mbezi

Mbezi is an administrative ward in the Kinondoni District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 32,641.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Dar: Basi la shule la St. Florence Academy (hiace) lapata ajali maeneo ya Interchick Mbezi Beach

    Ajali hii imetokea asubuhi hii, basi hilo likionekana kutumbukia kwenye mtaro likiwa na wanafunzi kama 10 hivi. Kwa kuwaangilia watoto hawaonekani kuwa wameumia sana, zaidi ya michubuko na hofu kwa kilichotokea. Basi jingine kubwa la shue hiyolilipita eneo hilo na kuwachukua watoto hao...
  2. AKILI TATU

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna Gym maeneo ya Mbezi Mwisho, Malamba mpaka Kinyerezi

    Wandugu kwema, Naomba kujua kwa maeneo tajwa hapo juu..ni wapi naweza kupata Gym. Nimeulizia sana na kutafuta kwenye mitandao ya kijamii sijaona. Mwenye kujua anisaidie location na ikiwezekana namba za simu.
  3. kamandawasua

    JamiiForums Tanzania Natafuta Chumba master (100k) Mbezi Beach au Goba

    Habari JF, Natafuta chumba chakupangisha maeneo ya Mbezi Beach (Mbuyuni, Africana, Makonde, Shule, Kogoo, Tank Bovu, Massana) au isipite Goba Kayuni ukienda na njia ya Goba Chumba kiwe ni kikubwa na Master. Mwenye nyumba aisiwe kwenye nyumba moja. Wapangaji wasiwe wengi (8+). Kuwe na uzio/fensi...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwa mara nyingine tena Kituo cha Daladala Mwisho Mbezi Luis hakuna mwanga, taa zimezima usiku

    Kama kawaida Kituo cha Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho, leo tena Agosti 11, 2023 hakuna mwanga, giza limetawala na kusababisha usumbufu mkubwa wa watumiaji. Hii sio mara ya kwanza wala ya pili kwa hali hii kutolea katika Kituo hiki kilichopo karibu na Stendi Kuu ya Mabasi ya...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Biashara kufanyika karibu kabisa na Barabara, Mbezi Mwisho karibu na Kituo cha Daladala ni hatari kwa usalama

    Hapa Mbezi Luis Stendi barabara ya kwenda Kinyerezi ilivyojaa msongamano wa machinga na bidhaa zao ambazo ziko kando ya barabara na kusababisha barabara kuzidi kuwa finyu licha ya wembamba wake tangu kutengenezwa, siku dereva yoyote akishindwa kulimudu gari likaenda pembeni litaua watu wengi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso na Mkurugenzi Mkuu DAWASCO tusaidieni wakazi wa Mbezi

    Waziri wa Maji pamoja na Mkurugenzi mkuu wa DAWASCO tunaomba mtukwamue sisi wakazi wa Mbezi hasa Mpiji, Msumi na Msakuzi ambao DAWASCO na wafanyabiashara wa magari ya maji wamekuwa wanatupa mateso sana. Ni dhahiri kutokana na watendaji wa DAWASCO na wafanyabiashara inaonekana hawataki kabisa...
  7. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam haya ndiyo yatakayokutia doa hapa Mbezi Luis Stend ya daladala

    Niende kwenye hoja Moja Kwa moja. Hii stend itakuja kusababisha mauaji na viongoz kuanza kujitetea kwa kuleta sababu na matetezi. Hizi ngaz kiunganishi cha vituo viwili vya daladala. Watakuja kufa watu. Mungu aepushie mbali. Mh charamila mkuu wetu wa DSM una viongozi wasiojali utu wa watu...
  8. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Dar - Mbezi Msuguri; Nauza Friji kubwa na ya kisasa (brand samsung) na SOFA nzuri sana (Leather sofa)

    Hello ladies and gentlemen hizi hapa mali safi kabisa Friji iko mwake mwake kama unavyoiona.. Bei 750,000 Tuwasiliane Mbezi kwa Msuguri
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Giza limetawala Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho, abiria wanategemea mwanga wa taa za gari

    Taa za Kituo cha Daladala cha Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho haziwaki na hali ya Giza imetawala eneo hilo na hivyo kuhatarisha Usalama wa mali na abiria wenyewe. Mpishano wa magari unaendelea huku purukushani za watu nazo zikiendelea hivyohivyo. Kwa ninavyowaona vijana ambao...
  10. The Boss

    JamiiForums Tanzania Mbezi Beach wamekosaje lami? Mbona Mbweni, Manzese na Yombo kuna lami?

