James Mbatia afanya ziara mkoani Mbeya, apokelewa na Mkuu wa Mkoa na kuhakikishiwa ulinzi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,691
218,207
TAFAKAURI_  1.Jana Mh James Mbatia alikuwa Ikulu hatujui amezungumza nini na Rai ( 426 X 640 ).jpg

Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mh James Mbatia amefika Mkoani Mbeya kwa ziara ya kichama na Kupokelewa na RC wa Mkoa huo huku akiahidiwa ulinzi.

Katika ziara yake hiyo ya kichama atafika Busokelo ambako atapokea wanachama wapya wa chama hicho kutoka Chadema.

Ziara hii imekuja baada ya jana kufika ikulu kuteta na Mh. Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM.
 
Back
Top Bottom