mbeya

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Serikali Yafyeka Mahindi Ya Wananchi Kuzuia Yasifiche Vibaka

    Serikali ya Mtaa Iyunga Mbeya Yafyeka Mahindi Ya Wananchi Kuzuia Yasifiche Vibaka.
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wanafunzi wa Shule za Msingi za Umma waruhusiwa kuvaa Suruali

    WAZAZI na walezi jijini Mbeya, wamepokea kwa mikono miwili, maamuzi yaliyotolewa na serikali, kwamba wanafunzi wa shule za umma, wasichana na wavulana waanze kuvaa suruali, kutokana na mazingira ya Mkoa huo uliopo nyanda za juu Kusini, kuwa na baridi kali. Hayo yameelezwa na baadhi ya wazazi na...
  3. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbeya maisha yako nafuu kiasi hiki ukilinganisha na sehemu zingine za nchi yetu?

    Niko Mbeya nashangaa shangaa Naona mabucha mengi ya nyama ya ng'ombe yanauza nyama kilo 6,000/= Kitimoto kilo ni 8000/= Mchele kilo ni 2000/= Mafuta ya kupikia lita 5 ni 23,000/= Maharage kilo ni 2500/= Ndizi mkungu ni elfu 5 tu. Matunda yapo ya kila aina,mfano maembe bakuli zima ni jero tu...
  4. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania AJABU ZA MBEYA NA DAR: Bodaboda, Bajaj, vipanya vs Coaster daladala

    Kwenye hii miji miwili ya MBEYA na DAR ES SALAAM kuna mambo yanachekesha sana. Unajiuliza wafanya maamuzi walikuwa wanatafakari kweli? Mbona walifanya maamuzi ambayo yako Illogical! Mwaka 2008 Dar es Salaam jiji walipiga marufuku mabasi madogo almaarufu vipanya "Hiace". Sababu ilikuwa ni...
  5. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Weekend mood wewe uko wapi Mimi nipo Sam city Makongolosi Chunya Mbeya ni vyupa kwa kwenda mbele. Wewe uko wapi?

    Karibuni chunya Makongolosi, sehemu ambayo watu hujiachia masaa 24 Kila Kona baa na vilabu vya pombe asili. Ukiwa unavuka barabara jishikilie maana bodaboda wa huku hakuna kufuata sheria. Duu kweli Tembea uone.
  6. Execute

    JamiiForums Tanzania Mbeya gesti yenye vyumba self contained inaanzia elfu kumi

    Huu mkoa gharama za maisha zipo chini sana. Mtu akishindwa kuishi huku basi ni bora afariki. Nimefika hapa na kushangaa guest house nzuri kabisa na ipo sehemu nzuri, haina mambo ya hovyo lakini bei elfu kumi. Wali samaki nimekula sehemu kwa shilingi 2500.
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Madiwani na mkurugenzi wa Mbeya kauli yenu inamaanisha biashara ya bajaji Mbeya ni haramu!! Maduka ya bajaji yafungwe, na hamtowatoza Kodi?

    Nachojua Mimi madiwani wa Mbeya ndio wamiliki wakubwa wa bajaji hapo mjini ,.nawafahamu na bajaji mnazomiliki nazifahamu mnataka kuwadhibiti raia wa kawaida wasimiliki bajaji ili biashara yenu isiwe na ushindani?? Biashara ni huria huwezi kuzuia watu wasiingize bajaji barabarani kwa sababu...
  8. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Nimempambania kapata kazi, salary ni 1.5m gross kaikataa kisa kapangiwa kwenda mkoani Mbeya

    Wakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu. Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto, huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa. Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi) Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mahakama yavunja ndoa baada ya mke kutopewa unyumba kwa miaka 7

    Mahakama ya Mwanzo Mkoani Mbeya imevunja ndoa ya Upendo Charles (40) na Nelson Sospeter (54) baada ya mke kudai kutopatiwa unyumba na mume wake kwa muda wa miaka saba. Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Asha Njovu, amesema baada ya kusikiliza kwa kipa pande zote mbili Mahakama iligundua kuwa...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mwenye kuelewa ilipo Mahakama ya Qadhi Mkoani Mbeya tafadhali

    Niko mbeya eneo la Tukuyu ninaomba mwenye kujua ilipo Mahakama ya Qadhi anipe uelekeo wa kufika hapo tafadhali
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mbeya, badala ya kujichubua na kuwa kama vishetani, kwa nini msitumie mafuta ya kujikinga na jua?

