Uchaguzi 2020 Mbowe uwe na moyo mkuu! Ni msimu wa kusulubiwa utapita na utabaki salama

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Mh Mbowe ujue kwamba mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.

Watanzania bado Wana Imani nawewe mnoo na wapinzani wenu wanajua Hilo.

Wanazijua nguvu zako hivyo hawataacha kukuandama.

Kumbuka yesu alisalitiwa na Petro wewe ninani hata uepuke kikombe hicho?

Wanaohamia CCM Sasa mbowe na chadema wala msihangaike nao.fanyeni siasa zenu kwa ustaarabu na uvumilivu mkubwa.

Kumbuka huu ni msimu wa mateso na majaribu kwenu wewe na makamanda wengine lakini iweni na moyo mkuu.

Wapinzani wenu hawana aibu mbele ya Mungu na hata binadamu unajua kwanini mh mbowe?
Soma Aya yangu ya mwisho.

Ndio hawana aibu Leo hii wanajifungia kwenye mahoteli na ofisi za umma kupanga kila lililo ovu kwenu ili wawasulubu kipindi Cha kampeni lakini kwakuwa hawana aibu kila ijumaa na jumapili wanasimama kwenye madhabahu za Mungu wakiomba waombewe...!!

Wanakufuru !

Kamanda mbowe aluta kontinua..
 
Sasa hivi ni muda wa kupanga uovu namna ya kunyakuwa dola kinguvu hata ikibidi lolote lifanyike ..

Matumizi ya nguvu
Kupakana matope
Kuwekeana mitego ovu
Fitna majungu visasi
Nguvu za dola

Ikifika jumapili watu wanaenda kusali baba yetu ulie mbinguni ........khaaaaaaaa aiseee siasa Mungu anisamehe Sina moyo huo.
 
Tatizo la ccm ni moja , ina viongozi duni sana waliojaa ushamba mtupu , huwezi kuanza kutengeneza clip za masele na mambo yakaanza kuvuja hapo hapo
Ni msimu wa shetani kujiinua baada ya hapo watu wanaenda kanisani kusali baba yetu huku wakishawishi waombewe.
 
Mh Mbowe ujue kwamba mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.

Watanzania bado Wana Imani nawewe mnoo na wapinzani wenu wanajua Hilo.

Wanazijua nguvu zako hivyo hawataacha kukuandama.

Kumbuka yesu alisalitiwa na Petro wewe ninani hata uepuke kikombe hicho?

Wanaohamia CCM Sasa mbowe na chadema wala msihangaike nao.fanyeni siasa zenu kwa ustaarabu na uvumilivu mkubwa.

Kumbuka huu ni msimu wa mateso na majaribu kwenu wewe na makamanda wengine lakini iweni na moyo mkuu.

Wapinzani wenu hawana aibu mbele ya Mungu na hata binadamu unajua kwanini mh mbowe?
Soma Aya yangu ya mwisho.

Ndio hawana aibu Leo hii wanajifungia kwenye mahoteli na ofisi za umma kupanga kila lililo ovu kwenu ili wawasulubu kipindi Cha kampeni lakini kwakuwa hawana aibu kila ijumaa na jumapili wanasimama kwenye madhabahu za Mungu wakiomba waombewe...!!

Wanakufuru !

Kamanda mbowe aluta kontinua..
Na hili nalo litapita. Hakuna kama Freeman Mbowe
 
Mbowe nae alimsaliti dr slaa, usaliti kawaida tu sema utawala wa jiwe hauna muelekeo pia mbowe nae hana mbinu mbadala toka elfu mbili na ngapi huko bado uenyekiti ni wake tu. Ukiuliza tatizo ni nini??inaonekana ndani ya chama mwenyekiti anaeza akachukua mtu asie mwaminifu . Sasa kama ndani ya chama hakuna kuaminiana kuna kuchukua nchi kweli??? Au ndani ya CDM hakuna mikakati na mbinu mpya?? Dr slaa nilikua namkubali sana alikuwa yuko vizuri kwa hoja na mipango sema ndoivo ndani ya chama mkaamua kugawana fito, kila mmoja anamuita msaliti mwenzake😁😁😁😁 . Mnakuja kuwapa uongozi kina mashinji haha. Jiwe tumemchoka nyie nae hamna dira
 
Tatizo la ccm ni moja , ina viongozi duni sana waliojaa ushamba mtupu , huwezi kuanza kutengeneza clip za masele na mambo yakaanza kuvuja hapo hapo
Masele katengenezwa clip au ndio kweli,kigogo 14 ndio kawavua nguo kabisa!
 
Mh Mbowe ujue kwamba mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.

Watanzania bado Wana Imani nawewe mnoo na wapinzani wenu wanajua Hilo.

Wanazijua nguvu zako hivyo hawataacha kukuandama.

Kumbuka yesu alisalitiwa na Petro wewe ninani hata uepuke kikombe hicho?

Wanaohamia CCM Sasa mbowe na chadema wala msihangaike nao.fanyeni siasa zenu kwa ustaarabu na uvumilivu mkubwa.

