Kama Asali Feki inajulikana upesi kwa Mbinu hii je, Bange Feki inajulikana kwa Mbinu ipi?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,734
Asali Feki inajulikana kwa ama kutumia Njiti ya Kiberiti kwa Kuichovya katika Asali na Kuiwasha ambapo ukiona haiwaki jua ni Feki au unaichukua hiyo Asali unaimimina kidogo katika Karatasi na ukiona kwa chini ( nyuma ) ya hiyo Karatasi hakuna Unyevu au hakujaloana jua ni Feki hiyo na mrudishie huyo Muuzaji huku ukimsindikiza bonge la Kibao na ukiweza hata Ngumi pia.

Mnaojua kuigundua Bangi / Bange Feki naomba Msaada wenu tafadhali kwani Mtu kasema ile aliyokuwa akiivuta Bob Marley ndiyo ilikuwa yenyewe ila hizi za Temeke, Ilala na Kinondoni si zenyewe na ni 100% Feki.
 
Unavuta msokoto mmoja. Usipomuomba uroda mama mkwe wako baada kuvuta basi kamzabe makofi pusher wako.
 
Asali Feki inajulikana kwa ama kutumia Njiti ya Kiberiti kwa Kuichovya katika Asali na Kuiwasha ambapo ukiona haiwaki jua ni Feki au unaichukua hiyo Asali unaimimina kidogo katika Karatasi na ukiona kwa chini ( nyuma ) ya hiyo Karatasi hakuna Unyevu au hakujaloana jua ni Feki hiyo na mrudishie huyo Muuzaji huku ukimsindikiza bonge la Kibao na ukiweza hata Ngumi pia.

Mnaojua kuigundua Bangi / Bange Feki naomba Msaada wenu tafadhali kwani Mtu kasema ile aliyokuwa akiivuta Bob Marley ndiyo ilikuwa yenyewe ila hizi za Temeke, Ilala na Kinondoni si zenyewe na ni 100% Feki.
Acha babgi feki.
Sumu feki unaionja, kama hujadondoka utajua tu, hii ni feki.
 
Asali Feki inajulikana kwa ama kutumia Njiti ya Kiberiti kwa Kuichovya katika Asali na Kuiwasha ambapo ukiona haiwaki jua ni Feki au unaichukua hiyo Asali unaimimina kidogo katika Karatasi na ukiona kwa chini ( nyuma ) ya hiyo Karatasi hakuna Unyevu au hakujaloana jua ni Feki hiyo na mrudishie huyo Muuzaji huku ukimsindikiza bonge la Kibao na ukiweza hata Ngumi pia.

Mnaojua kuigundua Bangi / Bange Feki naomba Msaada wenu tafadhali kwani Mtu kasema ile aliyokuwa akiivuta Bob Marley ndiyo ilikuwa yenyewe ila hizi za Temeke, Ilala na Kinondoni si zenyewe na ni 100% Feki.
Asali ukiweka kwenye karatasi haitakiwi kuloa.Njia nyingine ni kudondosha tone kwenye mchanga na kuipuliza inaviringika bila kulowesha ardhi.
 
Bangi fake (kushabo) utauziwa yale majani yake, na siyo maua (vichwa).
Watu wengi wanauziwa kushabo tu, unakuta unataka kuiandaa, bangi ukiwa unaiandaa inatoa vumbi la kutosha, au wengine wanajaziwa mbegu na miti.
Bangi nzuri hata gharama yake inakuwa tofauti kidogo na hizi kushabo za mtaani.
Skanka
 
Ndumu by necha ina vitu vitatu, vichwa, kushabu na mbegu. Hakuna bangi feki bali tuseme kuna bangi ambayo haina viwango. Kwa kuiangalia hiyo "feki" kwanza utaona ina kushabu nyingi na pia either haina vichwa au vichwa vyake ni vidogo na vichache. Pili ukijaribu kuisaga mkononi utaona inapukutika kama majani ya mti yaliyokauka. Lakini nzuri, utachambua kushabu na kubaki na vichwa vilivoshikana na kujaa vizuri. Pia haitakua na miti mingi.
Ukishindwa hapo jaribu kuivuta. Kama ni feki kichwa kitauma na pandol haitasaidia.
Hii njia inafaa kwa ile ganja ambayo haijakatwa katwa. Iliokatwakatwa utakuta unavuta uchafu na mchanganyiko wa vitu vya ajabu tu ndo inapelekea watu kufanya mambo ya kiboya
 
Shikamoo Ndugu Mvutaji Bangi Mbobezi.
 
Asali Feki inajulikana kwa ama kutumia Njiti ya Kiberiti kwa Kuichovya katika Asali na Kuiwasha ambapo ukiona haiwaki jua ni Feki au unaichukua hiyo Asali unaimimina kidogo katika Karatasi na ukiona kwa chini ( nyuma ) ya hiyo Karatasi hakuna Unyevu au hakujaloana jua ni Feki hiyo na mrudishie huyo Muuzaji huku ukimsindikiza bonge la Kibao na ukiweza hata Ngumi pia.

Mnaojua kuigundua Bangi / Bange Feki naomba Msaada wenu tafadhali kwani Mtu kasema ile aliyokuwa akiivuta Bob Marley ndiyo ilikuwa yenyewe ila hizi za Temeke, Ilala na Kinondoni si zenyewe na ni 100% Feki.
Ngoja waje wavuta bangi
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom