mbezi

Mbezi is an administrative ward in the Kinondoni District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 32,641.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wakazi Kimara, Mbezi ‘walia’ kutohesabiwa sensa

    Zikiwa zimesalia siku chache kuhitimishwa kwa sensa ya watu na makazi ilioanza Agosti 23, 2022, wakazi wa baadhi ya mitaa iliyopo Kimara na Mbezi katika Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam wamedai kutohesabiwa hadi sasa. Hali hiyo imewafanya baadhi yao kudai kukata tamaa ya kushiriki katika...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Danguro jipya laibuka Mbezi Mwisho, wapangaji wahamishwa kupisha biashara

    Wakuu Kwa sasa hili jiji la Dar kila kona hali imeharibika, biashara ya ukahaba imekithiri kwelikweli mpaka kwenye maeneo ambayo hayakufikirika kama siku moja kunaweza kuwa na danguro Madanguro yanaota kama uyoga kila siku na wenye mamlaka wamekaa kimya as if haya madanguro hayaonekani, hii ni...
  3. agent 89

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Beach (Stand alone)

    Ni standalone 4bedrooms living room dinning kitchen area size 800sqm Asking price 280mil note...viewing charges is applied
  4. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mbweni inapendelewa ujenzi wa barabara, Mbezi kwa miaka nenda rudi barabara hazijengwi

    Majuzi nimepita Mbweni nikashangaa kabisa. Barabara nyingi zilizokuwa hazipitiki sasa ni lami tupu. Najua huu ni mkakati wa viongozi wengi kujipendelea maana wengi wamejenga huko. Nimepata tetesi kuwa hata kwa Katibu Mkuu Kiongozi, watu wameamriwa barabara iendayo kwake iwekwe lami. Tofauti...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbezi wanaumia sana wakikumbuka ahadi ya Hayati Magufuli

    Siku Hayati John Pombe Joseph Magufuli anazindua Stand kuu ya Mabasi iliyopo Mbezi Louis katika mambo aliyowaahidi wakazi wa Mbezi na Kibamba ni pamoja na Kujenga barabara za Mpiji na Makabe kwa kiwango cha lami. Siku hiyo aliongea kwa kumaanisha kuwa utekelezaji wake ungeanza mapema tu...
  6. ommytk

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Morogoro ina ulinzi hali ya juu. Leo nimetoka Posta mpaka Mbezi tumesimamishwa na trafiki mara 8

    Naomba kutoa pongezi kwa Jeshi la Polisi kwa ukaguzi na usimamiaji mzuri wa barabara zetu mimi leo nipo kwa daladala toka Posta mpaka Mbezi tumesimamishwa karibu sehemu 8 na askari ni wengi safi kabisa hii nimeikubali sana.
  7. Lole Gwakisa

    JamiiForums Tanzania Mbunge Gwajima, Waziri Nape na Naibu Waziri Ridhiwani, wananchi wa Mbezi Jogoo tunasema asanteni!

    Mbunge wetu Kawe Nd Gwajima sasa anafanya kazi ya wananchi. Kwa muda mrefu sana wananchi wa eneo la Mbezi Jogoo, nyuma ya viwanda vya COTEX, tume,uwa tukisumbuliwa na matapeli kwa miaka mingi. Watu wako eneo hili toka miaka ya 70 au 80, mimi nipo hapo toka mwanzoni mwa miaka ya 90. Eneo letu ni...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mbezi mwisho-Bunju via Mbezi High School, lami inabaki kuwa kimini

    Nimeshangaa sana hii barabara kukosa tena kwenye bajeti ya mwaka ujao. Sasa lami itakuwa ikiyatoa mabasi stand yakapita mbezi high school kidogo lami inaishia hapo. Kwa kweli ni maajabu sana. Hivi kwa ubusy wa ile barabara kweli unaweza kuiacha kwa miaka kumi yote??! Kwa kweli nimeshangaa na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hawa mbuzi wanaozagaa maeneo ya Mbezi Tangibovu ni wa Serikali?

    JF, Kwa kweli nimekuwa nikipata shida sana kuona mbuzi Hawa wanazagaa barabarani hovyo wakati Sheria za kutunza wanyama zipo wazi. Je wale ni wa Serikali au? Kwasababu najua kabisa wangekuwa wa mtu binafsi wangeshakamatwa zamani na kutozwa faini. Nani au Mamlaka gani ya Serikali inawajibika...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka husika hilo Jengo lililobomolewa mwaka 2014 hapo Makonde jirani na Shekinah Garden linaachwa ili lipendezeshe Jiji na Mbezi Beach au?

