Wapi kuna Gym maeneo ya Mbezi Mwisho, Malamba mpaka Kinyerezi

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,658
2,804
Wandugu kwema,

Naomba kujua kwa maeneo tajwa hapo juu..ni wapi naweza kupata Gym. Nimeulizia sana na kutafuta kwenye mitandao ya kijamii sijaona.

Mwenye kujua anisaidie location na ikiwezekana namba za simu.
 
Malamba maeneo ya msikitini Kuna gyms sehem mbili pale ukifika pale msikitini ulizia bodaboda gym wap watakuonesha
 
Wandugu kwema,

Naomba kujua kwa maeneo tajwa hapo juu..ni wapi naweza kupata Gym. Nimeulizia sana na kutafuta kwenye mitandao ya kijamii sijaona.

Mwenye kujua anisaidie location na ikiwezekana namba za simu.
Uliza bukhede hospital nyuma yake ipo ila ya kawaida sana , mbezi kilipokuwa kituo Cha Kwa Yusuf ipo kwenye ghorofa Moja Kwa juu

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom