mbowe

  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leo nimeamini Mbowe mzalendo, Wahariri TBC wachukuliwe hatua kutangaza kinyume na sheria za utangazaji

    Mbowe mzalendo alianza kwa ku test uzalendo wa watangazaji TBC Kama anayoongea watarusha Live yaliyo kinyume na sheria za utangazaji. Kuna upande Kuna mtu Alikuwa akimwangalia kama aonyeshe je anasikika live? Yule mtu alitoa ishara ya Siri ya kuwa ndiyo. Akaona akiwakaribisha Lissu na Salum...
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe kusema No Lissu, No Election ni dharau kwa Vyama vingine vya Siasa

    Ndugu zangu, Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa nipa siku hii ya leo. In a nutshell, Post ya Mh. Mbowe kwenye twitter ni matusi kwa vyama vingine vya siasa nakuviona ni second class political parties. Kwani uchaguzi huu ni CCM vs CHADEMA? Mbowe amekuwa msemaji wa Vyama vingine vya Siasa...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe aitahadharisha Tume ya Uchaguzi kuhusu tuhuma za kupanga njama ya kumuengua Lissu kwenye mbio za Urais

    Hili hapa andiko lake Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.
  4. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Walinzi wa karibu wa Mbowe wajiunga CCM, mmoja awa mgombea Udiwani

    Jopo la ulinzi wa Freeman Mbowe limejiunga CCM huku mmojawapo akiwa mgombea Udiwani kwa tiketi ya CCM. Tukisema CCM ni mfumo wa kisiasa nchini kuna baadhi ya watu hawaelewi! Kuna ''wajinga'' fulani wanadhani Siasa za uanaharakati Tanzania zinaweza kuwawezesha kuchukua dola. Upinzani nchini bado...
  5. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Kuna siri Seif na Mbowe kuhusu kudai Katiba Mpya

    Kwa mawazo yangu ukitaka kuvunja muungano basi uwe na Serikali ya Tanganyika yenye madaraka ya ndani makubwa sawa na ile ya Zanzibar. Ukifanya hivyo utabakia na serikali ya muungano yenye kudhibiti Wizara chache hazizidi kumi. Serikali ya muungano itakuwa dhaifu tegemezi. Kama tanganyika...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Usiyempenda kaja, Mwamba Mbowe achukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Hai

    Huyu hapa
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe anajilipa Tsh. Milioni 50 kwa mwezi. Wapinzani ni walafi na wabinafsi

    Hii inathibitisha CHADEMA inataka madaraka ili ile nchi, inathibitisha nia yao ya madaraka ni pesa kwao sio kwa wananchi, hawajali hata kujenga ofisi kuu ya chama, watajali vipi kujenga nchi yetu. Tazama video hii ya mwana CHADEMA anavyochambua chama chake, sio mwana CCM ila CHADEMA.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wale viongozi wake wa dini ambapo Mbowe alisema kuwa bila viongozi wa dini hakuna taifa

    Wako wapi wale viongozi wa dini ambao wengine walikuwa wajumbe wa halmashauli kuu ya taifa ya chama? Kwanini sasa CHADEMA kama waanzilishi na waliwaaminisha watanzania kuwa chama ambacho akikubariki na viongozi wa dini hakifai kuwa na dola au kuchukuwa dola. Mwenyekiti Mbowe alikwenda mbali...
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe itampa wakati mgumu sana kumnadi Lissu

    Ndugu zangu, Napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa siku ya leo. Katika uchaguzi ambao niliufuatilia kwa karibu kubwa sana tangia nianze kufuatilia siasa na wanasiasa, basi ulikuwa ule wa 2015. Ulikuwa uchaguzi wa kipekee sana kuwahi kutokea hapa nchini, na ulikuwa uchaguzi mgumu sana kwa Chama...
  10. James Martin

    JamiiForums Tanzania CCM wanatumia voter suppression tactics lakini Watanzania wa leo sio wajinga

    Kwanza nielezee kwa wale wasiofuatilia sana mambo ya siasa nini maana ya voter suppression. Kwa tafasiri nzuri kutoka Wikipedia ni Voter suppression is a strategy used to influence the outcome of an election by discouraging or preventing specific groups of people from voting. Kwa Kiswahili...
  11. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ole Sabaya anategemewa na CCM kumng'oa Mbowe jimbo la Hai