Kumbuka huu ni msimu wa mateso na majaribu kwenu wewe na makamanda wengine lakini iweni na moyo mkuu.

Wapinzani wenu hawana aibu mbele ya Mungu na hata binadamu unajua kwanini mh mbowe?
Soma Aya yangu ya mwisho.

Ndio hawana aibu Leo hii wanajifungia kwenye mahoteli na ofisi za umma kupanga kila lililo ovu kwenu ili wawasulubu kipindi Cha kampeni lakini kwakuwa hawana aibu kila ijumaa na jumapili wanasimama kwenye madhabahu za Mungu wakiomba waombewe...!!

Wanakufuru !

Kamanda mbowe aluta kontinua..
Ndio hawana aibu Leo hii wanajifungia kwenye mahoteli na ofisi za umma kupanga kila lililo ovu kwenu ili wawasulubu kipindi Cha kampeni lakini kwakuwa hawana aibu kila ijumaa na jumapili wanasimama kwenye madhabahu za Mungu wakiomba waombewe

Jr
 
Mh Mbowe ujue kwamba mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.

Watanzania bado Wana Imani nawewe mnoo na wapinzani wenu wanajua Hilo.

Wanazijua nguvu zako hivyo hawataacha kukuandama.

Kumbuka yesu alisalitiwa na Petro wewe ninani hata uepuke kikombe hicho?

Wanaohamia CCM Sasa mbowe na chadema wala msihangaike nao.fanyeni siasa zenu kwa ustaarabu na uvumilivu mkubwa.

Kumbuka huu ni msimu wa mateso na majaribu kwenu wewe na makamanda wengine lakini iweni na moyo mkuu.

Wapinzani wenu hawana aibu mbele ya Mungu na hata binadamu unajua kwanini mh mbowe?
Soma Aya yangu ya mwisho.

Ndio hawana aibu Leo hii wanajifungia kwenye mahoteli na ofisi za umma kupanga kila lililo ovu kwenu ili wawasulubu kipindi Cha kampeni lakini kwakuwa hawana aibu kila ijumaa na jumapili wanasimama kwenye madhabahu za Mungu wakiomba waombewe...!!

Wanakufuru !

Kamanda mbowe aluta kontinua..
 
Hii vita ilipunguzwa nguvu na korona. Ilikuwa kama vita ndani kimbunga katrina. Sasa wsnasema upepo umepungua kasi wenye mizinga juu ya vilima wameanza kazi yao. Bondeni miti bado inaanguka.
Huku mizinga huku kimbunga!
tutaililia fimbo ya Musa

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Malambano bado yanaendelea na jemedali daima harudi nyuma
Mh Mbowe ujue kwamba mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.

Watanzania bado Wana Imani nawewe mnoo na wapinzani wenu wanajua Hilo.

Wanazijua nguvu zako hivyo hawataacha kukuandama.

Kumbuka yesu alisalitiwa na Petro wewe ninani hata uepuke kikombe hicho?

Wanaohamia CCM Sasa mbowe na chadema wala msihangaike nao.fanyeni siasa zenu kwa ustaarabu na uvumilivu mkubwa.

Kumbuka huu ni msimu wa mateso na majaribu kwenu wewe na makamanda wengine lakini iweni na moyo mkuu.

Wapinzani wenu hawana aibu mbele ya Mungu na hata binadamu unajua kwanini mh mbowe?
Soma Aya yangu ya mwisho.

Ndio hawana aibu Leo hii wanajifungia kwenye mahoteli na ofisi za umma kupanga kila lililo ovu kwenu ili wawasulubu kipindi Cha kampeni lakini kwakuwa hawana aibu kila ijumaa na jumapili wanasimama kwenye madhabahu za Mungu wakiomba waombewe...!!

Wanakufuru !

Kamanda mbowe aluta kontinua..

In God we Trust
 
Muovu hawezi kuishinda nguvu ya mungu ndiyo maana wameumbuka
Tatizo la ccm ni moja , ina viongozi duni sana waliojaa ushamba mtupu , huwezi kuanza kutengeneza clip za masele na mambo yakaanza kuvuja hapo hapo

In God we Trust
 
Mbowe nae alimsaliti dr slaa, usaliti kawaida tu sema utawala wa jiwe hauna muelekeo pia mbowe nae hana mbinu mbadala toka elfu mbili na ngapi huko bado uenyekiti ni wake tu. Ukiuliza tatizo ni nini??inaonekana ndani ya chama mwenyekiti anaeza akachukua mtu asie mwaminifu . Sasa kama ndani ya chama hakuna kuaminiana kuna kuchukua nchi kweli??? Au ndani ya CDM hakuna mikakati na mbinu mpya?? Dr slaa nilikua namkubali sana alikuwa yuko vizuri kwa hoja na mipango sema ndoivo ndani ya chama mkaamua kugawana fito, kila mmoja anamuita msaliti mwenzake . Mnakuja kuwapa uongozi kina mashinji haha. Jiwe tumemchoka nyie nae hamna dira
Mfuate huko aliko huyo Slaa wako na usaliti wenu

In God we Trust
 
Back
Top Bottom