mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Mbinu bora za kivita: Russia and Ukraine war case

    Kuna kundi kubwa sana la watu ambao wanapenda kuona, kusoma na kusikia habari za uwanja wa medani hii inatokana na ukweli kuwa vita ndio jambo gumu sana kufanywa na mwanadamu. Katika dunia ya leo kila jambo lina taaluma yake hata vita pia ni taaluma pana inayohusisha mbinu, mikakati, silaha...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Maktaba ya ujanani: Mbinu niliyofanikiwa kunasa ma ex wawili bila kukataliwa

    Hii ni maktaba nayowaletea kwenu nikijikumbushia mbinu kadhaa nilizowahi kuzifanyia practical. Njia hii ilikuwa ni kwamba ni lazima kuwe na mabinti wawili marafiki, nachofanya nawalinganisha, namchangamkia saa yule wa kawaida, yule mrembo nakuwa sina time nae kivile, baada ya hapo ntaomba namba...
  3. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nzi kibiashara: Mbinu, changamoto na masoko yake

    Acheni hizo vijana ningekuwa live ningeweka chitchat? Si kunajukwaaa la uvuvi kule
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tujuzane Je, Mbinu gani mnatumia kuwalipa ulinzi shirikishi mtaani kwenu ili kuepuka upigaji?

    Ulinzi shirikishi ni jambo zuri sana! Maeneo ya vijijini limeonyesha kufaulu kwa asilimia kubwa kutokana na watu wake kujitolea au kupangwa kwa zamu! Tatizo kubwa la ulinzi shirikishi mjini una harufu ya upigaji! Kuna wakati huwa nashawishika kuamini huenda PANYA ROAD ni PROJECT? Kwasababu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama Asali Feki inajulikana upesi kwa Mbinu hii je, Bange Feki inajulikana kwa Mbinu ipi?

    Asali Feki inajulikana kwa ama kutumia Njiti ya Kiberiti kwa Kuichovya katika Asali na Kuiwasha ambapo ukiona haiwaki jua ni Feki au unaichukua hiyo Asali unaimimina kidogo katika Karatasi na ukiona kwa chini ( nyuma ) ya hiyo Karatasi hakuna Unyevu au hakujaloana jua ni Feki hiyo na mrudishie...
  6. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya Russia kuivamia Ukraine ilikuwa kali sema ya kizamani

    Urusi kiukweli wameonesha umahiri wa kutumia mbinu za enzi ya kina hitla na dola la kirumi katika uvamimizi.Kabla sijaelezea mbinu hizo naomba ufahamu kuwa Urusi haikua na malengo ya kuivamia Ukraine yote,bali ililenga maeneo ya eastern part yaliyopakana na mipaka yake ,lengo ikiwa ni...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani huwa zinatumiwa na viongozi wa nchi za kiafrika kwenda kuomba hata msibani

    kati ya vitu vinavyonishangaza ni kitendo cha viongozi wa nchi za kiafrika kwenda kutembeza bakuri huko kwa mabeberu hata kama na wao vyuma vinakuwa vimewakazia nakumbuka mwaka 2007 kipindi kile cha financial crisis ya kule marekani mzee wa msoga hakukoma kwenda kuomba omba pesa kule kwa Obama...
  8. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Geoff Lea: Simba wanajulikana kwa kutumia mbinu chafu wakiwa nyumbani

    Mchambuzi wa soka Geoff Lea, amesema kwamba klabu ya Simba ni maarufu kwa kutumia mbinu chafu wakiwa nyumbani ili kujipatia ushindi. Mchambuzi huyo ametaka klabu iache kutumia mbinu hizo chafu kwa maana mpira ni mchezo wa haki. Geoff amezitaka klabu za mpira barani Afrika ikiwemo Simba...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anapaswa kupewa mbinu za kujibu interview, wasaidizi wake mmemuangusha

    Mahojiano ya jana ya Rais Samia na Gazeti la New York Times alinukuliwa akisema alipata wakati mgumu kufanya kazi na Hayati Magufuli kutokana na msimamo wa Magufuli juu ya Covid-19. Japokuwa simkubali Magufuli, lakini hii kauli haijakaa sawa, lakini nina uhakika Rais Samia hakudhamiria kusema...
  10. Big Phil

    JamiiForums Tanzania Fahamu njia unazoweza kuzitumia ili kupata Mtaji wa Biashara

    Nifanyeje nipate mtaji? Nina wazo zuri ila sina mtaji? Haya ni maswali ambayo wengi wetu tunajiuliza sana kwenye harakati zetu za kila siku kwenye kutafuta maisha. Kuna njia ambazo tunaweza kuzitumia kupata mitaji ya kuanzisha biashara. 1. Akiba binafsi Kuna msemo wa kiswahili unasema "Akiba...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mnaijeria anataka kumpora rafiki yangu girlfriend wake, Mbinu zipi zitumike kumshinda mgeni huyu uwanja wa nyumbani?

