Mwalimu Mwakasege yupo Mbeya kwa Huduma ya kiroho (MANA)

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Mwalimu Christopher Mwakasege yupo jijini mbeya toka tarehe 15/10/2020 akifundisha neno la Mungu lenye kichwa cha habari "Imarisha imani yako kuelekea msimu mpya"
Binafsi nimebarikiwa sana

Ungana nae kupitia upendo TV kwa azamtv na startime decorder ,mbarikiwe wana jamii forum.

Mytake

Hivi kichwa cha somo hakihusiani na uchaguzi?
 
Huduma ya "ualimu" ni huduma inayopaswa kuwa chini ya uangalizi wa mchungaji. Sasa huyu mwalimu anayezunguka huko na huko wala hana kanisa ananishangaza sana. Anashangaza kwasababu anajaribu kuifanya huduma ya ualimu ni huduma inayojetegemea, which is spiritually impractical.

Kingine, kazi ya mwalimu ni kukuza wakristo ambao tayari wameshamjua Yesu kwa lengo la kuwakamilisha (Waefeso 4:12). Huduma hii haiwalengi mataifa kama hduma ya uinjilisti. Lakini mwalimu huyu mikutano yake wanahudhuria wazinzi, walevi, wala rushwa, vibaka eti kuja kusikiliza neno la Mungu. Halafu baada ya hapo wala hajali kama wanaabudu wapi.
 
Sidhani Kama haya mafundisho huwa yanawasaidia watu. Wanavyozidi kusikiliza ndivyo wanavyozidi kupigika, kuwa wambeya zaidi, wezi, wahuni, wakonjwa etc.

Kuna haja ya kuwa na mjadara wa kitaifa kuona Kama dini zetu zinatusaidia au lah
 
Mbona povuu?
Yesu alikuwa mwalimu wa dini ya kiyahudi yaani "Rabi" je Yesu alifanya kazi chini ya mchungaji?
Je Yesu hakuwafundisha wasioamini neno la injili?

Mwakasege ni mwalimu na anafundisha neno la Mungu sio kwamba anahubiri wala nini na neno la Mungu lipo kwa mataifa yote.

Kama umekereka na title sema
 
Unamlinganisha Yesu na Mwakasege? Poleee

Wakati wa huduma ya Yesu kanisa lilikikuwa halijaanza. Baada ya kupaa, ndipo kanisa likaanza chini ya Roho Mtakatifu. Kanisa la Kristo lazima liwe na utaratibu wa kihuduma na kiuongoza. Hduma zote 5 lazima zilelelewe chini ya uangalizi wa mchungaji.

Huyo Mwakasege ni mpigaji tu. Anafundisha mafundisho ya ajabu ajabu yaliyojaa upotevu mwingi. Mara kumkomboa mzaliwa wa kwanza nk. Mafundisho ambayo kimsingi hata kwenye Biblia hayapo, ila yeye anayatunga tu. Na hii ndiyo sababu hana mchungaji anayemuongoza. Hakuna mchungaji anayejua Biblia atakayesapoti upotovu wa kiwango hiki.
 
Acha uongo basi "anafundisha mafundisho yasiokuepo kwenye bibilia, anatunga tunga tu' kwahiyo kwenye mikutano yake hasomi toka kwenye vitabu vya bibilia?
Au ulitaka awe anatoa story za watu kwenye bible as if he tought Sunday schools students?
 
Of course, anasoma kwenye Biblia lakini anatoa tafsiri tofauti na ile ya Roho Mtakatifu. Na in fact hiyo ndiyo sifa kubwa ya walimu wa uongo, yaani kujifanya wanatumia Biblia kwa lengo la kusapoti tafsiri zao binafsi.
 
anatoa tafsiri tofauti na ya roho mtakatifu? Wewe unamjua roho mtakatifu? na unajua anafundisha nini??, Kwanini unataka kuaminisha watu fikra zako juu ya roho mtakatifu ziwe kweli?

You are so negative, kweli airport waliona mbali sana, nchi haiwezi kuwa na Flight attendant wa ovyo na mwenye negativity namna hii....

Hate or get inspired
Of course, anasoma kwenye Biblia lakini anatoa tafsiri tofauti na ile ya Roho Mtakatifu. Na in fact hiyo ndiyo sifa kubwa ya walimu wa uongo, yaani kujifanya wanatumia Biblia kwa lengo la kusapoti tafsiri zao binafsi.
 