    Mwaka huu mwanzoni kabisa niliwaambia kuwa Jimbo la Hai ni mojawapo ya Jimbo ambalo litavuta hisia za Siasa za Tanzania, hapa hakuna kulala, ni mwendo wa mahuburi, ngumi na jino kwa jino. Hii Ni kutokana na umuhimu wa Jimbo hili kwa Upinzani na kwa CCM. Kwa Upinzani ndipo anapotokea Mbowe ambaye...
  12. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Mungu - Yehova anawapenda. Matukio ya Arusha na Hai ni taarifa njema kwenu.!!

    It sounds awkward, lakini ndivyo ilivyo. Kwamba iweje ofisi kuchomwa moto iwe ni jambo jema? Iweje msafara wa mgombea Urais Tundu Lissu ushambuliwe mbele ya macho ya polisi liwe jambo jema? Iweje Tundu Lissu ashambuliwe kwa Risasi za kivita za SMG na AK47 iwe ni jambo jema? Well. Tufutane ili...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kituo kinachofuata ni Jimbo la Hai, Mbowe awahi kumpokea

    Endeleeni kutufuatilia kupitia hapa hapa JF ili kujipatia taarifa za uhakika bila kuchuja chochote . Jingine la kufurahisha ni kwamba Mwamba Mbowe tayari kishatua Hai ili kuandaa mazingira salama ya ujio wa Game changer Tundu Lissu
  14. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwana wa kulitafuta Lijualikali kalipata, baada ya kuangukia pua Ubunge ajaribu udiwani na kuambulia kura 5. Adaiwa kutamani kurudi CHADEMA

    Habari kutoka huko jimboni Kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa. Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa CCM na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi CHADEMA.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Sijamwona Freeman Mbowe hapa ibadani

    Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni. Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani. Nawatakia Dominica yenye baraka. Maendeleo hayana vyama
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Freeman Mbowe apitishwa kugombea Ubunge Jimbo la Hai kwa 99%

    Mbunge wa milele wa jimbo la Hai Mh Freeman Mbowe ( Mwamba Tuvushe ), leo tena amepitishwa na wajumbe wa CHADEMA wa mkutano mkuu wa jimbo hilo ili kugombea tena Jimbo hilo
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe ana laana mbaya sana na ambayo itamgusa mpaka Baba Mwenye Nyumba

    Hakika huyu ndugu ana laana mbaya sana kwani karibu asilimia 99 ya waliojiondoa CHADEMA huku wakimrushia mzigo wa tuhuma karibu wote wameanguka katika kura za maoni. Ni imani yangu hata yule mmoja aliesalimika kwa ushindi wa kura moja, nae atakwenda kuvuna aibu katika uchaguzi mwezi Oktoba...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki analichokifanya Freeman Mbowe ameshindwa tu kuwa muwazi kama TLP

    Habari wanaJamiiForums, Siasa nzuri pale mmoja wao akiwahi kusoma akama za nyakati halisi. Na hili nimesisitiza sana huko nyuma Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kama atasoma nyakati vyema apumzike kugombea uraisi Else atakutana na aibu kubwa kilichofanyika ni sawa na kusema CHADEMA...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Laiti wanasiasa wote wangekuwa na ustaarabu na ukomavu kama Mbowe

    Hakika Mbowe ni Jabali la Siasa Tanzania. Mbowe ni mwanasiasa makini sana hasa anapojenga hoja zake iwe bungeni au hata nje ya Bunge. Amekuwa mtulivu pasi na visasi au kujibizana hata anapokashifiwa au kutukanwa na wanasiasa wasioweza kujenga hoja na kukimbilia personal attacks. Mifano ni...
  20. Tindo

    JamiiForums Tanzania John Heche anastahili kuwa Mwenyekiti ajaye baada ya Kamanda Mbowe

    Tena hata sasa amechelewa. Yeye ndio alipaswa kuwa mwenyekiti hata sasa, ila Mbowe alilazimisha kuendelea kuwa mwenyekiti.
Back
Top Bottom