mbowe

  1. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Mbowe hawezi ongoza watu wenye Akili. Tuambiane ukweli

    Jamaa si smart kichwanj na hana kabisa kariba ha Uongozi.ndo maana kuna watu wenye akili CDM wameamua kujinyamazia tu maana wanaona kabisa jamaa hamna kitu. Wengine wameamua kutojihusisha na siasa. Akina Prof Safari. Sababu Mbowe ana uwezo wa kuongoza vijana wahuni wahuni tu kama akina Mdude...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe kabugi step?

    Nimeona humu Kuna kundi linampondea Freeman Mbowe kutangaza nia ya kugombea urais mwaka huu 2020, Kwa maono yangu naona yupo sawa siyo kwa maana ya katiba ya nchi au chama,kwa vile mtangaza nia mkuu anaye tegemewa kwa Sasa hayupo nchini na inawezekana muda ukafika na ikashindikana kuingia...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe alipaswa kujiuzulu uenyekiti kwa muda ili kuwepo na usawa kwa wagombea urais CHADEMA!

    Itakuwa ni kichekesho cha mwaka kama mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe atashindwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho. Mbowe alipaswa kujiuzulu kwa muda uenyekiti ili kupisha mchakato wa kumpata mtu atakayepeperusha bendera ya Chadema kwa nafasi ya Rais katika uchaguzi mkuu. Kwa hali...
  4. technically

    JamiiForums Tanzania Mbowe utakizika chama

    Kama utang'ang'ania kuwania Urais, unaenda kukizika chama rasmi acha ubishi. Mimi wakati unagombea uwenyekiti nilitoka wazi wazi na kukupinga kuwa haikuwa sahihi, sasa unataka kurudia makosa yale yale uliyofanya kugombea uwenyekiti zaidi ya miaka 15. Kama ni urais ulishagombea mwaka 2005 na...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Bi. Fatma Jumanne, msaidizi wa nyumbani wa Bi. Joyce Mukya, anashikiliwa na Polisi akihojiwa kusuhu Mbowe Kuvunjika Mguu

    Inasemekana hali imezidi kuwa tata na haijulikani alipo! Ndugu yangu aliyepo Dodoma jirani yao kanitonya! ===== Tumefuatilia kwa karibu taarifa za Polisi Tanzania kumshikilia Bi. Fatma Jumanne, msaidizi wa nyumbani wa Bi. Joyce Mukya, kinyume cha sheria tangu jana. Amekuwa akihojiwa kama...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Katika Demokrasia ya CHADEMA, Mbowe hajawahi kushindwa uchaguzi wowote wa ndani!

    Huu ndio ukweli uliomkimbiza mzee Sumaye pale CHADEMA na kurejea CCM. Mbowe hajawahi kushindwa uenyekiti wa CHADEMA wala uKUB ambapo alibadilisha utaratibu ili mwenyekiti ndio awe KUB. Kwa sababu hiyo ya Mbowe kuwa na mizizi iliyojichimbia chini, Zitto na wenzake baada ya kugonga mwamba...
  7. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe hatafuti urais, bali anatafuta njia ya kupiga pesa

    MBOWE HATAFUTI URAIS, BALI ANATAFUTA NJIA YA KUPIGA PESA - Ni mjasiriasiasa mbobezi, Kwake muhimu ni pesa na sio huduma kwa wananchi - Anafahamu katika dunia ya leo hakuna mtu anaweza chagua Rais aliyepata sifuri darasani na kuacha Rais mwenye PHD - Anajua akigombea yeye atakusanya pesa kwa...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jicho la Tatu: Mgombea Urais CHADEMA ni Freeman Mbowe! Tundu Lissu Pacemaker! Nyalandu ni Serious Contender, Msigwa anatania, Dkt. Mayrose Majinge...

    Wanabodi, Leo natoa somo linaliutwa Logical Progression kwenye kufanya analysis kwa Kuangalia kitu kwa Jicho la Tatu, ni kuliangalia jambo kwa critical angle kwa kutumia predictions based on logical thinking kwa kutumia critical thinking na kufanya logical progression kwa kupima the motive...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hon. Freeman Mbowe, please play altruism

    To me, Mbowe angeliacha kugombea Urais, ajenge chama, inaweza akaleta mvurugano. You stand a "better" chance to be the source /make divisions among your party members by being one of the contestants. This will create a fragile environment within your party taking into consideration that the...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe tafakari, yawezekana nipigo kutoka kwa Mungu kwani Mungu hajaacha kuwapigania waja wake

    Mh. Freeman A. Mbowe naomba weka pembeni itikadi zote za kisiasa utafakari jambo hili. Tafakari, nikwanini kipindi hiki cha kuelekea bunge kuisha umepatwa na tatizo la kuvunjika mguu! Tena usiku wa manane? Lakini kiujumla lilikuwa nitatizo dogo sana ambalo ungeweza kulihandle vizuri tu...
  11. Viol