    Haiingii Akilini nililishuhudia likibomolewa mwaka 2014 cha Kushangaza hadi leo mwaka 2022 lipo vile vile na kama Mwenye Jengo kaamua Kulisusia au Mamlaka nayo imeamua Kulisusia. Tafadhali Mamlaka husika ama mumwambie mwenye Jengo alijenge upya au kama sasa lipo chini ya Mamlaka basi...
  11. J Mbungi

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja safi kabisa- (Mbezi - Msumi mwisho) Milioni10 tu!

    Karibu wapendwa tujenge taifa pamoja. Tuna viwanja vizuri Sana Msumi mwisho. Vimekaa vizuri Kama unavyoona kwenye picha. BEI yake ni rafiki kiwanja Cha 20X20 ni milion 10..ILA maongezi yapo( Desturi yetu watanzania lazima tuongee na tuelewane.) Kwa wenye kuhitaji mawasiliano - Direct...
  12. J Mbungi

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plots zinauzwa Mbezi (1.5KM) Kutoka Standing ya Magufuli @45'000/ per sqm

    Plots nzuri kabisa Mbezi mwisho (1.5Km ) Kutoka KITUO kikuuu Cha mabasi Cha Magufuli (Magufuli bus Stand). Karibu tujenge taifa pamoja. Mawasiliano +255784355775 - Mr MBUNGI.
  13. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Kuna uhaba wa pombe aina ya valuer maeneo ya Mbezi na Kimara

    Wakuu, ni week sasa kila liquor store ninayoenda hapa maeneo ya Mbezi na Kimara kutafuta valuer naambiwa hakuna. Meneja mauzo wa kampuni husika jitafakari sana kama unatosha kwenye hiyo nafasi. Asante.
  14. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone 6s gb 128, iko Mbezi

    Iphone 6s storage gb 128 battery health 100% Support 4G LTE ina kreki kidogo kwenye upande wa camera ya mbele, haina madhara bei, 320,000 mbezi kimara, Dar. 0713096076 DEADLINE: 5.3.2022 USIPIGE SIMU KUULIZIA BAADA YA HIO TAREHE
  15. kwenda21

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi anayejenga Barabara ya Mikocheni kupitia Shoppers Plaza hadi Mbezi

    Jamani madreva mnaopita njia hiyo, nahisi huyu mkandarasi anatengeza hiyo Barabara hawazi sawa sawa muwe makini. Kachimba mashimo kila mahali, leo ni siku karibu ya tano napita hapo, yako vilevile. Sasa naomba muwe makini maana, mnaweza mkafanya ajari, najua lengo lake ni kuifanyia Barabara...
  16. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Usiombe kukutana na Nsia Swai

    Nimekutana nae hapa Mbezi Makonde EB Restaurant. Jamani unaweza kufa au ukauza ukoo wote!!! Hivi anapatikana wapi?
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nyumba yangu iliyo Mbezi Lous ina changamoto ya nyufa

    Wakuu nyumba yangu ina changamoto ya cracks za mara kwa mara nyingine zinakuwa perpendicular nyingi diagonal. Udongo wa hapa ni clay (mfinyanzi). Nataka kushusha ukuta wote naomba ushauri wenu wataalamu jinsi ya kutibu tatizo hili.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kuna uhaba mkubwa sana wa Serengeti lager maeneo ya Kimara na Mbezi Luis

    Wakuu Ni wiki ya pili sasa kila nikitaka kupiga serengeti lager kwenye bar nyingi za Kimara na Mbezi Luisi naambiwa hamna. Wahusika jitafakarini.
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa UDSM mliopata 'Sapu' acheni kutupigia 'Kelele' zenu muwapo katika 'Dala Dala' za Ubungo SIMU 2000, Mbezi Kimara na za Makumbusho

    Christmas nzima hadi mwaka mpya mlikuwa mnapuyanga tu kwa Kula Bata Juliana na Beach Kidimbwi huku mkisahau kuwa mna Mitihani na sasa mmepata 'Misapu' yenu kila mkipanda Dala Dala Kazi ni Kuwalaumu tu Wahadhiri Wenu na Kusingizia kuwa Masomo ni magumu. Asanteni sana Wahadhiri wa Somo la Uchumi...
  20. Madihani

    JamiiForums Tanzania Mbezi Louis: Mabadiliko makubwa yaliyotokea ndani miezi michache baada kifo cha Dkt. Magufuli

    Habari za muda huu JamiiForums. Picha zinawekwa hapa kwahio hakuna haja ya maneno mengi. 1.Mbezi Louis ya Mwendazake (Dictatorial Regime). 2. Mbezi Louis ya Samia Suluhu.
Back
Top Bottom