fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,065
Nimewaza na kuona ni vema tumuombe RAIS wetu wa JMT, pesa kwa ajili ya ujenzi wa viwanja vya michezo kwa majiji ya Mwanza, Arusha, Tanga na Mbeya. Najua DODOMA tulipata ofa za wahisani.
Naomba na kushauri hivyo maana namna ya kukuza michezo kwa ngazi za kimataifa ni kuwa na miundo mbinu mwafaka na toshelezi kwa mchezo husika.
Kwa kweli Majiji tajwa hapo juu yanahitaji viwanja vya kisasa vya mpira. Hii ikiwa sambamba na kujindaa ku host AFCON, CHAN na WORL CUPS under 20, 17, 23 au ya WAKUBWA KABISAA.
TUNAOMBA Kwa unyenyekevu mkubwa kama MKAPA alivyofanya, JK alikosea kidogo angejenga hata kimoja pia, basi wewe vile umetosha kwa VYOTE MBOGA NA UGALI, unakusanya kodi mara mbili au tatu zaidi ya JK, basi tupe viwanja vya michezo japo 2 katika majiji TAJWA. la hali ni nzuri tujengee vyote at par.
Natanguliza shukurani. Nakumbuka Mkapa alisema ili cost aroyund 60Bilion, you can set aside 150 Bilions, Mara mbili kila mwaka wa fedha tukapata viwanja kama TANO ama NNE due to inflations. Binafsi SALUTE to YOU RAIS JPM