    JamiiForums Tanzania Historia fupi ya maisha ya Spika Ndugai aliyoitoa bungeni. Asema alikuwa na maisha ya shida na dhiki

    Spika Ndugai amesema haya, Katika maisha yangu sikuwahi kuwaza wala kuota kama nitakuwa Mwanasiasa, Mbunge na hata Spika ni Mungu tu ambaye katika uumbaji wake hutujua na kutupangia safari kadri anavyoona ni vyema, asanteni sana wana Kongwa, chama changu na Rais Nakumbuka miaka niliyosoma...
  12. Dam55

    JamiiForums Tanzania GE2020 Freeman Mbowe atia nia kugombea urais kupitia CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chadema na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni mh Mbowe leo ameandika barua rasmi ya kutia nia ya kugombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitia Chadema. Hii inafanya jumla ya wanachama walio tia nia kugombea nafasi ya Urais Tanzania kupitia Chadema kufikia...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lwakatare: Hakuna mbunge asiyelewa, suala la Mbowe tusitie chumvi tusubiri ripoti ya vyombo vya uchunguzi

    Akizungumza katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na luninga ya Star mbunge wa Bukoba mjini mh Lwakatare amesema Mbowe ni rafiki yake mkubwa na hata juzi alimsindikiza hadi Air port wakati anahamishiwa Dsm kwa matibabu. Kuhusu wabunge wa CCM na Spika kuamini kuwa Mbowe alianguka...
  14. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa kisayansi unaothibitisha kuwa Mbowe mpinzani mstaarabu ambaye anashawishiwa vibaya na vijana wake

    Kwanza kabisa naendelea kumpa pole sana Mzee Freeman Alkael Mbowe mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama Cha Chadema Niende kwenye maada moja kwa moja hoja yangu itajikita kisayansi Nilipokuwa nafuatilia tukio la Mbowe cha kwanza ilibidi nijikite kwenye uchunguzi wa vitu vifuatavyo a/ Mguu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

    Dah.....bunge linogile. Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro. Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Tukio la Lissu hadi Lissu ahojiwe, tukio la Mbowe upelelezi tayari, lini Mbowe kahojiwa?

    Tarehe 9 mwezi huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Mbowe alishambuliwa na kuvunjwa mguu na watu wasiojulikana, ni takriban siku 3 tu tayari polisi wamefanya uchunguzi na kuja na matokeo. Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na...
  17. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Jicho ndani ya habari: Waandishi wa habari hawajawatendea haki wananchi kwa kutochambua bajeti kuanzia bungeni hadi mtaani, wamjadili Mbowe

    Bajeti za Afrika Mashariki zilisomwa kwa pamoja siku ya Alhamisi lakini magazeti na vyombo vya habari vya Tanzania havijajadili bajeti ya mtanzania bali kuanzia bungeni hadi mtaani mjadala ukuwa wa mbowe na masihala na mjadala wa bajeti unaohusi maisha ya watanzania ukawekwa kapuni. Kwa nchi za...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Picha ya nyumba anayoishi Mbowe ikionyesha ngazi za nyumba hiyo ni muhimu ikawekwa hadharani

    Mimi nafakiri picha inayoonyesha mazingira ya nyumba anayoishi Mbowe hasa ngazi za nyumba hiyo zilivyo ni vizuri zikawekwa wazi na kama anaishi gorofani, basi ielezwa alikuwa anaishi gorofa ya kwanza au ya pili au ya tatu,n.k ingawa naamini nymba hiyo haiwezi kuzidi gorofa mbili au tatu...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ndiye Mbowe tunayeambiwa kuwa alilewa chakari akabiringika kwenye ngazi ila hana jeraha lingine zaidi ya kifundoni alipovunjika

    Siandiki mengi ila najua mnaelewa kuwa mtu aliyelewa kisha akaanguka bila break hadi akavunjika kifundo cha mguu (Sijui alikuwa kavaa high hills?) Anakuwa katika hali gani hasa usoni na kichwani (Au labda alikuwa kavaa helmet). Kama Mbowe alikuwa kalewa chakarii basi bila shaka alibiringika...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Alianza Chacha Wangwe akaja Tundu Lissu na sasa Freeman Mbowe, hivi Chadema kuna nini? Mbona hatusikii kwenye vyama vingine?

    Kiukweli kuna haja ya kutafakari kwa kina kwanini Chadema tu ndio inapitaga katika matukio tata? Ilianza ile ajali ya Chacha Wangwe na ikaacha maswali mengi. Rip Chacha Wangwe Likaja shambulio la Tundu Lisu ambalo bado ni tata na masikini ya Mungu Lisu akapoteza na ubunge. Sasa kuna hili la...
Back
Top Bottom