    Tz hii sidhani kama kuna mkoa unaongoza kwa watu kujichubua kama Mbeya. Ukikuta mwanamke aliyejichubua kikweli anatisha. Sura inakuwa kama kokaragosi au kashetani hivi. Lakini si wakulaumu. Habari ya kujichubua ipo duniani pote. Wazungu walifanikiwa kuteka akili za watu kuwa weupe ndiyo urembo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Afisa Mikopo Chuo cha Mbeya University of Science and Technology (MUST) wapeni vijana stahiki yao (boom)

    Habari wakuu, poleni na mjukumu, Nimekuja kwenu na malalamiko na humu JF Kuna watu wa aina mbalimbali ambao wanaweza saidia watoto wetu. Ofisi ya Mikopo chuo cha MUST mpaka sasa haijawaingizia baadhi wanafunzi wa mwaka wa kwanza pesa ya kujikimu (boom), pesa ambayo watoto wamesign mwezi wa...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mbeya is Awesome. Hata kwenu pia ni kuzuri, kusifie huku ukisindikiza na picha za chombeza

    Mbeya ni mkoa uliobarikiwa kwa baraka za mwilini na baraka za rohoni. Mbeya ni njema atakaye na aje. Mbeya ndio mkoa ambao umekuwa ukiongoza kutoa timu nyingi zaidi zinazoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Miongoni mwao ni Tukuyu Stars (Banyambala), Mecco, Tiger, Mbeya City, Mbeya Kwanza na...
  14. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania UVCCM Mbeya kufanya maandamano kumpongeza Rais kuruhusu mikutano ya kisiasa

    Yanaandaliwa maandamano makubwa kuwahi kutokea jijini Mbeya na UVCCM. Sababu kuu ya maandamano haya ni kumpongeza mama Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa nchini. Wanadai wao pia walifungwa midomo kwa zaidi ya miaka 5 na walishindwa kupata majukwaa ya kuongelea.
  15. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kilimo Mbeya watu wachache sana wanahitajika

    Wakuu salamu, Ninakifahamu kijiji kipo mbeya. Eneo linajoto maana ni karibu na kyela. Ardhi nzuri Kwa kila zao unalo lijua kama ufuta, Karanga, mpunga , mahindi, ndizi na kila zao unalo lijua. Changamoto: Kijiji kinabarabara mbovu ajabu! Kiasi kwamba kimeachwa kama kisiwa na kina changamoto...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Dk Tulia 2025 huwezi kumshinda Sugu hata ufagie mabarabara yote ya Mbeya

    Utafagia sana ==== Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson leo Januari 2, 2023 amewaongoza Wananchi wa Kata ya Ruanda Jijini humo katika zoezi la kufanya usafi katika eneo la Umati ambalo limekithiri uchafu kwa muda mrefu.
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania RC Mbeya kuwawajibisha Viongozi wa Halmashauri zitakazopata Kipindupindu

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Juma Homera ameziagiza halmashauri zote mkoani humo kuzingatia usafi wa mazingira ili kujikinga na ugonjwa wa kipindupindu katika msimu huu wa mvua na eneo ambalo ugonjwa huo utalipuka, viongozi watawajibishwa. Homera ametoa agizo hilo leo Jumamosi Desemba 31,2023...
  18. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Mwamposa ajenga hotel ya kisasa jijini Mbeya

    Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson. Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii...
  19. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Tunajenga Taifa la Wajinga Kujinufaisha Kisiasa - Ati Trilioni 13 zatekeleza miradi ya afya, elimu Mbeya

    Ati Mkoa wa Mbeya umetumia Trilioni 13 kutekeleza miradi mbali ya maji, elimu na afya kwa mwaka 2021/2022. Hii ikiwa ni zaidi ya robo ya bajeti Taifa iliyotengwa na serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambayo ilikuwa ni kiasi cha trilioni 41. Ikiwa kila mkoa umetumia trilioni kiasi kama hicho...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Jezi nyeusi ya Yanga ni tofauti na zile za Azam na Mbeya city

    Mbeya city walivaa jezi nyeusi dhidi ya prisons wakanyooshwa, na Azam walivaa jezi nyeusi dhidi ya Yanga wakanyukwa. Jezi nyeusi ya Yanga sio TU ni nyeusi bali Ina majina ya watu wao muhimu sana. Sio weusi unaofanyakazi bali zile signatures za watu muhimu, legends. Vinginevyo utapata mkosi kama...
Back
Top Bottom