Mdada wa kuuza duka na usafi anahitajika Kibamba Chama

The bump

JF-Expert Member
Nov 22, 2019
1,136
1,952
Majukumu yako

Kuuza bidhaa dukani
Usafi wa ofisi wakati wote
Kuendelea na Mpesa na Tigo Pesa

Mshahara
200,000 kwa mwezi

Ofisi itatoa Mlo wa mchana
Ofisi itatoa malazi (sehemu ya kuishi) kwa anaetokea Mkoani Wakati wote atakapokuwa mfanyakazi.

ELIMU
Uwe umefika Chuo chochote
Usikie na kuelewa kingereza (hata usipoweza ongea)

Wadhamini

W
awili wenye makazi ya kudumu

MUDA WA KAZI

SAA 1 asubuhi mpaka 4 Usiku

Mawasiliano (PM)
 
Majukumu yako

Kuuza bidhaa dukani
Usafi wa ofisi wakati wote
Kuendelea na Mpesa na Tigo Pesa

Mshahara
200,000 kwa mwezi

Ofisi itatoa Mlo wa mchana
Ofisi itatoa malazi (sehemu ya kuishi) kwa anaetokea Mkoani Wakati wote atakapokuwa mfanyakazi.

ELIMU
Uwe umefika Chuo chochote
Usikie na kuelewa kingereza (hata usipoweza ongea)

Wadhamini

W
awili wenye makazi ya kudumu

MUDA WA KAZI

SAA 1 asubuhi mpaka 4 Usiku

Mawasiliano (PM)
Mwenye certificate ya Chuo from O level na form six yupi zaidi?
 
Back
Top Bottom