Mbinu ya Russia kuivamia Ukraine ilikuwa kali sema ya kizamani

mtarimbo

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,529
3,919
Urusi kiukweli wameonesha umahiri wa kutumia mbinu za enzi ya kina hitla na dola la kirumi katika uvamimizi.Kabla sijaelezea mbinu hizo naomba ufahamu kuwa Urusi haikua na malengo ya kuivamia Ukraine yote,bali ililenga maeneo ya eastern part yaliyopakana na mipaka yake ,lengo ikiwa ni kuyasaidia majimbo yaliyikua yanataka kujitenga na Ukraine ,kumbuka mipango iliandaliwa tangu 2010,na propaganda nyingi ziliundwa na mrusi ili kuchochea majimbo hayo kujitenga.sitaki kwenda deep mnaelewa hizo siasa za mrusi.

Sasa nije kwenye mbinu ya kuhakikisha wanyakwapua majimbo hayo,maana walielewa fika wakienda kichwakichwa wangeumbuka mno.

Kwanza kabisa walijigawa makundi matatu ,ambapo kundi la kwanza lilitangulia upande wa mji mkuu Kiev kama vile wanataka kuingia mjini,ila walikua wanazuga tuu ili kuvuruga mipango ya jeshi la Ukraine ,na kweli lilivurugika kweli maana Ukraine ilijikita kutumia nguvu nyingi kuzuia jeshi la Russian kuingia mji mkuu Kiev, huku wakisahau kuna kundi lilikua linazunguka Eastern na kujiimarisha huko

Kundi la pili lilijikita kama linataka kutokea upande wa kaskazin kupitia Belarus ila nao ilikua zuga tuu.

Kundi la tatu ndilo la kifo lilijikita majimbo ya mashariki likiwa na shehena ya silaha nyingi na kujiimarisha huko ,huku wenzao wakiendelea kuzuga ,mbinu hii inaitwa cover the main target

Wakati mataifa ya ulaya na dunia wakimzomea puttin kwamba kashindwa kutimiza lengo lake la kuingia Kiev ,yeye aliendelea kujiimarisha zaidi

Baada ya kuhakikisha ameshajiimarisha vikosi hivyo vilirudi kwenda kuungana na wenzao huko mashariki.

Nataka niwaambie tuu majimbo yote ya mashariki kamwe Ukraine hawezi tena kuyakomboa ,hata wazungu wamepigwa na butwaaa kuchezewa akili na Putin

Ila kwa hitimisho sijapenda mbinu hii maana inagharama sana ,maisha ya RAIA wasio na hatia, uharibifu mkubwa wa miundombinu ,pia hata hasara kwa jeshi la urusi maana wengi wanaotumwaga kufanya coverage huwa ni askari wasio weled na mara nyingi hawapewi zana za kisasa, hivyo wengi hupoteza maisha ili kumpa moyo anayevamiwa akidhani anapata ushindi kumbe anaelekea shimon.

Wengi mkisikia mrusi ni mbabe wa vita huwa mnaona ni neno dogo ila Mrusi ni hatari sana ana mbinu za kushangaza na ambazo adui hawezi fikiria.
 
Naweka miguu apa umeiandika Kwa uhalisia kabisaa ata Ile hotuba ya kwanza alisema anaenda kulinda maeneo ya RUSSIAN SPEAKER na siyo kuichukua Ukrein alijua akienda maeneo ya eastern tu watanyukana sana Ila kutengeneza conyoy ya nguvu
 
Putin aliingiza Urusi mfumo wa kibepari na yeye na magenerali wa Jeshi na vigogo wa Serikali,mahakama na bunge na ndugu zao wakawa na utajiri wa kufa mtu ambao waliuficha nchi za Magharibi watoto wao ba ndugu zao wakiwa wanasoma au kuishi Ulaya na Marekani na wao wakienda kutumbua maisha Ulaya na Marekani wanakomiliki mali na pesa ns mi akaunti yao ya benki na hisa misoko ya Ulaya na Marekani ikisoma ma trilioni ya dola!!

Ulaya na Marekani wanewapiga pini viongozi wa Serikali wote wa Russia,Wabunge wote wa Russia ,viongozi wote wa mahakama wa Russia na wafanyabiashara wote wa Russia ma Raia wote wa Russia mali zao na akaunti zote waliweka benki za Ulaya na nchi za Magharibi

zimekuwa frozen hata awe na ATM card haifanyi kazi

Putin muda wowote atauawa au kupinduliwa ns hao wenye pesa na mali ambazo ziko frozen
Ambao weekend walikuwa wanaenda kula bata london,new York na visiwa vya maraha ulaya na Marekani
 
Siyo rahis mkuu Urusi ni hatari sana huwa ina mbinu za kushangaza
 
Meli nyingi za mafuta za Urusi wamegeuka machinga baharini wauza magendo wanauza mafuta na gesi bei ya kutupwa ukiwa na meli yako ya mafuta gesi tupu nenda deep sea mimeli ya machinga ya kirusi ina mafuta na gesi kibao unapakia unakuja uza bei kali Tanzania

Vikwazo usicheze navy Urusi analia kama ngedere kageuka machinga
 
Mkuu kweli Putin amewauza matajiri wa Russia
 
Unabonyeza ngapi kupata ichi kichekesho
 
Meli nyingi za mafuta za Urusi wamegeuka machinga baharini wauza magendo wanauza mafuta na gesi bei ya kutupwa ukiwa na meli yako ya mafuta gesi tupu nenda deep sea mimeli ya machinga ya kirusi ina mafuta na gesi kibao unapakia unakuja uza bei kali Tanzania

