Nichague ipi Kati ya nyumba iliyoko Mbezi Maramba mawili na iliyoko Kijichi Mgeni Nani

father-xmas

JF-Expert Member
Mar 23, 2010
835
643
Heshima kwenu wakuu.

Kuna jamaa yangu kaniomba kiasi fulani cha fedha kwa malipo ya moja ya nyumba zake ambazo moja iko Mgeni Nani na nyingine iko Mbezi Maramba Mawili.Zote ni nzuri za kisasa na zina ukubwa sawa.

Sina ufahamu mzuri na vitongoji vya jiji la Dar hivyo nimeona nije kwenu wakuu mnisaidie kuchagua kati ya hizo Location mbili ni ipi ina thamani zaidi na ipi italeta kodi nzuri zaidi.

Natanguliza shukrani wakuu
 
Tayari nina nyumba ya makazi.
Hiyo itakua yakupangisha.
Nataka nijue kati ya Maramba Mawili na Mgeni nani wapi nitapata kodi kubwa zaidi au siku nikiamua kupauza wapi patanipa hela nzuri zaidi
Nenda mbezi maramba mawili.mgeninani ni mbagala,hata kodi inaweza kuwa chini compared na mbezi..thamani ya mgeninani haifikii mbezi
 
Shukrani kwa ushauri mkuu.

Basi nikadhani ni mbagala ya Kijichi kule ushuani
Hamna kitu..wanga vibaka waswahili huko.kuja mjini hadi uchimbe dawa
Mbezi hapo mwendokasi dakika moja upo mjini..
Kila ardhi ina potential zake.huwezi fananisha kithamani ardhi zikawa sawa.
Buza hailingani na mbezi
Goba hailingani na kitunda
Kivule hailingani na sinza..
 
Back
Top Bottom