Of course, anasoma kwenye Biblia lakini anatoa tafsiri tofauti na ile ya Roho Mtakatifu. Na in fact hiyo ndiyo sifa kubwa ya walimu wa uongo, yaani kujifanya wanatumia Biblia kwa lengo la kusapoti tafsiri zao binafsi.
Hata wayahudi waliona Paulo anafundisha kinyume nawao

Tafsiri sio lazima zifanane na fikra yako
 
Unamlinganisha Yesu na Mwakasege? Poleee

Wakati wa huduma ya Yesu kanisa lilikikuwa halijaanza. Baada ya kupaa, ndipo kanisa likaanza chini ya Roho Mtakatifu. Kanisa la Kristo lazima liwe na utaratibu wa kihuduma na kiuongoza. Hduma zote 5 lazima zilelelewe chini ya uangalizi wa mchungaji.

Huyo Mwakasege ni mpigaji tu. Anafundisha mafundisho ya ajabu ajabu yaliyojaa upotevu mwingi. Mara kumkomboa mzaliwa wa kwanza nk. Mafundisho ambayo kimsingi hata kwenye Biblia hayapo, ila yeye anayatunga tu. Na hii ndiyo sababu hana mchungaji anayemuongoza. Hakuna mchungaji anayejua Biblia atakayesapoti upotovu wa kiwango hiki.

Kwahiyo kanisa halijaanzishwa na yesu?
 
Huduma ya "ualimu" ni huduma inayopaswa kuwa chini ya uangalizi wa mchungaji. Sasa huyu mwalimu anayezunguka huko na huko wala hana kanisa ananishangaza sana. Anashangaza kwasababu anajaribu kuifanya huduma ya ualimu ni huduma inayojetegemea, which is spiritually impractical.

Kingine, kazi ya mwalimu ni kukuza wakristo ambao tayari wameshamjua Yesu kwa lengo la kuwakamilisha (Waefeso 4:12). Huduma hii haiwalengi mataifa kama hduma ya uinjilisti. Lakini mwalimu huyu mikutano yake wanahudhuria wazinzi, walevi, wala rushwa, vibaka eti kuja kusikiliza neno la Mungu. Halafu baada ya hapo wala hajali kama wanaabudu wapi.
Christopher Mwakasege ni Mlutheli, acha gubu dada
 
Sidhani Kama haya mafundisho huwa yanawasaidia watu. Wanavyozidi kusikiliza ndivyo wanavyozidi kupigika, kuwa wambeya zaidi, wezi, wahuni, wakonjwa etc.

Kuna haja ya kuwa na mjadara wa kitaifa kuona Kama dini zetu zinatusaidia au lah
Kazi ya dini ni kuisaidia roho yako siyo mwili wako. Mwili husaidiwa na maarifa ya kielimu, rasmi na ile isiyo rasmi
 
Dada Jane Lowassa sina hakika Kama wewe unaweza au umekidhi vigezo vya kumkosoa mwakasege.

Alienza huduma alio nayo mpaka Sasa tokea mwanzoni wa miaka 80, yawezakua ulikua mchanga sana na pengine hata kuzaliwa huwenda ilikua bado.

Zimekuwapo huduma nyingi zilizoanza mbele yake sana na nyingine zimeanza juzi juzi tu lakini zimekwisha kufa kitambo sana.

Sina hakika Kama wewe unazifahamu habari za Mungu kuliko wote ambao wameitika ya kwamba huduma ya mwakasege iko chini ya uongozi wa Mungu.

Tuseme tuu hautoshi kumkosoa ndugu yangu labda uwe haumaanishi.
 
You are so uninformed regarding spiritual matters

Ukamilifu wa huduma haupimwi kwa muda mrefu kiasi gani huduma imekuwepo, bali kwa kiasi gani huduma inatangaza neno halisi la Yesu.

Biblia kwenye 1Yoh 4:1 inatukumbusha kuzijaribu roho kama kweli zimetoka kwa Mungu, and the effective way to do this ni kupima kinachohubiri under the microscope of the Holy Spirit.

Sasa angalia mafundisho ya Mwakasege yalivyo mapotovu. Anahubiri juu ya kutafsiri ndoto, kukomboa mzaliwa wa kwanza, mara utasikia kukomboa ardhi. Yaani vitu vya ajabu ajabu.
 
Back
Top Bottom