    Kuna kitu kinanishangaza Sana...ukienda Manzese Hadi vichochoroni kuna lami...ukienda Yombo kuna lami mitaani tu huko Buza Hadi vibarazani kuna lami... Ukifika Mbezi Beach ukishatoka Bagamoyo road Tu ni vumbi juu ya vumbi...majumba makali ...eneo planned lakini barabara vumbi....wakati ukienda...
  11. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Hotel ipi dar nzuri iliyoko mbezi beach kwa kufanya tafrija ndogo

    Ni hotel ipi dar nzuri ambayo unaweza fanya tafrija ya watu kama 30 hivi ambayo ipo maeneo ya mbezi beach
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua gym maeneo ya Africana, Mbezi Beach

    Naombeni mnisaidie wapi nitapata GYM maeneo ya Mbezi Africana. Ndipo ninapoishi. Naona uzito unaongezeka na si nzuri sana kiafya. Pia sipendi kuwa na mwili mayai mayai. Sasa maeneo ya huku sijajua wapi naweza pata Gym nianze kufanya mazoezi. Na kama kuna Kampani pia si mbaya. Mimi naishi Mbezi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Barara ya Mbezi - Msumi kila mwaka kujengwa Km 1 - Meneja TANROAD

    Nimeangalia maelezo ya Meneja wa TANROAD mkoa -DSM ndugu Haruon Senkuku alipohojiwa na muandishi wa habari kuhusu malalamiko ya wakazi wa maeneo ya Mbezi-Msumi wanaolalamia TANROAD kutokuijenga barabara na wakihoji kuhusu mkandarasi anayejenga kakipande kasikofika hata km 1 ambapo anaifanya...
  14. father-xmas

    JamiiForums Tanzania Nichague ipi Kati ya nyumba iliyoko Mbezi Maramba mawili na iliyoko Kijichi Mgeni Nani

    Heshima kwenu wakuu. Kuna jamaa yangu kaniomba kiasi fulani cha fedha kwa malipo ya moja ya nyumba zake ambazo moja iko Mgeni Nani na nyingine iko Mbezi Maramba Mawili.Zote ni nzuri za kisasa na zina ukubwa sawa. Sina ufahamu mzuri na vitongoji vya jiji la Dar hivyo nimeona nije kwenu wakuu...
  15. The bump

    JamiiForums Tanzania Mdada wa kuuza duka na usafi anahitajika Kibamba Chama

    Majukumu yako Kuuza bidhaa dukani Usafi wa ofisi wakati wote Kuendelea na Mpesa na Tigo Pesa Mshahara 200,000 kwa mwezi Ofisi itatoa Mlo wa mchana Ofisi itatoa malazi (sehemu ya kuishi) kwa anaetokea Mkoani Wakati wote atakapokuwa mfanyakazi. ELIMU Uwe umefika Chuo chochote Usikie na kuelewa...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Hatimaye bei ya choo cha Mbezi Luis yashuka kutoka 500 mpaka 200

    Nianze kwa kutoa pongezi kwa JamiiForums.com kutupazia sauti kuhusu gharama kubwa iliyokuwa ikitozwa kupata huduma ya choo Mbezi stendi ya daladala, hatimaye bei imeshuka na kuwa sh. 200. Bei ya choo ilikuwa kero kubwa sana hasa kwa watu wenye shughuli zao maeneo ya stendi, bei hiyo...
  17. ZVI ZAMIR

    JamiiForums Tanzania Wanatani wa Yanga mitaa ya Mbezi kwa yusuph washerekea ubingwa kwa namna yake

    kundi la vijana wakike kwa wakiume wakiwa na furaha sana, wakiimba ule wimbo pendwa wa leo ndo leo huku wakiendelea na maandalizi ya Mbuzi watatu pamoja na vyakula vingine, pamoja ya hayo wakiwa ndani ya mavazi (sio wote)ya kanzu wanasherekea ubingwa wa USM. Vigoma pia vinaandaliwa (kuanzia...
  18. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa was Dar es Salaam tuma watu wako Mbezi Louis

    Tahadhali ubungo stendi ya daladala si salama. Stend ya daladala njia ya ngazi inayounganisha stend yq juu na chini sio salama. Sio usiku mchana Wala jioni watu ni wengi sana. Lete watu wenu wananusalama wasaidie yaani msongamano madhara makubwa yatatokea. Wizi. Magonjwa. KERO. Nktafadhalini
  19. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAHADHARI: Afisa TRA ahatarisha maisha ya wakazi Mbezi Juu Kwa Sanya kwa kujenga ghorofa 4 bila kibali, kwenye msingi dhaifu wa nyumba ya chini

    UPDATE: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ametembelea Mtaa wa Nia Njema Mei 23, 2023, baada ya kusoma post hii ya JF DC aliambatana na Mhandisi wa Wilaya na maafisa wengine. Baada ya kukagua ujenzi wa gorofa hilo, wamebaini kuwa linajengwa bila kibali cha manispaa na chini ya...
  20. Kabwelavoice

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Stendi ya Daladala ya Mbezi Mwisho inanuka mkojo tupu

    Habari Wadau, Ukweli hii ni kero ambayo mwisho wa siku itakuja kuzaa magonjwa ya mlipuko. Stendi ya Mbezi mwisho ya daladala ambayo hata magari ya Mwendokasi yanapaki pale, kuna kero ya watu kukojoa hovyo ndani ya stendi huku walinzi na migambo wa jiji wakifukuzana na wamachinga tu lakini...
Back
Top Bottom