?

Maana yake asingeumwa mtoto wa mbowe mikutano ingekuwa pale pale?

Tumeshajua dawa yake siku nyingine akiitisha maandamano tunatanguliza watoto wake ,hasa wale wa Joyce Mkuya na bila shaka atayasitisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu wa kushindwa kumtia mimba mkeo ndiyo unakusumbua wenzako tukigusa tu kitu kinajibu,wacha haka katabia kachafu.
1572191509422.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ndiye hutoa vipaji Kwa watu, na kila mmoja anacho kipaji ambacho hakiwezi kulingana na mwingine, labda Kwa kushabihiana,

Mh' Mbowe ni mtu mwenye Hekima Ila hawezi kulingana na Mandela,

Na ujinga wa Bashite pia hauwezi kulingana na ujinga wa mtoa mada
 
Mbowe ni kilaza, mtoto wake kaugua AKAAHILISHA MIKUTANO, ila wakati wanaugua watanzani alikuwa akiihamasisha mikutano.

Harafu baadae anataka makanisa yafungwe! Jamaa zero kabisa! Wale maaskofu wanaomuunga mkono cjui kwanini hawajatoa tamko!
Na
Nahii bila corona nadhani hata watoto wake wasingeonekana Corona imewatoa hadharani.
 
Aliyemtangazia corona mwenzake,
Aliyejitangazia corona,
Wewe unaeleta porojo hapa,
Wote SHIT tu!!
 
Hawa watu ukweli wameishiwa maarifa. Pascal Mayalla alimchambua vizuri sana. Gwajima aliwahi kusema DAB ni zero brain. Hili halina ubishi.

Hebu fikiria Serikali inavyopambana ktk kutoa elimu juu ya mikusanyiko lkn yy kakatiza mitaa huku akiweka mikusanyiko eti anawapa elimu! Tunasubiri Waziri Mkuu alitolee ufafanuzi. Vinginevyo zoezi lake litakuwa halina maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu anasema ebola iko hapo Congo na haikuja kwa maombi kujustify kuwa korona haitakuja na hapohapo akitangaza imekuja kwamtoto wa Mbowe. What a shame!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom