Mbowe asingekuwa na kiburi angeomba kufanya 'internship' CCM makao makuu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
5,270
2,000
Mbowe akiacha ukaidi anaweza kupata nafasi ya kufanya internship ya miezi 6 pale Lumumba au Dodoma .

Katika mafunzo hayo pamoja na ile kugugusana mabega na JPM, Mangula, Polepole na Bashiru kila siku kitamsaidia sana katika kujifunza njia mpya na mbinu kadhaa CCM walizozitumia kuiongeza Tanzania kwa miaka 50 ijayo.

1. Umuhimu wa uenyekiti kuachiana nafasi ,uenyekiti isiwe ajira yako ya kudumu. Tafuta kazi ya kukuingizia kipato.

2.Kuheshimu wanawake wote ndani ya ofisi ya chama. ( Maana wao ni mabinti zetu, dada zetu na mama zetu) .Tusitumie mwanya huu kuwafadhaisha nafasi zao, kuwashikashika nk.

3. Kuheshimu hela za chama. CCM upamde huu wamepiga hatua sana. Huwezi hata siku moja JPM amekikopesha chama na kukidai siku ya mwisho. Yaani huwezi kusikia Magufuli katoa mili 30 kukodi helkopta halafu mwisho wa siku unakidai chama bilioni 2.

4. Kujifunza njia nzuri kudeal na mivutano midogomidogo ya chama na sio kuchezea breki za wabunge wako au kulipa madereva wa wabunge .
 
Mzingo

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
1,509
2,000
Mkapa alisema CCM walichukua fedha za EPA . Vyama vya upinzani hawana fursa hiyo
 
Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
1,693
2,000
Ni aibu mwenyekiti wa chama kukikopesha chama kisha kukidai kwa liba kubwa hivyo,
Mbowe kakosea sana,
Anadidimiza chama bila kujua
 
Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
10,078
2,000
Hamna kitu hapo, uimara naumahiri wa CCM vipo wapi nje ya mamlaka ya dola???
Ule uwezo wa kuteuwa, kutenguwa, kushughulikia, kuajili, kufukuza,... wakiwa na mwavuli wa serekali, ndo nguvu/ umahiri wao ulipo. Nje ya mamlaka hayo CCM nayo ni hopeless tu.
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
35,938
2,000
Sasa hivi Jamiiforums imesimama hivi;
AKILI KUBWA 17%
UJINGA 55%
BORA LIENDE TUU 28%
Na hili kundi LA UJINGA linafanya linajuhudi kubwa maana wengi wao wako kazini kwa malipo na ndio wameiharibu JF na sio tena home of great thinkers.
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
35,938
2,000
Hivi mbona bosi yeye anasema tofauti na mavuvuzela wake?

May 23, 2018
28
75
Mbowe akiacha ukaidi anaweza kupata nafasi ya kufanya internship ya miezi 6 pale Lumumba au Dodoma .

Katika mafunzo hayo pamoja na ile kugugusana mabega na JPM, Mangula, Polepole na Bashiru kila siku kitamsaidia sana katika kujifunza njia mpya na mbinu kadhaa CCM walizozitumia kuiongeza Tanzania kwa miaka 50 ijayo.

1. Umuhimu wa uenyekiti kuachiana nafasi ,uenyekiti isiwe ajira yako ya kudumu. Tafuta kazi ya kukuingizia kipato.

2.Kuheshimu wanawake wote ndani ya ofisi ya chama. ( Maana wao ni mabinti zetu, dada zetu na mama zetu) .Tusitumie mwanya huu kuwafadhaisha nafasi zao, kuwashikashika nk.

3. Kuheshimu hela za chama. CCM upamde huu wamepiga hatua sana. Huwezi hata siku moja JPM amekikopesha chama na kukidai siku ya mwisho. Yaani huwezi kusikia Magufuli katoa mili 30 kukodi helkopta halafu mwisho wa siku unakidai chama bilioni 2.

4. Kujifunza njia nzuri kudeal na mivutano midogomidogo ya chama na sio kuchezea breki za wabunge wako au kulipa madereva wa wabunge .
EPA ni jibu tosha. Kama unataka nyongeza kuna deep green, merereta na nyingine. Unapoandika jifunze kuiweka akili yako kwenye ubongo ili ueleweke, usiweke sehemu ya kukalia.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
95,505
2,000
Mbowe siyo zumbukuku

Umeonaeeeeee? Yaani hawa waganga njaa wa lumumba wanajidhalilisha sana kisa kutafuta teuzi
Hizi propaganda zingine muwe mnafikiria kuziweka front of majority, sasa hii thread gani! Mtu na akili zako unaleta kitu cha kijinga hivi! Wewe mgogo nini!
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
95,505
2,000
Inawahusu nini nyinyi wachumia tumbo wa lumumba?
Ni aibu mwenyekiti wa chama kukikopesha chama kisha kukidai kwa liba kubwa hivyo,
Mbowe kakosea sana,
Anadidimiza chama bila kujua
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
95,505
2,000
Hasa kipindi cha kuelekea uchaguzi
Sasa hivi Jamiiforums imesimama hivi;
AKILI KUBWA 17%
UJINGA 55%
BORA LIENDE TUU 28%
Na hili kundi LA UJINGA linafanya linajuhudi kubwa maana wengi wao wako kazini kwa malipo na ndio wameiharibu JF na sio tena home of great thinkers.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
95,505
2,000
Usimlaumu sana maana hapo ndiyo akili zake zimegota
EPA ni jibu tosha. Kama unataka nyongeza kuna deep green, merereta na nyingine. Unapoandika jifunze kuiweka akili yako kwenye ubongo ili ueleweke, usiweke sehemu ya kukalia.
 
mitigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,827
2,000
Mbowe akiacha ukaidi anaweza kupata nafasi ya kufanya internship ya miezi 6 pale Lumumba au Dodoma .

Katika mafunzo hayo pamoja na ile kugugusana mabega na JPM, Mangula, Polepole na Bashiru kila siku kitamsaidia sana katika kujifunza njia mpya na mbinu kadhaa CCM walizozitumia kuiongeza Tanzania kwa miaka 50 ijayo.

1. Umuhimu wa uenyekiti kuachiana nafasi ,uenyekiti isiwe ajira yako ya kudumu. Tafuta kazi ya kukuingizia kipato.

2.Kuheshimu wanawake wote ndani ya ofisi ya chama. ( Maana wao ni mabinti zetu, dada zetu na mama zetu) .Tusitumie mwanya huu kuwafadhaisha nafasi zao, kuwashikashika nk.

3. Kuheshimu hela za chama. CCM upamde huu wamepiga hatua sana. Huwezi hata siku moja JPM amekikopesha chama na kukidai siku ya mwisho. Yaani huwezi kusikia Magufuli katoa mili 30 kukodi helkopta halafu mwisho wa siku unakidai chama bilioni 2.

4. Kujifunza njia nzuri kudeal na mivutano midogomidogo ya chama na sio kuchezea breki za wabunge wako au kulipa madereva wa wabunge .
Huu ni ukichaaa yaani mbowe akajifunze uongoz lumumba
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom