Kwa namna bwana mkubwa huyo alivyo vumilia maswahibu mengi ya kushangaza ni wazi pamoja na kwamba ni mpinzani kwa hakika anayo haki ya kuheshimiwa na watu wote wapenda amani.
Mbowe ni kiongozi mvumilivu na wa kupigiwa mfano! Kuna wakati huwa najiuliza ingekuwaje mtu kama Tundu Lissu, Heche...
James Mbowe, mtoto wa kaka wa mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya CHADEMA.
Freeman yeye alishatangaza kutetea kiti chake jimboni Hai mkoa huo huo wa Kilimanjaro.
Source: Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
Kiukweli nafasi ya Tundu Lisu kupitishwa na Chadema kuwa mgombea urais ni ndogo sana.
Washindani wa Lisu mh Mbowe na Nyalandu waliwahi kwenda katika hekalu la mfalme Suleiman mjini Yerusalemu ambako waliweka nia zao mbele ya Mwenyezi Mungu.
Nyalandu alisema wakati wanaweka nia zao kwa...
Kwa kweli kwa hilo la mguu wa Mbowe linafikirisha mno!
Ukweli ni kwamba wana siasa ni binadamu kama wengine na huamua pia kusitiriana kwa mambo kadha wa kadha ambayo kwao ni ya aibu.
Mfano: Kuumia kwa mguu wa ndugu Mbowe ni wazi vyombo vya dola vimeaswa na kuelekezwa viachane nalo kwa sababu...
Lazaro Nyalandu yuko live Clouds tv akiweka wazi mipango yake endapo atachaguliwa kuwa Rais wa JMT.
Maendeleo hayana vyama!
=======
Nyalandu: Mbowe ni mtu ambae amestahimili, amepambana na amekuwa muaminifu kwa chama hiki. Amekuwa ni kiongozi ambae ni mfano wa kuigwa na historia itamkumbuka...
Habar wadau
Katika pitapita zangu kwenye baadhi ya midahalo nimeweza kuangalia baadhi ya mikutano ya Mbowe na Tundu Lissu na kubaini ubora wa wote wawili kwenye majukwaa
Kwanini nasema CHADEMA wamsimamishe Mbowe kwenye uchaguzi ujao kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, ni kwa sababu Mbowe...
Hii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee.
Najaribu kujiuliza, kama uongozi wa juu unamtaka Membe kwanini mnawauzia fomu wagombea wengine ambao hawahitajiki?
Naomba...
Dudley Mbowe, mtoto wa kiume wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman A. Mbowe amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospital ya Aga Khan, Dar es Salaam baada ya kuumia vibaya kichwani.
Kijana huyo jana alifanyiwa operesheni ya kichwa na inaelezwa hali yake ni mbaya.
Sababu za...
Mnajua jinsi awamu ya 5 "ilivyofanikiwa" kwa kutumia propaganda pekee. Leo hii Magufuli angekataliwa kugombea CCM sio ajabu angejiunga CHADEMA na kutimiza ndoto yake. Siasa ndivyo zilivyo, tuwe tayari kwa lolote hata kama ni "kubadilisha gia angani" kama inatusaidia sawa. Magufuli ametumia kila...
Kwanza kabisa sifikiri kama Tanzania kwa mwaka huu kwenye nafasi ya urais upinzani utashidwa. Pamoja na ukweli kwamba Magufuli kafanya zaidi ya Kikwete kwenye kipindi chake cha kwanza lakini Magufuli amekandamiza sana demokrasia kwa kipindi cha miaka karibu mitano sasa.
Lakini upinzani unaweza...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mhe. Freeman Mbowe amesema, kuna baadhi ya vyama vya siasa na wanasiasa hasa wanaCCM wanasema tuachane na Urais tujiandae kwa Ubunge na Udiwani, Mbowe anasema stage ya kuwa chama kikuu cha Upinzani wameshaipita wanaingia kwenye uchaguzi mkuu...
Ndani ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kumeshaanzishwa magufuli jogingis ushahidi Ni channel ten.
Naomba kuuliza taasisi za serikali za kiulinzi na kisheria CHADEMA wakifanya hivyo litakuwa kosa?
CHADEMA wameminywa hawana watetezi sisi wapenda haki tusioegemea upande wowote tunauliza...
Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika leo ametoa kauli kali ambayo ndio kauli halali ya Chama chake kuhusiana na Propaganda za kishamba zinazosambazwa na Jeshi la Polisi zikiongozwa na IGP Sirro mwenyewe kuhusiana na shambulizi alilofanyiwa Mh Mbowe na Watu waliotumwa kumdhuru .
Hakuna...
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani
Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Wasalaam wana jamvi!
Leo Clouds kupitia Clouds 360 walikuwa wamemuandalia Freeman Mbowe mahojiano ambayo angepata wasaha wakutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa yanayo muhusu yeye na chama chake!
Lakini chakushangaza Ndugu Mbowe ametafutwa bila mafanikio na hata walipo ulizwa viongozi wenzie...
Nawaza tu huyu Mbowe aliyetia nia ya kuwa Rais wa Tanzania kwa misukosuko hii anayopitia hatakuwa mtu mwenye visasi kweli?
Kisasi siyo lazima uwe ulitendewa ubaya bali hata kutenda kwa niaba ya wengine.
Wananchi tuwapime vizuri hawa wagombea wetu na falsafa wanazoingia nazo kwenye Uchaguzi...
Mwanzoni mwa mwaka huu kuna kundi la Wana CCM walikuwa wakiirushia madongo CHADEMA kwa kudai kinaendeshwa kibabe kwa matakwa ya mtu mmoja - yaani Mwenyekiti wake Mh Freeman Mbowe.
Of course, kila mmoja anajua wazi kuwa target siku zote huwa si chama na taratibu zake bali Mbowe na uimara wake wa...
Watangazaji wa Clouds 360 wametembelea kijiwe maarufu cha kahawa jijini Dodoma na kufanya mahojiano na madereva wa Bodaboda.
Bodaboda waliulizwa maswali mawili ya msingi:
1. Je, Rais Magufuli akimaliza muhula wake wa pili wa uongozi aongezewe 10 mingine?
2 Je, kwa mnavyofahamu Mwenyekiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.