Huyu bwana nabii anaitwa david Stefano Mpanji ana unguruma sana huko Mbeya na anapigwa sana vita na watumishi wengi wa mungu huku na yeye akiwa ni mrusha madongo mzuri kwa wenzake.
Kanisa lake linaitwa GMCL pia ana radio ambayo pia inaitwa GMCL ambako huko ndio hubwabwaja sana na si kumhubiri...
Kwa wanaofahamu lengo langu nataka ninunue gunia za mchele kutoka Mbeya kuja Dar es salaam kwa ajili ya biashara.
Nataka nifahamu bei ya usafirishaji.
Na pia nifahamu sehemu nitakayopata magari ya kusafirishia.
Na pia nataka nijue vibali vya kuwa navyo ili nisisumbuliwe na bei zake zote.
Na...
Habari
Husika na kichwa cha habari hapo juu, wadau wa kusafiri tushirikishane kampun gani ya basi zuri, either luxury au semi luxury ya kutoka Dodoma kwenda Mbeya.
Asante.
Bado haijafahamika kisa cha Mh Chalamila kuanza kujieleza kwa kiwango kikubwa kiasi hiki , huku akiwa hajaulizwa na mtu yeyote .
Je anasukumwa na hofu ya upepo mpya unaovuma ?
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia Watu wanne kwa tuhuma za kufurahia kifo cha hayati John Magufuli kwa kupika supu na kununua ndoo ya lita 20 ya pombe ya kienyeji ya Ulanzi.
Pia soma > Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema Waziri Mkuu, Majaliwa anaanza ziara ya siku mbili mkoani Mbeya.
Akiwa mkoani Mbeya Mhe. Majaliwa atafungua Jengo la Mama na Mtoto jijini Mbeya, atafungua hospitali iliyoahidiwa na Rais Magufuli wakati wa kampeni wilayani Rungwe na atafungua kituo...
Wananchi wa kata ya Isyese sokoni katika mkoa wa Mbeya wamekumbwa na taharuki baada ya sanduku lenye chatu mkubwa kupatikana katika eneo la wazi.
Chatu huyo amechukuliwa na na maafisa wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa ajili ya kuhifadhiwa.
Waziri wa Afya Dr Gwajima ameupongeza mkoa wa Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito.
Dr Gwajima amesema LEO amefurahi sana.
Waziri wa Afya yuko ziarani mkoani Mbeya akikagua shughuli mbalimbali za wizara yake.
Source Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Kwa Wafanyabiashara waliopo Mbeya naomba kujua location ambayo wanauza Maroba na vifungashio vya jumla ili namimi nikauze kwa bei za jumla na rejareja.
Ni jambo jema kuwashuhudia wabunge wa kamati ya maendeleo ya jamii wakiwasili jijini Mbeya kikazi kwa kutumia basi la Shabiby.
Mmeonesha mfano mzuri wa kubana matumizi tofauti na mabunge yaliyopita ambayo yalitumia zaidi ndege na magari madogo ya gharama.
Pongezi zimwendee Spika Ndugai na...
RC Mbeya, Albert Chalamila akiwa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Konde kwenye Uzinduzi wa Ofisi Kuu ya Dayosisi na Kanisa Kuu amenena haya kuhusu hospitali mkoani humo kujaa wagonjwa
“Wapo Watu wanatishia Watu wanasema Mahospitalini huko kumejaa sana wagonjwa, Serikali ijenge Vituo vya Afya kwa...
Mara zote kutembelewa na mgeni ni baraka. Kutembelewa na Rais ni baraka zaidi.
Kutembelewa na Rais Magufuli ni baraka tele ambayo wananchi wa Mbeya tumekuwa tukisubiri bila kiu hiyo kusuuzwa kwa muda mrefu sana.
Kwa ziara za kamusudi kukagua maendeleo na kuhamasisha wananchi, Mkapa hakuwahi...
Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam imesema silaha ya mbunge wa Mtama mkoani Lindi iliyoibiwa kupitia dirishani nyumbani kwake Kawe beach jijini Dar es salaam imepatikana.
Silaha hiyo aina ya bastola ikiwa na risasi 14 imepatikana mkoani Mbeya baada ya ushirikiano wa polisi wa mikoa hiyo...
Ziwa Kyungululu/ Kyungululu crater Lake
Ziwa Kyungululu llinapatikana Lugombo katika kijiji cha Kabembe kata ya Itete, Halmashauri ya Busokelo Wilaya ya Rungwe, linapatikana umbali mdogo kutoka ilipo Hospitali teule ya Itete.
Uwapo katika eneo lilipo Ziwa Kyungululu utaweza kuona kwa uzuri...
Mheshimiwa Rais!
Mimi ni mwananchi wa kawaida sana hapa Tanzania. Mimi ni mwanachama mwaminifu wa CCM tokea enzi za siku za mwisho za TANU.
Mheshimiwa Rais, sitopoteza muda wangu kutaja mambo mema mengi uliyowafanyia watanzania, maana nitatumia siku nzima na hivyo barua yangu itakosa maana...
Ni fedhea sana, ni aibu na haipashwi kufumbiwa Macho kwa hili la Kaze, Kaseke na Wapuuzi wengine wote wa Utopolo wanaolinajisi soka la Nchi yetu. TFF fungieni hawa wote akili zikae sawa.
Rekodi ya sare yaendelezwa katika dimba la Sokoine kati ya Mbeya city dhidi ya Yanga baada ya mchezo uliochezwa hii leo kumaliza kwa matokeo ya 1-1.
Goli la Yanga limefungwa na D Kaseke dakika ya 84 . Huku goli la Mbeya city likifungwa na P Athanas kwa mkwaju wa penati kunako dakika ya 90 +4...
Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya mikoa sita (6) iliyopo katika Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Mikoa mingine ni Rukwa, Iringa, Njombe, Songwe na Ruvuma. Mkoa wa Mbeya ulianzishwa mwaka 1961 na ulikuwa ukijulikana kwa jina la ‘Southern Highland Province’ kwa kujumuisha baadhi ya maeneo ya mikoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.