mbezi

Mbezi is an administrative ward in the Kinondoni District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 32,641.

View More On Wikipedia.org
  1. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili inayojitegemea (stand alone) maeneo ya Mbezi Beach

    Habari Wakuu, Kama kichwa kinavyosema, nahitaji nyumba ya kupanga inayojitegemea kwenye fensi yaani stand alone maeneo ya Mbezi Beach. ~ Nyumba ya vyumba viwili, sebule na jiko inayojitegemea. ~ Bajeti laki 5 (500,000). ~ Iwe maeneo tulivu Nikipata ambayo haina udalali nitashukuru. Najua...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Basi la Burudani kutoka Korogwe Tanga, lapata ajali Mbezi

    Watu kadhaa wanasadikiwa kupoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa, kufuatia ajali iliyotokea maeneo ya Mbezi Luguluni, ikihusisha Basi la kampuni ya Burudani, lililokuwa likitokeaa mkoani Tanga kuelekea Dar es Salaam, ambapo basi hilo linadaiwa kuwa lilikuwa kwenye mwendokasi, hivyo wakati...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dar: Wananchi wa Mbezi waandamana kushinikiza kuwekewa vivuko vya usalama barabarani, DC aingilia kati

    Kufuatia maandamano ya baadhi ya wananchi wa Kata ya Msigani, Jimbo la Kibamba Wilayani ya Ubungo jijini Dar es Salaam katika eneo la Mbezi Kibanda cha Mkaa, wakiishinikiza serikali kuwajengea kivuko chenye usalama zaidi katika eneo hilo, kutokana na ajali za mara kwa mara, Mkuu wa Wilaya ya...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Stendi ya Magufuli Mbezi Mwisho hakuna huduma ya maji kwenye vyoo na sehemu nyingine siku ya tatu sasa

    Taarifa Jamii Forums hali ni mbaya kwenye Stendi ya Mabasi makubwa iliyopo Mbezi Luis maarufu kama Mbezi Mwisho, hakuna huduma ya maji kwa muda wa siku tatu sasa. Kuanzia juzi Machi 26, 2023 hadi ninavyoandika muda huu asubuhi ya Machi 28, 2023, mamlaka zitusaidie Kwenye vyoo napo mambo si...
  5. marehem x

    JamiiForums Tanzania Stend ya daladala Mbezi Louis ifikiriwe, UBUNGO manispaa amkeni

    Jamani ifike wakati kuwe na mapaparazi wa maeneo nyeti yenye matukio na mazingira hatarishi. Stend ya daladala ilengwe itajwe kama eneo sensitive. Kuna msongamano mkubwa sana wa binadam. Na vyakula mbogana vitoweo vikiuzwa eneo hili ni hatari sana na magonjwa ni rahisi sana kusambazwa jiji zima...
  6. Annie X6

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Stendi ya Daladala Mbezi iangaliwe kwa jicho pana

    Stend imekaa mkao mzuri tatizo kubwa ni management na administration ya stendi. Kwa ufupi stend inamzunguluko mkubwa sana wa binadam naweza kusema movement ni 1000 men and women per minute. Kwa wale ambao tulikuwa na maskani sana pale mtaa wa Kongo Kariakoo. Hapa Mbezi stend speed ni kubwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Natoa siku 14 kwa viongozi wa Tanesco walioshiriki kuninyima umeme mbezi beach!

    Mimi kama "Jicho la Mganga" nafikisha ujumbe huu kutoka kwa Wilfred kwenda kwa viongozi wa Tanesco! Wilfred anasema! Takribani miezi miwili sasa Tanesco wananihangaisha! Uungwana wangu hauna maana kwao! Niliomba umeme pale tanesco tankibovu, kwa kufuata taratibu zote, wakaja kunipimia na...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona hatujatangaziwa Tume ya Uchunguzi Kuungua kwa Al Moustafa Islamic Foundation Mbezi Beach Makonde?

    Endeleeni kudhani wenye Akili hatujui kwanini mmeuchuna wakati siyo Kawaida yenu Kuuchuna katika Matukio kama hata tena likihusisha Taasisi ya Kiimani. Halafu washaurini kama wataendelea kuwa hapo Makonde Wabadilike na kale 'Katabia Kero Kao' kwa Wanafunzi wa Kiume vinginevyo Moto wa Mwenyezi...
  9. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Kiislamu cha Al Mustafa Mbezi Beach Chateketea kwa moto

    Chuo cha Kiislamu cha Al Mustafa kilichopo maeneo ya Mbezi Beach Makonde, Jijini Dar es Salaam kinateketea kwa moto. Chanzo cha Moto huo bado hakijajulikana. ===== UPDATE: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule amesema moto uliounguza Chuo cha AI Mustafa Mbezi Beach Dar es salaam usiku...
  10. L

    JamiiForums Tanzania DAWASA wamepatwa na nini?