    Kuna dogo ana miaka 28 bado hajaoa ila ana girlfriend wake ambae wamejuana takribani miezi minne hivi bila tatizo, kaja kwangu kaka yake aje nimpe ushauri hasa ukizingatia binafsi nimeshaoa na nina familia tayari, pia kwenye mambo ya mapenzi nina uzoefu si haba. Huyo girlfend wake ni mrembo wa...
  12. To yeye

    JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake Duniani; Nini kifanyike katika kulinda mahusiano?

    Maana kiukweli dunia hii imeshatawaliwa na pesa, yaan utu wa binadamu umezongwa na kitu pesa. Mwanaume hataki kuhudumia ila anataka kisafi chenye mwonekano bora na mwanamke anataka kuhudumiwa(pesa) ili awe safi na mwonekano bora ambao mwanaume anautaka. Sasa kilichonileta ni kutaka kujua toka...
  13. Artificial intelligence

    JamiiForums Tanzania Nuclear attack: "PRE-RU-SHE-A" mbinu ya kijeshi inayoweza kuokoa uhai wako wakati wa shambulizi la Nyukilia

    Moja Kati ya silaha inayotisha kwa sasa duniani ni nyukilia. Endapo utakutwa na shambulizi la nyukilia ni vyema ukatumia mbinu ya "PRE-RU-SHE-A' ili kupona shambulizi hilo. Wakati wa vita endapo BOMU la nyukilia litapigwa wanajeshi na raia ushauriwa kutumia mbinu hii ya "PRE-RU-SHE-A" ikiwa ni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya mabeberu kufanikisha kupata sababu za kuiwekea vikwazo Urusi, mbinu kama hiyo itatumika kuiwekea vikwazo CHINA kwa kuitumia TAIWAN

    Kinachoendelea kati ya URUSI na UKRAINE, kitatokea tena kati ya CHINA na TAIWAN. Mabeberu wataichokonoa sana CHINA kwa kuitumia TAIWAN kama walivyoitumia UKRAINE. Japo kwa TAIWAN kuona jinsi mabeberu walivyoitosa UKRAINE labda wanaweza kushtuka wasiingizwe choo cha kike kama alivyoingizwa...
  15. MLALE

    JamiiForums Tanzania Mbinu za Mafanikio: Nguvu ya kwanza ipo kwenye akili zetu. Badili mtazamo wako juu ya vitu mbalimbali, anza polepole

    Ushawahi jiuliza ni kwa nini kuna matajiri na masikini? Utofauti huo upo katika akili zetu (mindset), na pia katika mitazamo yetu (attitudes), japo kuna sababu nyingine nyingi. Naandika haya baada ya kufanikiwa katika Nyanja ya KIELIMU, KIJAMII na KIUCHUMI kwa kuweza kuifanya akili yangu iwaze...
  16. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Naomba utushirikishe mbinu wanazoweza kutumia waliojiriwa kumiliki nyumba ya kwanza

    Habari, Naitwa Aliko Musa. Ninaishi mkoani Mbeya. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi kuhusu uwekezaji katika ardhi na majengo. Mejesho kutoka kwa wasomaji wa makala zangu kwenye mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG umeonyesha wengi hushindwa kumiliki ya kwanza kutokana na sababu mbalimbali...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kama uliweza kumaliza mitihani yako, weka hapa stori yako, mbinu, changamoto kuwapa matumaini watahiniwa

    Duh aisee ule mziki wa CPA sijawahi ona, ulinipeleka mchaka mchaka mno hata nikiunganisha msuli wa form 6 E.C.A na degree bado haifiki hata robo, hata wanaotoka cpa kwenda masters huwa ni kama wameenda likozo na wanapasua masters si mchezo, lakini utoke masters uje cpa ni shughuli pevu...
  18. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Mawakili kesi ya Mbowe na wenzake watatu walibadili mbinu baada ya kuona kila pingamizi la utetezi linagonga mwamba

    Mwanzoni katika kesi ya Mbowe, Kila Pingamizi la utetezi lilikuwa linagonga mwamba na vielelezo vikawa vinapokelewa “by hooks and crooks” Utetezi ukabadili mbinu kuokoa muda wa wateja kwani walijua mapingamizi yao yangekula muda na yangetupwa. Ikabuniwa mbinu mpya Utetezi ukawa unakubali...
  19. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Mbinu tano (5) halali za kuchelewesha mnada wa hadhara wa nyumba yako uliyoombea mkopo

    Nyumba yako au ardhi yako kuuzwa kwa njia ya mnada wa hadhara ni jambo ambalo linaweza kutokea ikiwa umeamua kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu. Chanagamoto ya kuuzwa nyumba au ardhi yako kwa njia ya mnada wa hadhara inaweza kutokana na sababu za kibinadamu au sababu ambazo zipo nje kabisa...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Awamu ya tano Tanesco hawakukarabati miundombinu ya umeme, sasa mmehitimisha ukarabati tusikie mgao tena

    Mmnetangaza wenyewe kuwa mmehitimisha ukarabati wa miundo mbinu ili umeme upatikane vizuri. Tunataka tusisikie habari ya mgao na umeme kukatika katika hovyo imeisha kama enzi za awamu ya tano.
Back
Top Bottom