Vikwazo usicheze navy Urusi analia kama ngedere kageuka machinga
Vp apo new York mafuta bei gni na gesi
 
Urusi kiukweli wameonesha umahiri wa kutumia mbinu za enzi ya kina hitla na dola la kirumi katika uvamimizi.Kabla sijaelezea mbinu hizo naomba ufahamu kuwa Urusi haikua na malengo ya kuivamia Ukraine yote,bali ililenga maeneo ya eastern part yaliyopakana na mipaka yake ,lengo ikiwa ni kuyasaidia majimbo yaliyikua yanataka kujitenga na Ukraine ,kumbuka mipango iliandaliwa tangu 2010,na propaganda nyingi ziliundwa na mrusi ili kuchochea majimbo hayo kujitenga.sitaki kwenda deep mnaelewa hizo siasa za mrusi.

Sasa nije kwenye mbinu ya kuhakikisha wanyakwapua majimbo hayo,maana walielewa fika wakienda kichwakichwa wangeumbuka mno.

Kwanza kabisa walijigawa makundi matatu ,ambapo kundi la kwanza lilitangulia upande wa mji mkuu Kiev kama vile wanataka kuingia mjini,ila walikua wanazuga tuu ili kuvuruga mipango ya jeshi la Ukraine ,na kweli lilivurugika kweli maana Ukraine ilijikita kutumia nguvu nyingi kuzuia jeshi la Russian kuingia mji mkuu Kiev, huku wakisahau kuna kundi lilikua linazunguka Eastern na kujiimarisha huko

Kundi la pili lilijikita kama linataka kutokea upande wa kaskazin kupitia Belarus ila nao ilikua zuga tuu.

Kundi la tatu ndilo la kifo lilijikita majimbo ya mashariki likiwa na shehena ya silaha nyingi na kujiimarisha huko ,huku wenzao wakiendelea kuzuga ,mbinu hii inaitwa cover the main target

Wakati mataifa ya ulaya na dunia wakimzomea puttin kwamba kashindwa kutimiza lengo lake la kuingia Kiev ,yeye aliendelea kujiimarisha zaidi

Baada ya kuhakikisha ameshajiimarisha vikosi hivyo vilirudi kwenda kuungana na wenzao huko mashariki.

Nataka niwaambie tuu majimbo yote ya mashariki kamwe Ukraine hawezi tena kuyakomboa ,hata wazungu wamepigwa na butwaaa kuchezewa akili na Putin

Ila kwa hitimisho sijapenda mbinu hii maana inagharama sana ,maisha ya RAIA wasio na hatia, uharibifu mkubwa wa miundombinu ,pia hata hasara kwa jeshi la urusi maana wengi wanaotumwaga kufanya coverage huwa ni askari wasio weled na mara nyingi hawapewi zana za kisasa ,hivyo wengi hupoteza maisha ili kumpa moyo anayevamiwa akidhani anapata ushindi kumbe anaelekea shimon.

Wengi mkisikia mrusi ni mbabe wa vita huwa mnaona ni neno dogo ila Mrusi ni hatari sana ana mbinu za kushangaza na ambazo adui hawezi fikiria.
Ni maoni yako ngoja tuache muda utupe matokeo ili tuone nani n mshindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Putin aliingiza Urusi mfumo wa kibepari na yeye na magenerali wa Jeshi na vigogo wa Serikali,mahakama na bunge na ndugu zao wakawa na utajiri wa kufa mtu ambao waliuficha nchi za Magharibi watoto wao ba ndugu zao wakiwa wanasoma au kuishi Ulaya na Marekani na wao wakienda kutumbua maisha Ulaya na Marekani wanakomiliki mali na pesa ns mi akaunti yao ya benki na hisa misoko ya Ulaya na Marekani ikisoma ma trilioni ya dola!!

Ulaya na Marekani wanewapiga pini viongozi wa Serikali wote wa Russia,Wabunge wote wa Russia ,viongozi wote wa mahakama wa Russia na wafanyabiashara wote wa Russia ma Raia wote wa Russia mali zao na akaunti zote waliweka benki za Ulaya na nchi za Magharibi

zimekuwa frozen hata awe na ATM card haifanyi kazi

Putin muda wowote atauawa au kupinduliwa ns hao wenye pesa na mali ambazo ziko frozen
Ambao weekend walikuwa wanaenda kula bata london,new York na visiwa vya maraha ulaya na Marekani
Na huo ndiyo ukweli wenyewe kwa Sababu Putin kaingia kwenye mtego wa Westerners na hapo wameshamterm kama Hitra so ni lazima aondoke kwa gharama yoyote ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ule msafara mrefu wa vifaru kuelekea kyiv huku wakiwaambia wanajeshi wa Ukraine wamtoe Rais wao wenyewe na wajisalimishe ilikuwa ndani ya mpango?
Vipi kuhusu askari 1300 walofarik ambao putin amekiri ktk speech yake kuwa amewapoteza? Watu wanajitoa ufahamu humu ila uhalisia unabaki palepale, resistance alokutana nayo mrusi mpaka sasa bado haamini.
 
Back
Top Bottom