    Kwa sasa maji hayana ratiba maalumu ila hapo mwanzo tuliaminishwa kuwa kwa sasa hapata kuwa na crises ya maji. Maeneo mbalimbali ya Mbezi maji ni ya shida sana, Serikali iko kimyaa, kinachoshabgaza hivi serikali za mitaa kazi yake nini kama watu wanateseka na maji wiki 3 bila maji watu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania TANROAD barabara ya Bagamoyo Mbezi Tegeta kwanini mnafyeka majani ya kando ya barabara kwa greda na kuziba mitaro?

    Sijui kama hili limekaa kitaalam sana au kipigaji! Kwa taarifa za Mamlaka ya hali ya hewa! Baada ya wiki mbili kutakuwa na mvua! Ukipita barabara ya bagamoyo kuanzia eneo la mbezi kuelekea tegeta! Yale majani ya pembezoni mwa barabara wanayakwangua na greda! Kama tunavyojua greda husukuma...
  12. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Gari Hiace namba T936 AJU ya ruti ya Mbezi - Boko Mnemela iondolewe barabarani

    Gari, tunatoka mbezi Gari inasukumwa mpaka round about ili iwake, Gari tumefika karibu na kwa Komba imepasuka Tairi. Konda hataki kurudisha nauli Ajali ikitokea tutamtafuta mchawi nani? Kemea ajali
  13. Agrey998

    JamiiForums Tanzania Mgawanyiko wa Barabara ya Mbezi mwisho ni moja ya alama kuu za TANROADS

    Rip kwa Mzee wetu Magufuli na engineer Mfugale leo nichukue fursa hii kuwapongeza watu hawa pamoja na TANROADS kwa kazi bora ya pale barabara ya Mbezi mwisho. Nilikuwa napita pale kwa Mishe zangu tu tena maramoja moja sana, nikaja kuona uzi wa mtu huku akitabiri kuwa uwepo wa stand ile...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Hongereni TANROADS Dar kwa kudhibiti wafanyabiashara ndani ya Stand

  15. D

    JamiiForums Tanzania Stand ya daladala Mbezi Louis imegeuzwa soko?

    Ni jambo la kusikitisha sana Stand ya daladala Mbezi luis kugeuzwa soko, hasa nyakati za Jioni kuanzia saa 12 Jion na kuendelea. Ukipita stand ya Mbezi luis kuanzia barabara ya kwenda Kinyerezi kunakuwa na foleni kubwa sana daldala haziingii ndani ya stand zinapaki na kushusha abiria njiani kwa...
  16. Faana

    JamiiForums Tanzania Sasa Ndiyo Nimemuelewa Aliyekosoa Ujenzi wa Madaraja ya Juu Mbezi

    Awali sikuelewa changamoto zilizopo kwenye madaraja ya juu mbezi, jana jioni nami nilikuwa miongoni mwa walionasa kwenye foleni Mbezi kutokana na wingi wa madari yanayotokea stand ya daladala na yale yatokayo Kimara kuvuka upande wa Magufuli Terminal...
  17. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kusoma Green Acres ya Mbezi tujikumbushe kidogo

    Je, bossies nani alikutana na vurugumai ya Buju? Yule headmaster anayevuta bangi alikuwa anaitwa nani? ~ Je, mshana na wenzie wapo? ~ Nani alipigwa mijeledi na yule Jamaa Buju?? ~ Je, mnamkumbuka yule mtoto wake Jackline?
  18. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi Route ya Mbezi Louis abiria wapo serious sana

    .
  19. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbezi Msakuzi

    Ukubwa wa kiwanja sqm 400 (20 kwa 20) Kinauzwa Tshs. milioni nane 📞 +255 68 719 1472 WhatsApp +255 788 630 203
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Daladala Mbezi Mwisho ni chafu sana, Mbunge wetu hawezi kujua hilo ana mambo mengi

    Jana nilifuatilia mjadala ulioanzishwa na JF kuhusu maoni ya sisi Wananchi wa kawaida kwenda kwa viongozi wetu hasa Wabunge, kwanza niwapaongeze sana kwa hicho walichokifanya na ninawashauri wakiendeleza kwa kuwa kero zipo nyingi. Binafsi naamini wanasiasa ni watu wanaofuata upepo, kuna muda...
Back
Top Bottom