Mbona Afrika hatuandamani kupinga mauaji ya kikatili na kifedhuli ya mweusi mwenzetu?

Nigrastratatract

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
215
1,000
Thousands of people in New Zealand marched in solidarity Monday with those in the United States protesting the death in police custody of African American George Floyd.

Protesters in Auckland marched to the U.S. Consulate and chanted slogans familiar at U.S. protests, including “black lives matter” and “no justice no peace.”

Monday’s demonstrations followed those Sunday in Britain, Brazil, Canada and other countries.

Thousands of protesters gathered in central London to voice their support for those in the United States who have turned out to condemn police conduct since Floyd’s death last week in Minneapolis, Minnesota.

Floyd died after white police officer Derek Chauvin pressed a knee on the back of his neck for more than eight minutes, even as Floyd repeatedly said he could not breathe.

Protesters in Denmark marched to the U.S. Embassy in Copenhagen on Sunday, carrying placards with such messages as "Stop Killing Black People." In Germany, protesters carried signs saying, "Hold Cops Accountable," and "Who Do You Call When Police Murder?"
 

Ghiti Milimo

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
2,062
2,000
Kwa akili za viongozi wa Afrika, na aina ya akili za askari wetu, haishangazi kushuhudia mauaji mapya kutoka kwenye maandamano hayo!

Watu wa Kusini akiwemo na KATELEFONI sina shaka wanakumbuka walivyo onywa wakati ule!
 

Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
657
1,000
Watu wanaogopa kupigwa kama mbwa koko.
Ndiyo ukweli halisi..
Utapigwa kama mbwa koko, familia itateseka kujaribu kukunusuru na kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha na madawa ya kulevya.

It's not worth it...

Everyday is Saturday........................:cool:
 

gspain

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,306
2,000
Hapa hapa kwetu askari polisi wanaua raia na hatuandamani
Watanzania vichwani kuna shida pamoja na unafki uliopitiliza, nakumbuka baada ya Hillary Clinton kushindwa uchaguzi wanawake (wanaharakati na wanasiasa) wa Tz walipost kwenye page zao kuonesha masikitiko kwa 'mwanamke' mwenzao kuukosa urais wa US.

Mwaka mmoja nyuma (2015) tulikuwa na uchaguzi na Anna Mughwira aligombea na idadi ya kura alizopata ziliakisi kutoungwa mkono na wanawake wenzie wengi kama sio wote kabisa.
 

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
47,076
2,000
Kwani kwenye mauaji ya Akwelina na Daudi Mwangosi wananchi wa Tz mlichukua hatua gani labda kwa mfano?

Tuanzie hapo kwanza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom